KC Dorothy: Leo Jeshi la Magereza limenizuia kumwona Lissu

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
643
Reaction score
1,603
IBADA YA PASAKA GEREZANI: KUMTEMBELEA TUNDU LISSU

Katika kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka mwaka huu, niliamua kuitumia siku hii kwa namna ya kipekee kwa kwenda kumtembelea Ndugu Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA na pia Mwenyekiti wangu katika Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), aliye katika Gereza la Ukonga.

Mnamo saa 3:00 asubuhi nilikuwa tayari nimewasili gerezani tukiwa tumeambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu, Ester Thomas. Cha kushangaza, baada ya kufika, tuliambiwa tupaki gari kwa dakika 10 nikisubiri maelekezo ya utaratibu wa kumuona. Hata hivyo, baada ya dakika hizo kupita, nilielezwa kuwa hatuwezi kumuona Ndugu Lissu kwa sababu anaruhusiwa kuonwa na watu watatu tu, ambao ni wanafamilia wake pekee. Tumefanya juhudi za kumtafuta Kamishna wa Magereza Tanzania zimegonga mwamba bila mafanikio. Tumekuwepo kwa masaa zaidi ya mawili hata fursa ya kumuona bwana jela imegomewa haturuhusiwi

Hili ni zuio lisilo la haki, linaloendeleza ukandamizaji wa demokrasia na ukiukwaji wa wazi wa sheria na haki za binadamu. Ni ishara ya kurudi kwenye enzi za giza za dhuluma, vitisho na utawala wa kiimla ambapo hofu inapandikizwa makusudi ili kuwakatisha tamaa Watanzania katika mapambano yao ya haki.

Wito wangu kwa Watanzania ni huu: Tusiogope, tushikamane tuisimamie kweli na haki. Tuwe thabiti katika kupambana na udhalimu wa serikali ya CCM.

Tukio hili limenikumbusha kwa uchungu jinsi ambavyo kumbukumbu zangu za kuwa na taifa huru zinafutwa polepole. Linaashiria kurudi kwa sura mpya ya ukoloni, ukoloni wa ndani ambao ni lazima tuupinge kwa nguvu zote.

Kampeni zote muhimu kwa ajili ya kuhakikisha tunaleta mabadiliko ya kweli katika nchi yetu zinapaswa kuendelea kwa ari na kasi zaidi. Tuendelee kusimama imara katika mapambano haya ya kutetea haki, kulinda demokrasia na kuhakikisha ustawi wa Watanzania wote.

Pasaka hii imenikumbusha maana ya matumaini, mshikamano, na nguvu ya kusimama pamoja kwa ajili ya haki.

Tusikate tamaa. Tushikamane.Tupambane. Tusonge mbele.
 
Bora mmenyimwa......nyie tunawajua hamna nia njema na Taifa hili.

Mnajifanya kumtembelea Lissu kumbe mna mambo yenu.
 
Kimsingi si kila mtu anapojisikia aende kumwona! Wakati mwingine ni kwa sababu za Kiusalama.
Si kila anayekwenda kumwona kwa mazingira haya anaweza kuonekana ni mwema mpaka aaminiwe kumwona Lissu.
Fahamu hapo akipata madhara au kupoteza maisha akiwa mikononi mwa serikali ni hatari.
 
IBADA YA PASAKA GEREZANI: KUMTEMBELEA TUNDU LISSU

Katika kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka mwaka huu, niliamua kuitumia siku hii kwa namna ya kipekee kwa kwenda kumtembelea Ndugu Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA na pia Mwenyekiti wangu katika Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), aliye katika Gereza la Ukonga.

Mnamo saa 3:00 asubuhi nilikuwa tayari nimewasili gerezani tukiwa tumeambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu, Ester Thomas. Cha kushangaza, baada ya kufika, tuliambiwa tupaki gari kwa dakika 10 nikisubiri maelekezo ya utaratibu wa kumuona. Hata hivyo, baada ya dakika hizo kupita, nilielezwa kuwa hatuwezi kumuona Ndugu Lissu kwa sababu anaruhusiwa kuonwa na watu watatu tu, ambao ni wanafamilia wake pekee. Tumefanya juhudi za kumtafuta Kamishna wa Magereza Tanzania zimegonga mwamba bila mafanikio. Tumekuwepo kwa masaa zaidi ya mawili hata fursa ya kumuona bwana jela imegomewa haturuhusiwi

Hili ni zuio lisilo la haki, linaloendeleza ukandamizaji wa demokrasia na ukiukwaji wa wazi wa sheria na haki za binadamu. Ni ishara ya kurudi kwenye enzi za giza za dhuluma, vitisho na utawala wa kiimla ambapo hofu inapandikizwa makusudi ili kuwakatisha tamaa Watanzania katika mapambano yao ya haki.

Wito wangu kwa Watanzania ni huu: Tusiogope, tushikamane tuisimamie kweli na haki. Tuwe thabiti katika kupambana na udhalimu wa serikali ya CCM.

Tukio hili limenikumbusha kwa uchungu jinsi ambavyo kumbukumbu zangu za kuwa na taifa huru zinafutwa polepole. Linaashiria kurudi kwa sura mpya ya ukoloni, ukoloni wa ndani ambao ni lazima tuupinge kwa nguvu zote.

Kampeni zote muhimu kwa ajili ya kuhakikisha tunaleta mabadiliko ya kweli katika nchi yetu zinapaswa kuendelea kwa ari na kasi zaidi. Tuendelee kusimama imara katika mapambano haya ya kutetea haki, kulinda demokrasia na kuhakikisha ustawi wa Watanzania wote.

Pasaka hii imenikumbusha maana ya matumaini, mshikamano, na nguvu ya kusimama pamoja kwa ajili ya haki.

Tusikate tamaa. Tushikamane.Tupambane. Tusonge mbele.
ACT WASALITI

MLISAINI ZILE DOCUMENTS??

If yes tulieni
 
Duh, tatizo ACT kigeugeu Sana, nchi inaanza kukandamiza haki za mahabusu huku watu wakikaa kimya tu.ACT hawakupaswa kushiriki kwenye uchaguzi wenye tume yenye utata
 
Bora wamefanya vzr ulinzi wa Lissu ni muhimu Sana kwa sasa kuliko kitu chochote

Unafiki tu watu mmetoka juzi kusaliti upinzani kwa kusaini uhuni Leo ndio mnajifanya kwenda kwa Lissu kumtembelea

Kiufupi hatuwaamini tofauti yenu na maccm ni ipi?
 
Back
Top Bottom