kazini nimeambiwa nianze kuamka sa 10 alfajiri, gari imebadili muda wa kuanza safari

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,509
Reaction score
3,429
nilizoea kuamka sa 12 Leo jioni nimepigiwa simu na boss kua natakiwa niende kuanza kupanda basi anapoanzia dereva, umbali adi kumkuta dereva kilometer 20 nawaza sana.
mkiona sijibu sms mjue nimelala ili nisije chelewa
 
Punguza kupenda Kitonga Mkuu. Hilo gari la ofisi kwani wewe ndie stata kiasi kwamba usipolipanda halitowaka! All in all jifunze kuishi karibu na unapofanyiakazi utakuja kushukuru wakati ujao.

Unaishi Mwasonga, Basi linaondokea Kigamboni njia panda ya Kongowe, Ofisi iko Posta uache kuamka saa 10 kweli? Mkirukwa na akili ndugu zenu wanasema mmechezewa! Kuuumbe Ubongo umekosa mda wa kupumzika siku 365 wewe ni kuhangaika tu pasipo kulala.
 
nilizoea kuamka sa 12 Leo jioni nimepigiwa simu na boss kua natakiwa niende kuanza kupanda basi anapoanzia dereva, umbali adi kumkuta dereva kilometer 20 nawaza sana.
mkiona sijibu sms mjue nimelala ili nisije chelewa
Hongera kwa kuwa na kazi na kufanya kazi ofisi yenye usafiri
 
kuna kaz moja ya kiboya nilikuaga nafanya kabla sijawa tajiri tulikua tunaingia saa mbili kasoro kazini mara slave master akabadili ratiba tuanze kuangia saa kumi na mbili kamili halafu nilikua naishi changanyikeni huko daladala zinaanza kaz saa 12 asubuh alafu watu kibao huko wanaprivate cars na wanabebana majirani kwenda makazin so daladala kukaa level inachukua mpaka masaa mawili sometimes na likitoka hapo likifika UD hapo utawala linalala kama nusu saa
nikawa kilasiku nachaelewa mzigoni mangiri wa slave lord wakawa wananisainisha ma warning kibao siku moja wakaniambia niandike barua kwanin nachelewa na nini kifanyike nisiendelee kuchelewa na ikitokea nimeendelea kuchelewa nitendewe nini genge la watawala hapo ndio walijippakata
nikaandika ninapoishi ili kuwahi mzigoni nahitaji usafiri binafsi na kwa mshahara wangu kumiliki usafiri binafsi ni ndoto ,ili niwah kazin ningeomba nipatiwe usafir na ofisi au nipatiwe sehemu ya kuishi karibu na ofisi,
yule ngiri alivyosoma ile barua akasema haiwez kwenda kwa slave master akaichana akanibadilishia kitengo chenye shift ya kiungwana , ila niliweza kufanya vile kwa kua kazi ilikua yakiboya bila hivyo ningepata tu namna ya kufika mzigoni on time hata kwa kudandia magari ya mavi so mkuu kama kibarua chako ndio kinakufanya uvimbe mjini we komaa nacho tu 20km kitu gan mbele ya kibunda kuna wahuni wanatambaa meter 200meters chini aridhi kila siku kutafuta almasi na hawajawahi kupata mpaka wameota mvi kwenye kope ila wanaendelea kukaza kukaza
 
Punguza kupenda Kitonga Mkuu. Hilo gari la ofisi kwani wewe ndie stata kiasi kwamba usipolipanda halitowaka! All in all jifunze kuishi na unapofanyiakazi utakuja kushukuru wakati ujao.

Unaishi Mwasonga, Basi linaondokea Kigamboni njia panda ya Kongowe, Ofisi iko Posta uache kuamka saa 10 kweli? Mkirukwa na akili ndugu zenu wanasema mmecezewa! Kuuumbe Ubongo umekosa mda wa kupumzika siku 365 wewe ni kuhangaika tu pasipo kulala.
Nimecheka sana
 
nilizoea kuamka sa 12 Leo jioni nimepigiwa simu na boss kua natakiwa niende kuanza kupanda basi anapoanzia dereva, umbali adi kumkuta dereva kilometer 20 nawaza sana.
mkiona sijibu sms mjue nimelala ili nisije chelewa
Nunua gari mkuu kukimbiza basi alfajiri ni kuamsha magonjwa yasiyoeleweka kila siku ukirudi home una kizunguzungu.
 
Punguza kupenda Kitonga Mkuu. Hilo gari la ofisi kwani wewe ndie stata kiasi kwamba usipolipanda halitowaka! All in all jifunze kuishi na unapofanyiakazi utakuja kushukuru wakati ujao.

Unaishi Mwasonga, Basi linaondokea Kigamboni njia panda ya Kongowe, Ofisi iko Posta uache kuamka saa 10 kweli? Mkirukwa na akili ndugu zenu wanasema mmecezewa! Kuuumbe Ubongo umekosa mda wa kupumzika siku 365 wewe ni kuhangaika tu pasipo kulala.
ni mangaiko kila kukicha mbombo ngAFU
 
Tatizo ni sisiem mkuu.....
Hiki chama kimetufikisha pabaya sana kwa kizazi cha G-Z
 
Una maanisha .

Kama Bunge mpaka udom NI umbali km 5 unatakiwa tena ufanye mara 3 ya umbali upate km 20 ndio ukapande gari?

Hiyo kazi Mshahara wake NI sh. Ngapi Kwa mwezi?
 
kuna kaz moja ya kiboya nilikuaga nafanya kabla sijawa tajiri tulikua tunaingia saa mbili kasoro kazini mara slave master akabadili ratiba tuanze kuangia saa kumi na mbili kamili halafu nilikua naishi changanyikeni huko daladala zinaanza kaz saa 12 asubuh alafu watu kibao huko wanaprivate cars na wanabebana majirani kwenda makazin so daladala kukaa level inachukua mpaka masaa mawili sometimes na likitoka hapo likifika UD hapo utawala linalala kama nusu saa
nikawa kilasiku nachaelewa mzigoni mangiri wa slave lord wakawa wananisainisha ma warning kibao siku moja wakaniambia niandike barua kwanin nachelewa na nini kifanyike nisiendelee kuchelewa na ikitokea nimeendelea kuchelewa nitendewe nini genge la watawala hapo ndio walijippakata
nikaandika ninapoishi ili kuwahi mzigoni nahitaji usafiri binafsi na kwa mshahara wangu kumiliki usafiri binafsi ni ndoto ,ili niwah kazin ningeomba nipatiwe usafir na ofisi au nipatiwe sehemu ya kuishi karibu na ofisi,
yule ngiri alivyosoma ile barua akasema haiwez kwenda kwa slave master akaichana akanibadilishia kitengo chenye shift ya kiungwana , ila niliweza kufanya vile kwa kua kazi ilikua yakiboya bila hivyo ningepata tu namna ya kufika mzigoni on time hata kwa kudandia magari ya mavi so mkuu kama kibarua chako ndio kinakufanya uvimbe mjini we komaa nacho tu 20km kitu gan mbele ya kibunda kuna wahuni wanatambaa meter 200meters chini aridhi kila siku kutafuta almasi na hawajawahi kupata mpaka wameota mvi kwenye kope ila wanaendelea kukaza kukaza
Mkuu kabla hujawa Tajiri.. Slave master na Mangiri walli kutesa sana mpaka ulitamani kudandia gari ya mavi.... 😂 Nimecheka sanaa...
 
Back
Top Bottom