KCB sasa ina asset value ya ksh 1 trillion. ($10 billion)

Hizi debate hazina maana ndio sababu hawawezi kuchangia, sisi tunataka kulinganisha iwajibikaji wa serikali za hizi nchi mbili kwa wananchi wao, mambo ya private hayatoi picha ya maendeleo ya watu wa nchi husika
So the private sector has no role to play in national development or what's exactly your point?
 
na bado mnakopa[emoji16][emoji16][emoji16].

Hata Marekani wenye uchumi zaidi yenu mara 1,000,000 bado wanakopa, hilo lisikupe tabu, kikubwa ni kwamba nyie huko mnaitia Afrika aibu kwa mlivyo wazembe.
 
Hata Marekani wenye uchumi zaidi yenu mara 1,000,000 bado wanakopa, hilo lisikupe tabu, kikubwa ni kwamba nyie huko mnaitia Afrika aibu kwa mlivyo wazembe.

we mbuzi kweli,marekani inakopa ijenge barabara[emoji16][emoji16].

aibu ya africa inatoka kenya,nchi ambayo ina benki zenye mitaji mikubwa ila wananchi wake bado 21c wanakufa kwa njaa[emoji20][emoji20][emoji20].
 
15% of Kenyas Economy
 
Ukitoa kushindanisha basi kijana huna content...
 
we mbuzi kweli,marekani inakopa ijenge barabara[emoji16][emoji16].

aibu ya africa inatoka kenya,nchi ambayo ina benki zenye mitaji mikubwa ila wananchi wake bado 21c wanakufa kwa njaa[emoji20][emoji20][emoji20].

Soma deni la Marekani kwa uwiano wa uchumi wao, hamna taifa dunia hii lisilokopa, ila nyie hapo kwa mlivyo maskini na wazembe mkiendelea kukopa mtaisha. Mumetia bara letu aibu na kufanya yote ambayo husemwa dhidi ya Waafrika kuonekana kweli, kwamba tumepewa raslimali ila tukanyimwa ubongo, hilo dongo huwahusu sana nyie.
 
Hivi watu ambao bado wanaendelea kufa kwa njaa katika karne hii ya sayansi na teknolojia, nchi ambayo haina vita vya wenyewe kwa wenyewe lakini wanategemea chakula cha msaada, wanapataje ujasiri wa kujiita ni nchi yenye uhuru kamili?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Vipi Tanzania kutokuwa na kampuni yenye ukwasi kama huo kumesaidia kupunguza hayo kwa watanzania?
 

nimekuuliza,marekani anakopa ili ajenge daraja au barabara??
 
So the private sector has no role to play in national development or what's exactly your point?
Tell me, Nairobi Hospital and Kenyatta Hospital, which one is for the majority of Kenyans?.

If Nairobi Hospital closes its business today, its effect will be felt by very few Kenyans who can look for alternatives very easily, but if the same happens to Kenyatta Hospital, the effect is catastrophic.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Vipi Tanzania kutokuwa na kampuni yenye ukwasi kama huo kumesaidia kupunguza hayo kwa watanzania?
Sawa na kuuliza Tanzania kukosa kinu cha nguvu za nuclear kama imepunguza uwezo wa kujizalishia chakula. Jaribu kuweka swali lako vizuri hujasomeka.

Lazima jambo liwe na "positive effects" katika nchi ndio kuwepo na umuhimu wake, lazima makampuni au mashirika yaweze kutoa suluhisho ya matatizo ya jamii husika.

Kenya matatizo yao ya msingi kwa sasa ni
1)Njaa
2)Rushwa
3)Ukabila
4)Deni kubwa la nchi
5)Ukosefu wa usalama
6)Ukosefu wa ajira
7)Sheria mbovu za ardhi
8)Political instability
9)Slums
10)Terrorism

Huo ukwasi wa KCB umesaidia nini katika hayo?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana ukubwa wake unakopesha vijana wanaofanya ujasiliamali. Inawezakana wanadhamini miradi. Siyo lazima uangalie angle unayotaka wewe tu.
Badala ya kuhate tuna mengi tunaweza jifunza kwa Kenya na wao wakajifunza kwetu. Kenya ina wabunifu wazuri, ina ma IT wazuri au kama siyo wzuri basi wanawaza nje ya box, hata huko mtandaoni Kenya wanajulikana kwa kiswahili kuliko hata sisi.

Wana GDP kubwa, huenda haijawafikia wengi wa chini lakini within time itawafikia kwa kiasi flani. Rushwa ni janga la mataia mengi ya Afrika hata hapa Tanzania haijakomeshwa. Ipo sana tu kuanzia ofsi ndogo za umma. Juzi nimeenda kutafuta cheti cha kuzaliwa cha mtoto nilichokikuta pale sikukitegema.

KCB imefanya vizuri, ni local bank kama imeweza kujtanua hivyo ni jambo la kupongeza, na sisi tungetamani kusikia NMB imefanya hivyo, tungetamani brand za kitanzania zisambae sana siyo AZAM tu
 
Kaka, badala ya kuzungumza vitu kwa ushahidi wewe unazungumza theories "Inawezekana". Mimi nimeweka orodha ya matatizo ya msingi yanayowatesa wakenya, kama unakubaliana na hiyo orodha, onyesha ni wapi KCB imetatua au inaendelea kutatua hilo tatizo kwa ushahidi.

Hii habari ya kuzungumza vitu kwa nadharia lakini hakuna kinachoonekana kikisaidia ni tabia ya wakenya, kataa kuingia na kuiga ujinga wa wakenya kujisifia GDP wakati hawana uwezo wa kujenga hata kilometa moja ya SGR baada ya wachina kukataa kuwapa pesa, hawana uwezo wa kuwasaidia wakulima wao kuzalisha chakula ili wasife kwa njaa.



Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hayo matatizo yapo nchi zote za kusini mwa jangwa la sahara siyo kenya tu.
Kwani mkuu ni uongo GDP yao siyo kubwa kuzidi yetu? Au ukweli umekuwa uongo? Hata sisi SGR tukiweka siasa pembeni tumekopa sana.
Janga likija hasa la njaa ni nchi chache za Afrika linaweza kulimaliza. Unahisi Tanzania itokee ukame, au nzige waharibu mazao serikali itaweza wapa watu chakula. Umesahau kipindi cha Kikwete watu wana njaa wanapelekea eti debe la mahindi. Sasa wewe debe la mahindi utakula shilingi ngapi tena inapewa familia.

No need to hate, KCB imefanya poa.
 
Hii ina maana gani kwa wakenya 48% ambao ni unemployed, 50% below poverty line, 2M wanaokabiliwa na njaa, 3M wanaoishi slums, na wale wanaouliwa au kujeruhiwa na polisi bila hatia yoyote?
Hahahaa kudadekiii.....sio kwa analysing hiii....
 
Ni aje hutajataja umaskini leo?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…