Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

Nyerere alikuwa dikteta na Magufuli alikuwa dikteta wote wanafanana tu. Nyerere alizuia TV, redio binafsi na tulisikiliza RTD tu na ilikuwa ni misifa juu ya misifa. Sema tunamuheshimu kwa sababu alikuwa raisi wa kwanza. But alikuwa dikteta tena afadhali hata ya Magufuli.
 
Unamkosea heshima sana Mwalimu Nyerere kumweka kundi moja na mtu huyo mwingine.

Utakuwa una matatizo kidogo mahala.
 
Angalia mtu kiazi kama huyu hapa. Oooh!
 
TIME IS THE ULTIMATE TRUTH TELLER .siku Moja mtakuja jua ukweli kuhusu JPM.
 
Kama ulikuwa hujui kebei za magufuli na nyerere na hapahapa jamii forums na aswa jukwaa hili la siasa nje ya hapa watanzania wengi wanaelewa mchango wa hao watu.na hauwezi ukiongea jambo la kuwakashifu viongozi hao wakakuelewa
 
Reactions: RNA
TIME IS THE ULTIMATE TRUTH TELLER .siku Moja mtakuja jua ukweli kuhusu JPM.
Kuna watu miaka 20 ijayo watakuwa wanahiji katika kaburi la JPM. Chato itakuwa ni sehemu ya hija kwa wapenda maendeleo na wapenda uzalendo.
 
Reactions: RNA
Hakutakiwa kuwa mtu wa mwisho kwenye maamuzi. Nafasi ya mwisho kwake ilitakiwa kuwa waziri Mkuu sababu Ni nafasi ya kusimamia mikakati ya kiutendaji ilifaa zaidi maana mawaziri wote wangekuwa chini yake.
Waziri wa kawaida tuu kama alivyokuwa
 
Bro/sister. Hv democasia ni nini?

nchi gan inafuata mfumo wa democrasia km sii maigizo tuu?


#najua utakuja na mfano wa nchi km USA;:: nami nakuambia refer uchaguz wa 2016 USA
 
Hakuna raisi ambaye hajafanya mazuri wala mabaya, ila wapo maraisi waliofanya mazuri makubwa zaidi Kwa taifa letu. Hatupaswi kuwadhihaki
 
Reactions: RNA
Mwacheni mtoa uzi atambe "every thing is alright in the night"
Takwimu zinaonyesha kwamba 43% ya wa Tanzania wanazaliwa wakiwa wamedumaa. Sijajua udumavu wa kiakili (mental retardness) unakuwaje
Na huu ndio mtaji mkuu wa wanasiasa
Nimeandika kimafumbo lakini wenye nazo watatambua tu
 
Kwamba safar za mwenyekiti Kwa mama Zina mshindo mkubwa nyuma yake? Kwamba NCCR Kuna jambo nyuma yake lisilo mithilika???


#napita tuu, sinapewa seat
 
Unamkosea sana baba wa taifa kumweka kundi moja na huyo mwana chato. Kajifunze kuheshimu status za watu ndio urudi uandike upya. Ushauri wa bure tu ni kuwa zama za mpendwa wenu zimepita na yote yaliyobaki ni historia ya kufundisha kizazi hiki na kijacho. Mabaya na mazuri yote yatasemwa.
 
Wa Tanzania tuache unafiki. pamoja na Udikteta wake Yapo mambo makubwa aliyofanya Magufuli. Au mnataka kumuondoa katika fikra za WaTz ili wengine waonekane leo kuwa wanafaa? Mtoa mada anatukumbusha haya.
Nyie mnaomkosoa Magufuli Yote maslahi tuu!
Kafanya mambo gani makubwa!?
 
Tatizo watu Hamfuatilii mambo

Si kwamba hatufuatilii, tunafuatilia na tunajua, na tofauti ya Magufuli na Nyerere tunaijua. Umemtaja Magufuli na Nyerere, ili umfunikie Magufuli kwenye koti la Nyerere. Ni hivi, Magufuli alikuwa ni mlevi wa madaraka, na aliinajisi sana nchi hii kwa utawala wake wa kihayawani. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Humu kuna mapopoma hayajui hata nchi inaendaje.... hali ya maisha kwa sasa ni mbaya mno mijitu inakuja kuanzisha nyuzi za namna hii kuyateka majinga kuacha kujadili maswala ya msingi....kuja kujadili wafu.
 
Wew kibwetele ulishawahi ona dikteta anaachia uongozi kwa hiari yake au umeshiba magimbi huko unakuja kuropoka. Nyerere alikuwa na mapungufu yake lakini huwez mlinganisha na pimbi Kama huyo mla rushwa fisadi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…