ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 643
- 1,603
Ngonjera hizo.Utawala wa Samia hauna muda mrefu utaangukia. Na Samia ataigeuka kuwa kituko nchi hii
Bora mmenyimwa......nyie tunawajua hamna nia njema na Taifa hili.IBADA YA PASAKA GEREZANI: KUMTEMBELEA TUNDU LISSU
Katika kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka mwaka huu, niliamua kuitumia siku hii kwa namna ya kipekee kwa kwenda kumtembelea Ndugu Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA na pia Mwenyekiti wangu katika Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), aliye katika Gereza la Ukonga.
Mnamo saa 3:00 asubuhi nilikuwa tayari nimewasili gerezani tukiwa tumeambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu, Ester Thomas. Cha kushangaza, baada ya kufika, tuliambiwa tupaki gari kwa dakika 10 nikisubiri maelekezo ya utaratibu wa kumuona. Hata hivyo, baada ya dakika hizo kupita, nilielezwa kuwa hatuwezi kumuona Ndugu Lissu kwa sababu anaruhusiwa kuonwa na watu watatu tu, ambao ni wanafamilia wake pekee. Tumefanya juhudi za kumtafuta Kamishna wa Magereza Tanzania zimegonga mwamba bila mafanikio. Tumekuwepo kwa masaa zaidi ya mawili hata fursa ya kumuona bwana jela imegomewa haturuhusiwi
Hili ni zuio lisilo la haki, linaloendeleza ukandamizaji wa demokrasia na ukiukwaji wa wazi wa sheria na haki za binadamu. Ni ishara ya kurudi kwenye enzi za giza za dhuluma, vitisho na utawala wa kiimla ambapo hofu inapandikizwa makusudi ili kuwakatisha tamaa Watanzania katika mapambano yao ya haki.
Wito wangu kwa Watanzania ni huu: Tusiogope, tushikamane tuisimamie kweli na haki. Tuwe thabiti katika kupambana na udhalimu wa serikali ya CCM.
Tukio hili limenikumbusha kwa uchungu jinsi ambavyo kumbukumbu zangu za kuwa na taifa huru zinafutwa polepole. Linaashiria kurudi kwa sura mpya ya ukoloni, ukoloni wa ndani ambao ni lazima tuupinge kwa nguvu zote.
Kampeni zote muhimu kwa ajili ya kuhakikisha tunaleta mabadiliko ya kweli katika nchi yetu zinapaswa kuendelea kwa ari na kasi zaidi. Tuendelee kusimama imara katika mapambano haya ya kutetea haki, kulinda demokrasia na kuhakikisha ustawi wa Watanzania wote.
Pasaka hii imenikumbusha maana ya matumaini, mshikamano, na nguvu ya kusimama pamoja kwa ajili ya haki.
Tusikate tamaa. Tushikamane.Tupambane. Tusonge mbele.
ndo shangaa, mkewe na watoto hawajaenda kumwona mtu anatoka huko na majanaba anakuja kumsumbua mkuu wa gereza, asubiri tarehe 24 atamwona kwenye itv, shenzi kabisaWazee wako kijijini umewajulia hali?!
Kwa hiyo asiishi vizuri na jamii kwa sababu ya Wazee wa kijijini aisee na ninyi mnaojifanya kukosoa watu kwenye social media kuhusu wazazi ndio mpo nyuma sana kuliko wanaokaa KimyaWazee wako kijijini umewajulia hali?!
ACT WASALITIIBADA YA PASAKA GEREZANI: KUMTEMBELEA TUNDU LISSU
Katika kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka mwaka huu, niliamua kuitumia siku hii kwa namna ya kipekee kwa kwenda kumtembelea Ndugu Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA na pia Mwenyekiti wangu katika Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), aliye katika Gereza la Ukonga.
Mnamo saa 3:00 asubuhi nilikuwa tayari nimewasili gerezani tukiwa tumeambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu, Ester Thomas. Cha kushangaza, baada ya kufika, tuliambiwa tupaki gari kwa dakika 10 nikisubiri maelekezo ya utaratibu wa kumuona. Hata hivyo, baada ya dakika hizo kupita, nilielezwa kuwa hatuwezi kumuona Ndugu Lissu kwa sababu anaruhusiwa kuonwa na watu watatu tu, ambao ni wanafamilia wake pekee. Tumefanya juhudi za kumtafuta Kamishna wa Magereza Tanzania zimegonga mwamba bila mafanikio. Tumekuwepo kwa masaa zaidi ya mawili hata fursa ya kumuona bwana jela imegomewa haturuhusiwi
Hili ni zuio lisilo la haki, linaloendeleza ukandamizaji wa demokrasia na ukiukwaji wa wazi wa sheria na haki za binadamu. Ni ishara ya kurudi kwenye enzi za giza za dhuluma, vitisho na utawala wa kiimla ambapo hofu inapandikizwa makusudi ili kuwakatisha tamaa Watanzania katika mapambano yao ya haki.
Wito wangu kwa Watanzania ni huu: Tusiogope, tushikamane tuisimamie kweli na haki. Tuwe thabiti katika kupambana na udhalimu wa serikali ya CCM.
Tukio hili limenikumbusha kwa uchungu jinsi ambavyo kumbukumbu zangu za kuwa na taifa huru zinafutwa polepole. Linaashiria kurudi kwa sura mpya ya ukoloni, ukoloni wa ndani ambao ni lazima tuupinge kwa nguvu zote.
Kampeni zote muhimu kwa ajili ya kuhakikisha tunaleta mabadiliko ya kweli katika nchi yetu zinapaswa kuendelea kwa ari na kasi zaidi. Tuendelee kusimama imara katika mapambano haya ya kutetea haki, kulinda demokrasia na kuhakikisha ustawi wa Watanzania wote.
Pasaka hii imenikumbusha maana ya matumaini, mshikamano, na nguvu ya kusimama pamoja kwa ajili ya haki.
Tusikate tamaa. Tushikamane.Tupambane. Tusonge mbele.
Huu ni ushamba wa ki CCM. Nani kakwambia kuwa kila mtu wazee wake wapo kijijini?Wazee wako kijijini umewajulia hali?!
Duh, tatizo ACT kigeugeu Sana, nchi inaanza kukandamiza haki za mahabusu huku watu wakikaa kimya tu.ACT hawakupaswa kushiriki kwenye uchaguzi wenye tume yenye utataIBADA YA PASAKA GEREZANI: KUMTEMBELEA TUNDU LISSU
Katika kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka mwaka huu, niliamua kuitumia siku hii kwa namna ya kipekee kwa kwenda kumtembelea Ndugu Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA na pia Mwenyekiti wangu katika Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), aliye katika Gereza la Ukonga.
Mnamo saa 3:00 asubuhi nilikuwa tayari nimewasili gerezani tukiwa tumeambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu, Ester Thomas. Cha kushangaza, baada ya kufika, tuliambiwa tupaki gari kwa dakika 10 nikisubiri maelekezo ya utaratibu wa kumuona. Hata hivyo, baada ya dakika hizo kupita, nilielezwa kuwa hatuwezi kumuona Ndugu Lissu kwa sababu anaruhusiwa kuonwa na watu watatu tu, ambao ni wanafamilia wake pekee. Tumefanya juhudi za kumtafuta Kamishna wa Magereza Tanzania zimegonga mwamba bila mafanikio. Tumekuwepo kwa masaa zaidi ya mawili hata fursa ya kumuona bwana jela imegomewa haturuhusiwi
Hili ni zuio lisilo la haki, linaloendeleza ukandamizaji wa demokrasia na ukiukwaji wa wazi wa sheria na haki za binadamu. Ni ishara ya kurudi kwenye enzi za giza za dhuluma, vitisho na utawala wa kiimla ambapo hofu inapandikizwa makusudi ili kuwakatisha tamaa Watanzania katika mapambano yao ya haki.
Wito wangu kwa Watanzania ni huu: Tusiogope, tushikamane tuisimamie kweli na haki. Tuwe thabiti katika kupambana na udhalimu wa serikali ya CCM.
Tukio hili limenikumbusha kwa uchungu jinsi ambavyo kumbukumbu zangu za kuwa na taifa huru zinafutwa polepole. Linaashiria kurudi kwa sura mpya ya ukoloni, ukoloni wa ndani ambao ni lazima tuupinge kwa nguvu zote.
Kampeni zote muhimu kwa ajili ya kuhakikisha tunaleta mabadiliko ya kweli katika nchi yetu zinapaswa kuendelea kwa ari na kasi zaidi. Tuendelee kusimama imara katika mapambano haya ya kutetea haki, kulinda demokrasia na kuhakikisha ustawi wa Watanzania wote.
Pasaka hii imenikumbusha maana ya matumaini, mshikamano, na nguvu ya kusimama pamoja kwa ajili ya haki.
Tusikate tamaa. Tushikamane.Tupambane. Tusonge mbele.
Hakuna uhusiano mkuu...umwone lisu ili iweje na mmesaini uchaguzi ambao umemweka ndani Lisu
Wazee hawakai mjini dar, kelele hawapendiHuu ni ushamba wa ki CCM. Nani kakwambia kuwa kila mtu wazee wake wapo kijijini?
#ACTWasalitiDuh, tatizo ACT kigeugeu Sana, nchi inaanza kukandamiza haki za mahabusu huku watu wakikaa kimya tu.ACT hawakupaswa kushiriki kwenye uchaguzi wenye tume yenye utata
Andika ueleweke. CHADEMA imesaini uchaguzi gani?umwone lisu ili iweje na mmesaini uchaguzi ambao umemweka ndani Lisu
Bora wamefanya vzr ulinzi wa Lissu ni muhimu Sana kwa sasa kuliko kitu chochoteIBADA YA PASAKA GEREZANI: KUMTEMBELEA TUNDU LISSU