Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

Watanzania wanapotezwa na propaganda ndogo ndogo tu
 
Wa Tanzania tuache unafiki. pamoja na Udikteta wake Yapo mambo makubwa aliyofanya Magufuli. Au mnataka kumuondoa katika fikra za WaTz ili wengine waonekane leo kuwa wanafaa? Mtoa mada anatukumbusha haya.
Nyie mnaomkosoa Magufuli Yote maslahi tuu!
Umeandika kweli tupu
 
Yaani anampamba yule shetani hayawani muuaji mwizi jambazi ambaye alikuwa anataka aibe peke yake usimfananishe na baba wa taifa hili Ile ilikuwa takataka tena zaid ya takataka
 
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyerere muoga kwa mabeberu? Hii umeitoa wapi ndugu? Alikuwa na mapungufu yake tena mengine yanatuathiri hadi leo lakini sijui hilo.
 
Kumuweka Nyerere na Magufuli meza moja ni sawa na kuweka kinyesi kibichi na keki meza moja...hawa watu wawili ni tofauti sana,ni km mbingu na ardhi.
Hivi karibuni kumekuwa na juhudi za kumsafisha Magu kupitia jina la Nyerere,ni ujinga mtupu.
 
Usimlinganishe Nyerere na Magufuli.
Magufuli has never been a thinker.
 
Nyerere hutosikia akiitwa mwendakuzimu humu ndani au popote. Anaitwa Hayati baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Huyo jiwe mwendazake ni wazi na dhahiri hawezi KAMWE kuwa level ya Mwalimu.

Jiwe hana historia ya kuheshimiwa barani Africa, anaheshimika sana na kanda fulani tena wa kabila fulani Tu, nako siyo na kila mtu.

Mleta mada hujitambui, umeelemewa na kupumbazwa na mahaba!
 
Ukiona mtu anawatukana hawa watu wawili jua ni MPUUZI tu
 
Reactions: RNA
Nyerere alikuwa mwongo mwongo.by Tindu lissu, upinzani wa tanzania pasua kichwa,unatembea na upepo.
Unadhihirisha jinsi ulivyo na matatizo ya afya ya akili,unahitaji tiba ya haraka, ungesema ulipo ningekuletea ambulance ikuwahishe Mirembe
 
Mleta hoja acha kabisa kumweka kipenzi chetu Nyerere na huyo mtu wenu!
Tena koma kama ulivyokoma titi la mama yako! ebo!
Unamweka Baba mwenye hekima, busara na akili na huyo mtu wenu? RIP Mwalimu Nyerere.
 
Yule bwana alikuwa mharibifu wa kila kitu..

Ni mtu sahihi kusimamiwa sio yeye kusimamia maamuzi.
Hakutakiwa kuwa mtu wa mwisho kwenye maamuzi. Nafasi ya mwisho kwake ilitakiwa kuwa waziri Mkuu sababu Ni nafasi ya kusimamia mikakati ya kiutendaji ilifaa zaidi maana mawaziri wote wangekuwa chini yake.
 
Wa Tanzania tuache unafiki. pamoja na Udikteta wake Yapo mambo makubwa aliyofanya Magufuli. Au mnataka kumuondoa katika fikra za WaTz ili wengine waonekane leo kuwa wanafaa? Mtoa mada anatukumbusha haya.
Nyie mnaomkosoa Magufuli Yote maslahi tuu!
Ndiyo maana wanakwambia hawafanani sababu kwenye mambo makubwa ya magufuli Ni pamoja na kuuwa watu na kumshambulia Tundu Lisu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…