Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hao wazee wako. Nenda mitaani nchi nzima mijini Kuna wazee! Kama wazee wako wapo kijijini usilazimishe na wazee wa wengine nao wawe kijijini.Wazee hawakai mjini dar, kelele hawapendi
Awajulie hali wazee wake kwanzaHao wazee wako. Nenda mitaani nchi nzima mijini Kuna wazee! Kama wazee wapo kijijini usilazimishe na wazee wa wengine nao wawe kijijini.
Tunafahami hiyo ndiyo kampeni yenu lakini itafeli sababu Mungu yupo.....ana uwezo wa kuzuia Kila hila.Utawala wa Samia hauna muda mrefu utaangukia. Na Samia ataigeuka kuwa kituko nchi hii
...kwani wakimuona askari jela si wanakuwepo?Bora wamefanya vzr ulinzi wa Lissu ni muhimu Sana kwa sasa kuliko kitu chochote
Umemjibu vizuri sana, hawa wengi watafuta attention tu.Mkuu Dorothy, jukumu la kuhakikisha usalama wa lissu ni wa jeshi la magereza, si wote wanaoenda kumwona wana nia njema, kwa ukuaji wa technology kuna namna nyingi za kumdhuru, hivyo ku limit watu wa kumwona hakumaanishi hatendewi haki, jeshi limesema niwanafamilia tu wanayohaki ya kumwona unalalamika nini sasa? magereza wako mahabusu wengi kama nia ni kumpa pole siwaone mahabusu wengine kwanini unganganie lissu tu
Kwa Hilo hauko sawa mkuu, wanafamilia tu wanaruhusiwa kwa kifungu kipi?Mkuu Dorothy, jukumu la kuhakikisha usalama wa lissu ni wa jeshi la magereza, si wote wanaoenda kumwona wana nia njema, kwa ukuaji wa technology kuna namna nyingi za kumdhuru, hivyo ku limit watu wa kumwona hakumaanishi hatendewi haki, jeshi limesema niwanafamilia tu wanayohaki ya kumwona unalalamika nini sasa? magereza wako mahabusu wengi kama nia ni kumpa pole siwaone mahabusu wengine kwanini unganganie lissu tu
Ratiba yake ya Leo unaijua? Halafu kama wazee wake walishafariki huoni kama unamkumbusha ukiwa?Awajulie hali wazee wake kwanza
nimeongelea Dorothy ,sio chademaAndika ueleweke. CHADEMA imesaini uchaguzi gani?
Usiwaulize CCM maswali ya kimantiki. Wewe watu walioambiwa kuwa CHADEMA inachangisha hela ili wakanunue virusi vya Ebola na Mpox wakashangilia, hao ndiyo uwaulize maswali ya kimantiki?Kwa Hilo hauko sawa mkuu, wanafamilia tu wanaruhusiwa kwa kifungu kipi?
Ana ndugu wengi tu,awajulie haliRatiba yake ya Leo unaijua? Halafu kama wazee wake walishafariki huoni kama unamkumbusha ukiwa?
upo mkubwa , wao waende kujiandaa na uchaguzi m-beba maono wakae nae mbaliHakuna uhusiano mkuu...
Tendeni haki acha blabla hapa...Mkuu Dorothy, jukumu la kuhakikisha usalama wa lissu ni wa jeshi la magereza, si wote wanaoenda kumwona wana nia njema, kwa ukuaji wa technology kuna namna nyingi za kumdhuru, hivyo ku limit watu wa kumwona hakumaanishi hatendewi haki, jeshi limesema niwanafamilia tu wanayohaki ya kumwona unalalamika nini sasa? magereza wako mahabusu wengi kama nia ni kumpa pole siwaone mahabusu wengine kwanini unganganie lissu tu
Gentleman,IBADA YA PASAKA GEREZANI: KUMTEMBELEA TUNDU LISSU
Katika kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka mwaka huu, niliamua kuitumia siku hii kwa namna ya kipekee kwa kwenda kumtembelea Ndugu Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA na pia Mwenyekiti wangu katika Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), aliye katika Gereza la Ukonga.
Mnamo saa 3:00 asubuhi nilikuwa tayari nimewasili gerezani tukiwa tumeambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu, Ester Thomas. Cha kushangaza, baada ya kufika, tuliambiwa tupaki gari kwa dakika 10 nikisubiri maelekezo ya utaratibu wa kumuona. Hata hivyo, baada ya dakika hizo kupita, nilielezwa kuwa hatuwezi kumuona Ndugu Lissu kwa sababu anaruhusiwa kuonwa na watu watatu tu, ambao ni wanafamilia wake pekee. Tumefanya juhudi za kumtafuta Kamishna wa Magereza Tanzania zimegonga mwamba bila mafanikio. Tumekuwepo kwa masaa zaidi ya mawili hata fursa ya kumuona bwana jela imegomewa haturuhusiwi
Hili ni zuio lisilo la haki, linaloendeleza ukandamizaji wa demokrasia na ukiukwaji wa wazi wa sheria na haki za binadamu. Ni ishara ya kurudi kwenye enzi za giza za dhuluma, vitisho na utawala wa kiimla ambapo hofu inapandikizwa makusudi ili kuwakatisha tamaa Watanzania katika mapambano yao ya haki.
Wito wangu kwa Watanzania ni huu: Tusiogope, tushikamane tuisimamie kweli na haki. Tuwe thabiti katika kupambana na udhalimu wa serikali ya CCM.
Tukio hili limenikumbusha kwa uchungu jinsi ambavyo kumbukumbu zangu za kuwa na taifa huru zinafutwa polepole. Linaashiria kurudi kwa sura mpya ya ukoloni, ukoloni wa ndani ambao ni lazima tuupinge kwa nguvu zote.
Kampeni zote muhimu kwa ajili ya kuhakikisha tunaleta mabadiliko ya kweli katika nchi yetu zinapaswa kuendelea kwa ari na kasi zaidi. Tuendelee kusimama imara katika mapambano haya ya kutetea haki, kulinda demokrasia na kuhakikisha ustawi wa Watanzania wote.
Pasaka hii imenikumbusha maana ya matumaini, mshikamano, na nguvu ya kusimama pamoja kwa ajili ya haki.
Tusikate tamaa. Tushikamane.Tupambane. Tusonge mbele.
Jamani si muacha mahabusu apate muda wa kupumzika? Sasa kumtembelea imekua kama mnaenda cho*ni khaaa! Acheni hata apate muda wa kutafakari kidogo yale anayoyapambania.IBADA YA PASAKA GEREZANI: KUMTEMBELEA TUNDU LISSU