Kazini kwangu mwalimu wa sayansi alietegemewa kapigwa chini sababu alienda interview bila ruhusa

Ameshafaulu huyo .

Mwambie ajiandae kuanza kazi rasimi
 
Baada ya kutangqzwa kwa majinq ya waliopata ajira naamini atakuwepo nq ujeutuletee mrejesho.
 
Mtu mwoga hufa mara nyingi sana katika maisha yake.
 
Kwanini hakuomba ruhusa?
Hivi mkuu uwe na kampuni Yako halafu mfanyakazi wako asifike kazini bila ruhusa ni sawa?

Ingekuwa labda kaomba ruhusa halafu kanyimwa hapo boss angelaumiwa ila mtoro kazini katafuta mwenyewe tatizo!
Kwa mujibu wa sheria za kazi Tanzania, kutokufika kazini siku moja adhabu yake ni first written warning na sio kufukuzwa; again kwenda kufanya interview sehemu nyingine sio kosa kisheria, endapo huko alikokwenda kufanya interview akipewa offer then kwa ustaarabu unatoa notice ya kuacha kazi, wengine wanatoaga ya 24 hours while wengine wanatoa walau ya mwezi mmoja. Waajiri wengi wamekua wakifanya maamuzi ya kikatiri cause wanajua, tatizo la ajira nchini ni kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…