Kelele zikiwa nyingi na kuwazomoea Bodi Kwa Maamuzi ya Kijinga, msije kushangaa Yanga anapewa Point 3 maana washaanza kuraruana tayar.

Kelele zikiwa nyingi na kuwazomoea Bodi Kwa Maamuzi ya Kijinga, msije kushangaa Yanga anapewa Point 3 maana washaanza kuraruana tayar.

Hilo haliwezekani, wao ndio walitoa official statement ya kuahirisha mechi na Simba imeifuata hiyo. Hakuna marefa wala officials wengine waliofika uwanjani zaidi ya Uto, hapo unampa Yanga pointi 3 kwa kipi? Kwa Simba kusema 'No reform no Derby'? Huo uamuzi mnaohisi utatolewa ndio walifaa kuufata Simba tuliposema hatushiriki hii mechi wangeacha taratibu zote ziendelee kama kawaida, kwa kumuadhibu hivyo Simba manake nao wanastahili adhabu. Hii ngoma imekaa vibaya kwao.
 
Wametoa official statement baada ya Simba kutoa official statement kuwa hawatoleta timu uwanjani. Sasa kati ya Simba na bodi ya ligi ni yupi kafuata maagizo ya mwenzake? Point yako ingekuwa sahihi kama ingetangulia official statement za mamlaka ya mpira Tanzania.
 
Usilete matusi Yako hapa,
Nimeamka nimepitia Mitandao yangu pendwa miwili X formerly known as Twitter na JF.

Nilichokiona hata waliokua wanatetea swala la Simba mapema Ile wamegeuka nao saiv wanailaumu Bodi.
Impossible kupewa alama tatu Yanga.
Bodi wamenunua kesi, Simba hana makosa tena ya kutokuchezwa mechi ya jana.

Bodi ilikua iendelee na msimamo wake ule ule wa awali kuwa ratiba ipo pale pale, lakini kwa kua baba kaamua kupiga mbizi kumuokoa mwana mpendwa imebidi azame yeye.

Natamani waathirika wote (kifedha) kwa maamuzi jana wafungue kesi ya madai ili akili ziwakae sawa wajue kuna kufanyakazi KIWELEDI na kufanyakazi kwa MAHABA NIUE.
 
Huo uamuzi mnaohisi utatolewa ndio walifaa kuufata Simba tuliposema hatushiriki hii mechi wangeacha taratibu zote ziendelee kama kawaida, kwa kumuadhibu hivyo Simba manake nao wanastahili adhabu. Hii ngoma imekaa vibaya kwao.
Bodi ya Ligi ilibidi watulie km Refarii mchezoni wasitolewe mchezoni kwa sababu ya kisiasa, wao ilibidi wasubirie mpaka kuanzia saa 1 mpaka 4 usiku wa Jana iangalie timu gani itafika uwanjani km kanuni zinanvyosema na timu gani haikufika uwanjani, sasa ile ambayo haikufika ilibidi ipigwe rungu km unavyotakiwa na kanuni zinavyosema
 
Wametoa official statement baada ya Simba kutoa official statement kuwa hawatoleta timu uwanjani. Sasa kati ya Simba na bodi ya ligi ni yupi kafuata maagizo ya mwenzake? Point yako ingekuwa sahihi kama ingetangulia official statement za mamlaka ya mpira Tanzania.
Na ni yupi anatakiwa maagizo yake ndo yafuatwe? Bodi wamsikilize Simba au Simba amsikilize bodi? Wao wangeacha taratibu ziendelee, muda wa mechi ufike halafu Simba wasitokee wawape alama Uto. Saivi wawape Yanga alama 3 kwa kigezo cha wao kutangaza hawachezi, kanuni/taratibu/sheria zinasema timu ipewe alama kama timu haijafika uwanajani au kama imetangaza haitofika?
 
Bodi ya Ligi ilibidi watulie km Refarii mchezoni wasitolewe mchezoni kwa sababu ya kisiasa, wao ilibidi wasubirie mpaka kuanzia saa 1 mpaka 4 usiku wa Jana iangalie timu gani itafika uwanjani km kanuni zinanvyosema na timu gani haikufika uwanjani, sasa ile ambayo haikufika ilibidi ipigwe rungu km unavyotakiwa na kanuni zinavyosema
Na hii ndiyo hoja yangu Chief. Bodi wamenunua kesi, hapa kilichobaki ni Uto kuwaonesha kazi kitu ambacho nina doubt kama mtaweza mana na nyie mna makando kando yenu ambayo bodi wanaweza kuyatumia kama leverage.
 
Viongozi wa Bodi ya Ligi wapishe zile nafasi hawazitendei haki kwa kutoa maamuzi ya kijinga
 
Maamuzi ya kuahirisha mpira wa jana ni kati ya maamuzi mabovu kuwahi kufanyika
Ni kwa kua sababu zilizokuwepo hazikuwa na uzito wa kutosha kuahirisha mpira

1. Kitendo cha Simba kupeleka team uwanjani bila taarifa jioni/usiku, kilitosha kabisa kuwazuia kwa sababu; uongozi wa Uwanja unatakiwa kuwa na taarifa ili kuweka mazingira sawa ikiwepo kuwa na walinzi, wafanyakazi nk kwa ajili ya kusimamia taratibu za uwanja.

2. Tusiaminishwe kuwa mashabiki wachache tu ndio wenye nguvu ya kufanya kazi ya ulinzi wa uwanja kuliko wafanyakazi/walinzi wa uwanja walio ajiriwa.....tukiamini hivyo kuna siku team zitazuiwa kwenda uwanjani ili team nyingine ipate point tatu....

3. Mimi bado naamini team ya SIMBA ILIZUILIWA na walinzi wa uwanja kwa kutokufuata taratibu (kwenda uwanjani jioni/usiku bila taarifa) hayo ya mashabiki wa Yanga yamejazilishiwa tu.....

Kimsingi sababu zilikuwa Nyepesi ukiangalia gharama za maandalizi na washabiki ambao wengi tu walisafiri kutoka mikoani na Nnje ya Nchi. Inamaana mechi za Yanga na simba wanaenda kuzipunguzia ushabiki (fedha) kwani hakuna mtu ataliipa hela yake kwenda dar wakati kwa sababu nyepesi nyepesi mechi inaweza kuaharishwa!
 
Back
Top Bottom