Alikuwa ananyonya. Angetumia Mia nyekundu Ile ya mmasai na radio ya mkulima asingeandika alichoandika.Nyerere muoga kwa mabeberu? Hii umeitoa wapi ndugu? Alikuwa na mapungufu yake tena mengine yanatuathiri hadi leo lakini sijui hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa ananyonya. Angetumia Mia nyekundu Ile ya mmasai na radio ya mkulima asingeandika alichoandika.Nyerere muoga kwa mabeberu? Hii umeitoa wapi ndugu? Alikuwa na mapungufu yake tena mengine yanatuathiri hadi leo lakini sijui hilo.
Unamkosea heshima sana Mwalimu Nyerere kumweka kundi moja na mtu huyo mwingine.Habari,
Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.
Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?
Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.
Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!
View attachment 2237718
View attachment 2237721
Angalia mtu kiazi kama huyu hapa. Oooh!Nyerere alikuwa dikteta na Magufuli alikuwa dikteta wote wanafanana tu. Nyerere alizuia TV, redio binafsi na tulisikiliza RTD tu na ilikuwa ni misifa juu ya misifa. Sema tunamuheshimu kwa sababu alikuwa raisi wa kwanza. But alikuwa dikteta tena afadhali hata ya Magufuli.
Vijana hawaelewi hayaUkiona mtu anawatukana hawa watu wawili jua ni MPUUZI tu
Kuna watu miaka 20 ijayo watakuwa wanahiji katika kaburi la JPM. Chato itakuwa ni sehemu ya hija kwa wapenda maendeleo na wapenda uzalendo.TIME IS THE ULTIMATE TRUTH TELLER .siku Moja mtakuja jua ukweli kuhusu JPM.
Waziri wa kawaida tuu kama alivyokuwaHakutakiwa kuwa mtu wa mwisho kwenye maamuzi. Nafasi ya mwisho kwake ilitakiwa kuwa waziri Mkuu sababu Ni nafasi ya kusimamia mikakati ya kiutendaji ilifaa zaidi maana mawaziri wote wangekuwa chini yake.
Bro/sister. Hv democasia ni nini?Tatizo alikuwa na mapungufu mengi,anaungwa mkono na kundi la watu wachache,fikiria hata makamu wake wa rais kipindi kile alikuwa hamkubali,alivuruga demokrasi kuwapitisha wabunge wa CCM bila kupigwa,kipindi chake maiti zilikuwa zinaokotwa kwenye viroba,na watu walikimbia inchi
Hakuna raisi ambaye hajafanya mazuri wala mabaya, ila wapo maraisi waliofanya mazuri makubwa zaidi Kwa taifa letu. Hatupaswi kuwadhihakiHabari,
Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.
Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?
Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.
Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!
View attachment 2237718
View attachment 2237721
Kwamba safar za mwenyekiti Kwa mama Zina mshindo mkubwa nyuma yake? Kwamba NCCR Kuna jambo nyuma yake lisilo mithilika???Mwacheni mtoa uzi atambe "every thing is alright in the night"
Takwimu zinaonyesha kwamba 43% ya wa Tanzania wanazaliwa wakiwa wamedumaa. Sijajua udumavu wa kiakili (mental retardness) unakuwaje
Na huu ndio mtaji mkuu wa wanasiasa
Nimeandika kimafumbo lakini wenye nazo watatambua tu
Unamkosea sana baba wa taifa kumweka kundi moja na huyo mwana chato. Kajifunze kuheshimu status za watu ndio urudi uandike upya. Ushauri wa bure tu ni kuwa zama za mpendwa wenu zimepita na yote yaliyobaki ni historia ya kufundisha kizazi hiki na kijacho. Mabaya na mazuri yote yatasemwa.Habari,
Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.
Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?
Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.
Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!
View attachment 2237718
View attachment 2237721
Kafanya mambo gani makubwa!?Wa Tanzania tuache unafiki. pamoja na Udikteta wake Yapo mambo makubwa aliyofanya Magufuli. Au mnataka kumuondoa katika fikra za WaTz ili wengine waonekane leo kuwa wanafaa? Mtoa mada anatukumbusha haya.
Nyie mnaomkosoa Magufuli Yote maslahi tuu!
Tatizo watu Hamfuatilii mambo
Wew kibwetele ulishawahi ona dikteta anaachia uongozi kwa hiari yake au umeshiba magimbi huko unakuja kuropoka. Nyerere alikuwa na mapungufu yake lakini huwez mlinganisha na pimbi Kama huyo mla rushwa fisadi mkuu.Nyerere alikuwa dikteta na Magufuli alikuwa dikteta wote wanafanana tu. Nyerere alizuia TV, redio binafsi na tulisikiliza RTD tu na ilikuwa ni misifa juu ya misifa. Sema tunamuheshimu kwa sababu alikuwa raisi wa kwanza. But alikuwa dikteta tena afadhali hata ya Magufuli.
Unachofanya ni kujaribu kuweka pilau na makande kwenye sahani moja.