nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Mimi sio naowatimua mkuu viongozi wenyewe wanataka niendenao hivyoHawatak kazi hao, Timua wote tuajir sis brokers
Kwa vipi?Subra ila mda mwengine maamuzi magumu ni muhimu
Kama wanataka uende nao hivo basi wewe ndo uwasikilize wao jitahidi sana usijikweze Wala usiwe tofauti sana na wao coz wewe NI mgeni. Soma mazingira halafu ukishajua mind set zao itakuwa rahisi kuwachallengeMimi sio naowatimua mkuu viongozi wenyewe wanataka niendenao hivyo
Watanzania wengi tunapenda kufanya vitu kisela sela business as usual. Mimi katika shughli zangu ni watanzania wachache ambao huwa nashughulika nao kwa sababu nilishajaribu sana yani hawachukulii kazi kwa uzito mwisho huwa nashughulika na wakenya na watanzania wachache ambao wanafanya kazi kwa moyo.Nina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi.
Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo yao wanaleta dharau, jeuri, kejeli. Wanataka niwe fea ila fea sidhan kama inafaa kazini
Majibu yao ni kua walikuepo hapa zaidi yako Leo wametimuliwa, hili jambo linanipa hofu na kutojiamini. Had hapa nishagombana na watu wawili ile tu kuwapa maelekezo wananimaindi.
Uongozi wa juu nao wananiambia nijitahidi kumalizana nao nisiwe naripoti ripot kila kitu. Nimekuja hapa kuomba ushauri jinsi ya kuitatua hii kadhia. Nahisi kuchoka.
Siku hizo watu hawasimamiwi Kama mfungwa au mtumwaItisha kikao na wao, waeleze majukumu uliyopewa kuwambia na malengo yako nini, uwaeleze unahitaji nidhamu kazini na kuwataka kuwajibika kwa muda unaotakiwa kulingana na mahitaji ya kiwanda husika.
Kuwa mbabe sehemu ubabe unapohitajika, kuwa mpole sehemu inayohitaji upole, usiwadharau na uwe msikivu lakini mkali.
Viongozi wameshakuambia umalizane nao sasa unaogipa nini?
Sijaamaanisha hivyo.... soma vizuriSiku hizo watu hawasimamiwi Kama mfungwa au mtumwa
Brow ukiingia nyumba ya mtu wewe hupaswi kupaza sauti jaribu kuangalia life style yao then jaribu kusoma mchezo wagawe then kila mtu atajua wewe una cheo ganiSijaamaanisha hivyo.... soma vizuri
Afanye hao wafanyakazi wajitambue..
Kila kitu kitaenda sawa.
Report kwa superior wako. Akishafukuzwa mmoja, it set expample kwa wengine. Watajua uko seriousNina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi.
Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo yao wanaleta dharau, jeuri, kejeli. Wanataka niwe fea ila fea sidhan kama inafaa kazini
Majibu yao ni kua walikuepo hapa zaidi yako Leo wametimuliwa, hili jambo linanipa hofu na kutojiamini. Had hapa nishagombana na watu wawili ile tu kuwapa maelekezo wananimaindi.
Uongozi wa juu nao wananiambia nijitahidi kumalizana nao nisiwe naripoti ripot kila kitu. Nimekuja hapa kuomba ushauri jinsi ya kuitatua hii kadhia. Nahisi kuchoka.
Nadhan tazama aproach uliyoitumia kwenye kuwasimamia, Kuwa sehem ya hiyo team usiwe kama Nyapara.Nina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi.