nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Kwanini hakuomba ruhusa?Alichofanyiwa ni ushenzi
Yote maisha tu..Wakuu ikumbukwe juzi nimeleta uzi hapa juu ya ndugu kuniona sina akili kupuuzia ajira za serikalini,kwa kua hazina uhakika,.
Na pia pale job ukiomba tayarii umeandaa uadui na boss.
Juzi kuna mwalimu alienda kimya kimya na jamaa alikua anategemewa kazini. kiukweli alichofanyiwa nimewaza sana.
Kazi za watu utakua na umuhimu endapo utakua na tija nao tu. jana kawekwa mpya mbadala wake.
Nimewaza sana nikaona kumbe sijakosea hesabu zangu. yangenikuta kwa kweli.
Jamaa tumemaliza vip intaview? majibu yake ni kua tuombe tu Mungu mambo magumu.
Yeye ndiye mwenye makosa, huwezi kutofika kazini bila ruhusa!Mwambie akafungue shauri CMA, hiyo shule itakuwa na hela za kupoteza
kapigwa chini kwamba alikuwa anafundisha private? Kule private huwa ni pa kujishikiza tu kusubiria ajira za uhakika zije serikalini uwaache solembaWakuu ikumbukwe juzi nimeleta uzi hapa juu ya ndugu kuniona sina akili kupuuzia ajira za serikalini,kwa kua hazina uhakika,.
Na pia pale job ukiomba tayarii umeandaa uadui na boss.
Juzi kuna mwalimu alienda kimya kimya na jamaa alikua anategemewa kazini. kiukweli alichofanyiwa nimewaza sana.
Kazi za watu utakua na umuhimu endapo utakua na tija nao tu. jana kawekwa mpya mbadala wake.
Nimewaza sana nikaona kumbe sijakosea hesabu zangu. yangenikuta kwa kweli.
Jamaa tumemaliza vip intaview? majibu yake ni kua tuombe tu Mungu mambo magumu.
dadangu mbona hujibu quotes/replies zangu? nina shda na zle ingredients za kutengeneza yale mafta.Kwa namna ulivyoandika ni kama unaungana kwa 100% na alichofanya boss wako lakini hapo ujue huyu jamaa yako anatoboa vizuri tu na fidia juu endapo akiamua kwenda CMA kupambania haki yake
kuna watu wanapata experiencemambo ya kazini kwako yachie kazini ndugu
ndo ivyo ila mifumo migumukapigwa chini kwamba alikuwa anafundisha private? Kule private huwa ni pa kujishikiza tu kusubiria ajira za uhakika zije serikalini uwaache solemba
wapi nimeandika naungana? ni maisha tu mkuu hata mimi ningependa nikajaribu bahati yangu lakini nimefikiria uhalisia wa kazin kwangu nikapuuzaKwa namna ulivyoandika ni kama unaungana kwa 100% na alichofanya boss wako lakini hapo ujue huyu jamaa yako anatoboa vizuri tu na fidia juu endapo akiamua kwenda CMA kupambania haki yake
Changamoto mkuuDuh aiseee pole yake
Mimi mwakani nitaomba lakini lazima niandike pia barua private nyingine piaYote maisha tu..
Hata wewe ukifika muda wa kujilipua usiogope..
Hata ukiwa hapo unaweza kuandika barua shule nyingine ya private....mwaka bado mbichi huu.Mimi mwakani nitaomba lakini lazima niandike pia barua private nyingine pia
Nadhani boss kachukia kaona kama dharauKwanini hakuomba ruhusa?
Hivi mkuu uwe na kampuni Yako halafu mfanyakazi wako asifike kazini bila ruhusa ni sawa?
Ingekuwa labda kaomba ruhusa halafu kanyimwa hapo boss angelaumiwa ila mtoro kazini katafuta mwenyewe tatizo!