Kazini kwangu mwalimu wa sayansi alietegemewa kapigwa chini sababu alienda interview bila ruhusa

Wakuu ikumbukwe juzi nimeleta uzi hapa juu ya ndugu kuniona sina akili kupuuzia ajira za serikalini,kwa kua hazina uhakika,.

Na pia pale job ukiomba tayarii umeandaa uadui na boss.

Juzi kuna mwalimu alienda kimya kimya na jamaa alikua anategemewa kazini. kiukweli alichofanyiwa nimewaza sana.

Kazi za watu utakua na umuhimu endapo utakua na tija nao tu. jana kawekwa mpya mbadala wake.

Nimewaza sana nikaona kumbe sijakosea hesabu zangu. yangenikuta kwa kweli.

Jamaa tumemaliza vip intaview? majibu yake ni kua tuombe tu Mungu mambo magumu.
Adui wa mwalimu ni mwalimu
 
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni.

Quote
 
Wakuu ikumbukwe juzi nimeleta uzi hapa juu ya ndugu kuniona sina akili kupuuzia ajira za serikalini,kwa kua hazina uhakika,.

Na pia pale job ukiomba tayarii umeandaa uadui na boss.

Juzi kuna mwalimu alienda kimya kimya na jamaa alikua anategemewa kazini. kiukweli alichofanyiwa nimewaza sana.

Kazi za watu utakua na umuhimu endapo utakua na tija nao tu. jana kawekwa mpya mbadala wake.

Nimewaza sana nikaona kumbe sijakosea hesabu zangu. yangenikuta kwa kweli.

Jamaa tumemaliza vip intaview? majibu yake ni kua tuombe tu Mungu mambo magumu.
Mkuu unafanyaje kazi huku unamuogopa kufanya interview sehemu nyingine sio kosa kwa mtu proffesional. Wake up value yourself
 
Wewe mtoa mada hauna akili aise. Unaandaa mazingira ya kufa masikini mb wa wewe . Yani unaogopa kuomba kazi ya serikali kisa bosi wako uchwara atakutimua kazini.

Sasq subilia siku ukifukuzwa hapo kazini kwako kama mbwa ndio utajua. Kaa ukijua huyo bosi wenu anaroho mbaya na anatamani kuona akiwatumikisha kama punda .

Kaa ukijua hakuna urafiki kati ya bosi na mfanyakazi. Wewe endelea kupiga majungu hapo kazini kwako. Utakuja kujitambua muda umeenda.

Nampongeza huyo jamaa yako muda si mrefu Mungu atajibu maombi yake.Hapo ndipo utajiona wewe pimbi.
 
Kuna hizi za mwaka jana za afya..kuna vijana walifanyiwa figisu pahala kisa kama hiko.
Bahati mbaya mmoja wao amekuwa somebody katika hizi kaguzi kaguzi za Hospital ,nasubiri kuona picha la kichina na nasikia wanatembelea Hospital kwa sasa😀😀😀😀
 
Sta
Wakuu ikumbukwe juzi nimeleta uzi hapa juu ya ndugu kuniona sina akili kupuuzia ajira za serikalini,kwa kua hazina uhakika,.

Na pia pale job ukiomba tayarii umeandaa uadui na boss.

Juzi kuna mwalimu alienda kimya kimya na jamaa alikua anategemewa kazini. kiukweli alichofanyiwa nimewaza sana.

Kazi za watu utakua na umuhimu endapo utakua na tija nao tu. jana kawekwa mpya mbadala wake.

Nimewaza sana nikaona kumbe sijakosea hesabu zangu. yangenikuta kwa kweli.

Jamaa tumemaliza vip intaview? majibu yake ni kua tuombe tu Mungu mambo magum
Mungu Amsaidie na atapata tu huyo boss ataibika nA shule yake itazingua
 
Wewe mtoa mada hauna akili aise. Unaandaa mazingira ya kufa masikini mb wa wewe . Yani unaogopa kuomba kazi ya serikali kisa bosi wako uchwara atakutimua kazini.

Sasq subilia siku ukifukuzwa hapo kazini kwako kama mbwa ndio utajua. Kaa ukijua huyo bosi wenu anaroho mbaya na anatamani kuona akiwatumikisha kama punda .

Kaa ukijua hakuna urafiki kati ya bosi na mfanyakazi. Wewe endelea kupiga majungu hapo kazini kwako. Utakuja kujitambua muda umeenda.

Nampongeza huyo jamaa yako muda si mrefu Mungu atajibu maombi yake.Hapo ndipo utajiona wewe pimbi.
Nina akili kukuzidi hujui mipango yangu fatilia nyuzi zangu kenge bahari wewe.
 
A
Kwa namna ulivyoandika ni kama unaungana kwa 100% na alichofanya boss wako lakini hapo ujue huyu jamaa yako anatoboa vizuri tu na fidia juu endapo akiamua kwenda CMA kupambania haki yake
Amefurahia huyo lkn Mungu si athuman mwenzie atatoboa 100%
 
Kuna hizi za mwaka jana za afya..kuna vijana walifanyiwa figisu pahala kisa kama hiko.
Bahati mbaya mmoja wao amekuwa somebody katika hizi kaguzi kaguzi za Hospital ,nasubiri kuona picha la kichina na nasikia wanatembelea Hospital kwa sasa😀😀😀😀
Lazma hawanyooshe.
 
Hata akikosa kwenye hiyo interview atapata kazi kwingine na mkome na roho zenu mbaya
 
Ni mambo ya ajabu hayo.

Mtu anajitafuta halafu kazi kumuwekea vizingiti ili aendelee kutegemea waliomuweka hapo.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Back
Top Bottom