nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Wakuu ikumbukwe juzi nimeleta uzi hapa juu ya ndugu kuniona sina akili kupuuzia ajira za serikalini,kwa kua hazina uhakika,.
Na pia pale job ukiomba tayarii umeandaa uadui na boss.
Juzi kuna mwalimu alienda kimya kimya na jamaa alikua anategemewa kazini. kiukweli alichofanyiwa nimewaza sana.
Kazi za watu utakua na umuhimu endapo utakua na tija nao tu. jana kawekwa mpya mbadala wake.
Nimewaza sana nikaona kumbe sijakosea hesabu zangu. yangenikuta kwa kweli.
Jamaa tumemaliza vip intaview? majibu yake ni kua tuombe tu Mungu mambo magumu.