Ndo maana nimesema nyie watu ni vilaza!!Sasa tangu lini June kukawa quater of a year? Wewe tafuta mwalimu wa shule ulienda akakurudishia fee juu hakuna ulichotoka nayo huko.
Hizo ni Ripoti 2 tofauti:-
1. Quarterly Report kwa upande wa Tanzania; kwa maana ni takwimu zilizoishia March 31,
2. For the first six months report kwa upande wa Kenya... kwa maana takwimu zinazoishia June 30!
Lakini kwa upande mwingine, kama hujui ikiwa june kunakuwa na quarter of the year, huko Kenya mngekuwa mnapewa elimu mzuri ungefahamu kwa june inaitwa "second quarter"!
Haya jibu swali ambalo nilikuuliza! Tatizo lenu hasa ni lipi?! Ni kwamba lugha ya Malkia inawapiga chenga pamoja na tambo zenu zisizo na maana yoyote, au namba ndo tatizo kutokana na elimu duni mnayopewa huko Kenya?!
Concern ya swali langu inatokana na ukweli kwamba, kila ninapoona threads zenu hapa JF, nyingi huwa zinaishia ku-expose uelewa mdogo mlio nao!!