KC Dorothy: Leo Jeshi la Magereza limenizuia kumwona Lissu

IBADA YA PASAKA GEREZANI: KUMTEMBELEA TUNDU LISSU

Katika kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka mwaka huu, niliamua kuitumia siku hii kwa namna ya kipekee kwa kwenda kumtembelea Ndugu Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA na pia Mwenyekiti wangu katika Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), aliye katika Gereza la Ukonga.

Mnamo saa 3:00 asubuhi nilikuwa tayari nimewasili gerezani tukiwa tumeambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu, Ester Thomas. Cha kushangaza, baada ya kufika, tuliambiwa tupaki gari kwa dakika 10 nikisubiri maelekezo ya utaratibu wa kumuona. Hata hivyo, baada ya dakika hizo kupita, nilielezwa kuwa hatuwezi kumuona Ndugu Lissu kwa sababu anaruhusiwa kuonwa na watu watatu tu, ambao ni wanafamilia wake pekee. Tumefanya juhudi za kumtafuta Kamishna wa Magereza Tanzania zimegonga mwamba bila mafanikio. Tumekuwepo kwa masaa zaidi ya mawili hata fursa ya kumuona bwana jela imegomewa haturuhusiwi

Hili ni zuio lisilo la haki, linaloendeleza ukandamizaji wa demokrasia na ukiukwaji wa wazi wa sheria na haki za binadamu. Ni ishara ya kurudi kwenye enzi za giza za dhuluma, vitisho na utawala wa kiimla ambapo hofu inapandikizwa makusudi ili kuwakatisha tamaa Watanzania katika mapambano yao ya haki.

Wito wangu kwa Watanzania ni huu: Tusiogope, tushikamane tuisimamie kweli na haki. Tuwe thabiti katika kupambana na udhalimu wa serikali ya CCM.

Tukio hili limenikumbusha kwa uchungu jinsi ambavyo kumbukumbu zangu za kuwa na taifa huru zinafutwa polepole. Linaashiria kurudi kwa sura mpya ya ukoloni, ukoloni wa ndani ambao ni lazima tuupinge kwa nguvu zote.

Kampeni zote muhimu kwa ajili ya kuhakikisha tunaleta mabadiliko ya kweli katika nchi yetu zinapaswa kuendelea kwa ari na kasi zaidi. Tuendelee kusimama imara katika mapambano haya ya kutetea haki, kulinda demokrasia na kuhakikisha ustawi wa Watanzania wote.

Pasaka hii imenikumbusha maana ya matumaini, mshikamano, na nguvu ya kusimama pamoja kwa ajili ya haki.

Tusikate tamaa. Tushikamane.Tupambane. Tusonge mbele.

pole sana mkuu.ila pia naona kama maelezo ya Gereza yako sahihi kwamba mfungwa anatakiwa kuonwa na watu watatu na kwamba nafasi hizo ni za famila.ubaya uko wapu?
 
Utawala wa Samia hauna muda mrefu utaangukia. Na Samia ataigeuka kuwa kituko nchi hii
Ndoto za mchana! Siamini Kama Lissu yuko ndani na Nchi imepoa hivi!! Hata vijana wawili watatu kukinukisha kweli? Akina Mahinyila wanalilia shimoni tu Kama Panya!!

Hili tukio limeshusha sana morali ya walioamini Lissu kaleta nguvu mpya!
 
Kwa hiyo watu mia leo hii wakitaka kumuona Lissu basi waruhusiwe? Ata yeye mlengwa nadhan atachoka sasa lazima kuwe na limit. Isitoshe wengine wanaweza kua na magonjwa ambukizi mana hakuna vipimo vya kupima kila anaekwenda kule jela kama yuko salama. Siku hizi hata kuona wagonjwa tu hospital kuna limit ya idadi ya watu wanaokwenda kumuona mgonjwa
 
IBADA YA PASAKA GEREZANI: KUMTEMBELEA TUNDU LISSU

Katika kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka mwaka huu, niliamua kuitumia siku hii kwa namna ya kipekee kwa kwenda kumtembelea Ndugu Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA na pia Mwenyekiti wangu katika Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), aliye katika Gereza la Ukonga.

Mnamo saa 3:00 asubuhi nilikuwa tayari nimewasili gerezani tukiwa tumeambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu, Ester Thomas. Cha kushangaza, baada ya kufika, tuliambiwa tupaki gari kwa dakika 10 nikisubiri maelekezo ya utaratibu wa kumuona. Hata hivyo, baada ya dakika hizo kupita, nilielezwa kuwa hatuwezi kumuona Ndugu Lissu kwa sababu anaruhusiwa kuonwa na watu watatu tu, ambao ni wanafamilia wake pekee. Tumefanya juhudi za kumtafuta Kamishna wa Magereza Tanzania zimegonga mwamba bila mafanikio. Tumekuwepo kwa masaa zaidi ya mawili hata fursa ya kumuona bwana jela imegomewa haturuhusiwi

Hili ni zuio lisilo la haki, linaloendeleza ukandamizaji wa demokrasia na ukiukwaji wa wazi wa sheria na haki za binadamu. Ni ishara ya kurudi kwenye enzi za giza za dhuluma, vitisho na utawala wa kiimla ambapo hofu inapandikizwa makusudi ili kuwakatisha tamaa Watanzania katika mapambano yao ya haki.

Wito wangu kwa Watanzania ni huu: Tusiogope, tushikamane tuisimamie kweli na haki. Tuwe thabiti katika kupambana na udhalimu wa serikali ya CCM.

Tukio hili limenikumbusha kwa uchungu jinsi ambavyo kumbukumbu zangu za kuwa na taifa huru zinafutwa polepole. Linaashiria kurudi kwa sura mpya ya ukoloni, ukoloni wa ndani ambao ni lazima tuupinge kwa nguvu zote.

Kampeni zote muhimu kwa ajili ya kuhakikisha tunaleta mabadiliko ya kweli katika nchi yetu zinapaswa kuendelea kwa ari na kasi zaidi. Tuendelee kusimama imara katika mapambano haya ya kutetea haki, kulinda demokrasia na kuhakikisha ustawi wa Watanzania wote.

Pasaka hii imenikumbusha maana ya matumaini, mshikamano, na nguvu ya kusimama pamoja kwa ajili ya haki.

Tusikate tamaa. Tushikamane.Tupambane. Tusonge mbele.
English Speaking Audience

EASTER IN PRISON: VISITING TUNDU LISSU

In celebrating this year's Easter, I decided to spend this day uniquely by visiting Brother Tundu Antipas Lissu, the Chairman of CHADEMA and also my Chairman at the Tanzania Centre for Democracy (TCD), who is in Ukonga Prison.

At about 9:00 AM, I arrived at the prison, accompanied by Deputy Secretary General Mainland Brother, Ester Thomas. To my surprise, upon our arrival, we were instructed to park the car for ten minutes while we awaited further instructions regarding the procedure to see him. However, after those minutes had elapsed, I was informed that we could not visit Brother Lissu, as he is permitted to receive visits from only three individuals, all of whom must be family members. Our attempts to locate the Commissioner of Prisons in Tanzania have been unsuccessful. We have been here for over two hours, and our request to see the prisoner has been denied.

For certain, this is an unjust blockade that perpetuates the oppression of democracy and a blatant violation of laws and human rights. It is a sign of a return to the dark ages of oppression, threats, and authoritarian rule, where fear is deliberately instilled to discourage Tanzanians in their fight for justice.

My urge to Tanzanians is this: let us not be afraid; let us stand firm for truth and justice. Let us be steadfast in fighting the tyranny of the CCM government.

This incident has painfully reminded me of how my memories of having a free nation are slowly being wiped out. It signifies a return to a new form of colonialism, internal colonialism, that we must vigorously resist giving it an avenue to suppress our well-being.

All essential campaigns to ensure that we bring real change to our country must continue with more enthusiasm and speed. Let us continue to stand firm in this struggle to advocate for rights, protect democracy, and ensure the well-being of all Tanzanians.

This Easter has reminded me of the meaning of hope, solidarity, and the strength of standing together for justice.

Let us not lose hope. Let us unite. Let us fight. Let us move forward.
 
IBADA YA PASAKA GEREZANI: KUMTEMBELEA TUNDU LISSU

Katika kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka mwaka huu, niliamua kuitumia siku hii kwa namna ya kipekee kwa kwenda kumtembelea Ndugu Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA na pia Mwenyekiti wangu katika Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), aliye katika Gereza la Ukonga.

Mnamo saa 3:00 asubuhi nilikuwa tayari nimewasili gerezani tukiwa tumeambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu, Ester Thomas. Cha kushangaza, baada ya kufika, tuliambiwa tupaki gari kwa dakika 10 nikisubiri maelekezo ya utaratibu wa kumuona. Hata hivyo, baada ya dakika hizo kupita, nilielezwa kuwa hatuwezi kumuona Ndugu Lissu kwa sababu anaruhusiwa kuonwa na watu watatu tu, ambao ni wanafamilia wake pekee. Tumefanya juhudi za kumtafuta Kamishna wa Magereza Tanzania zimegonga mwamba bila mafanikio. Tumekuwepo kwa masaa zaidi ya mawili hata fursa ya kumuona bwana jela imegomewa haturuhusiwi

Hili ni zuio lisilo la haki, linaloendeleza ukandamizaji wa demokrasia na ukiukwaji wa wazi wa sheria na haki za binadamu. Ni ishara ya kurudi kwenye enzi za giza za dhuluma, vitisho na utawala wa kiimla ambapo hofu inapandikizwa makusudi ili kuwakatisha tamaa Watanzania katika mapambano yao ya haki.

Wito wangu kwa Watanzania ni huu: Tusiogope, tushikamane tuisimamie kweli na haki. Tuwe thabiti katika kupambana na udhalimu wa serikali ya CCM.

Tukio hili limenikumbusha kwa uchungu jinsi ambavyo kumbukumbu zangu za kuwa na taifa huru zinafutwa polepole. Linaashiria kurudi kwa sura mpya ya ukoloni, ukoloni wa ndani ambao ni lazima tuupinge kwa nguvu zote.

Kampeni zote muhimu kwa ajili ya kuhakikisha tunaleta mabadiliko ya kweli katika nchi yetu zinapaswa kuendelea kwa ari na kasi zaidi. Tuendelee kusimama imara katika mapambano haya ya kutetea haki, kulinda demokrasia na kuhakikisha ustawi wa Watanzania wote.

Pasaka hii imenikumbusha maana ya matumaini, mshikamano, na nguvu ya kusimama pamoja kwa ajili ya haki.

Tusikate tamaa. Tushikamane.Tupambane. Tusonge mbele.
ACT mnatakiwa kutoshiriki uchaguzi kwa mazingira haya!

Jitoeni mara moja, kwani ushiriki wenu unahalalisha yote mnayoyasema ni mabovu kwenye utawala huu.

#NoReformsNoElection
 
We danga huna kazi ya kufanya au unataka utrend kupitia huyo kibaraka? Halafu magerezani siyo sawa na kwenda kwa mjombako kuna taratibu.sahiv tumewajua mkitaka kutengeneza maudhui km kawaida yenu wazushi mnazusha kuwa mmeenda kumwnona huyo mhaini, kumbe mtu umelaza makalio kitandani.
 
Back
Top Bottom