THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
aliyeogopa ni yule aliyemkataza mwenzie asiingie uwanjani akakimbize majiniSimba wameiogopa mechi wakala kona.
HakikaNi suala la muda tu yanga kuchukua point 3, bodi ya ligi imefanya maamuzi ya hovyo sana kuahirisha mchezo.
Umefanyika ujinga wa karneSuala hili liko wazi. Yanga anastahili point 3 na magoli 3. Kinyume na hapo Bodi ya michezo na TFF waachie ngazi maana wameshindwa kazi.
Waoga kinomaSimba wameiogopa mechi wakala kona.
Wametoa official statement baada ya Simba kutoa official statement kuwa hawatoleta timu uwanjani. Sasa kati ya Simba na bodi ya ligi ni yupi kafuata maagizo ya mwenzake? Point yako ingekuwa sahihi kama ingetangulia official statement za mamlaka ya mpira Tanzania.Hilo haliwezekani, wao ndio walitoa official statement ya kuahirisha mechi na Simba imeifuata hiyo. Hakuna marefa wala officials wengine waliofika uwanjani zaidi ya Uto, hapo unampa Yanga pointi 3 kwa kipi? Kwa Simba kusema 'No reform no Derby'? Huo uamuzi mnaohisi utatolewa ndio walifaa kuufata Simba tuliposema hatushiriki hii mechi wangeacha taratibu zote ziendelee kama kawaida, kwa kumuadhibu hivyo Simba manake nao wanastahili adhabu. Hii ngoma imekaa vibaya kwao.
Simba wameogopa, mechi ya Pamba walifanyiwa fujo na mkuu wa mkoa lakini hawakususa, mechi hii hawakutoa taaarifa kuwa watatumia uwanja wakati wanajua utaratibu, walifanya makusudi maana ilikuwa wale 6.aliyeogopa ni yule aliyemkataza mwenzie asiingie uwanjani akakimbize majini
Impossible kupewa alama tatu Yanga.Usilete matusi Yako hapa,
Nimeamka nimepitia Mitandao yangu pendwa miwili X formerly known as Twitter na JF.
Nilichokiona hata waliokua wanatetea swala la Simba mapema Ile wamegeuka nao saiv wanailaumu Bodi.
Bodi ya Ligi ilibidi watulie km Refarii mchezoni wasitolewe mchezoni kwa sababu ya kisiasa, wao ilibidi wasubirie mpaka kuanzia saa 1 mpaka 4 usiku wa Jana iangalie timu gani itafika uwanjani km kanuni zinanvyosema na timu gani haikufika uwanjani, sasa ile ambayo haikufika ilibidi ipigwe rungu km unavyotakiwa na kanuni zinavyosemaHuo uamuzi mnaohisi utatolewa ndio walifaa kuufata Simba tuliposema hatushiriki hii mechi wangeacha taratibu zote ziendelee kama kawaida, kwa kumuadhibu hivyo Simba manake nao wanastahili adhabu. Hii ngoma imekaa vibaya kwao.
Na ni yupi anatakiwa maagizo yake ndo yafuatwe? Bodi wamsikilize Simba au Simba amsikilize bodi? Wao wangeacha taratibu ziendelee, muda wa mechi ufike halafu Simba wasitokee wawape alama Uto. Saivi wawape Yanga alama 3 kwa kigezo cha wao kutangaza hawachezi, kanuni/taratibu/sheria zinasema timu ipewe alama kama timu haijafika uwanajani au kama imetangaza haitofika?Wametoa official statement baada ya Simba kutoa official statement kuwa hawatoleta timu uwanjani. Sasa kati ya Simba na bodi ya ligi ni yupi kafuata maagizo ya mwenzake? Point yako ingekuwa sahihi kama ingetangulia official statement za mamlaka ya mpira Tanzania.
Na hii ndiyo hoja yangu Chief. Bodi wamenunua kesi, hapa kilichobaki ni Uto kuwaonesha kazi kitu ambacho nina doubt kama mtaweza mana na nyie mna makando kando yenu ambayo bodi wanaweza kuyatumia kama leverage.Bodi ya Ligi ilibidi watulie km Refarii mchezoni wasitolewe mchezoni kwa sababu ya kisiasa, wao ilibidi wasubirie mpaka kuanzia saa 1 mpaka 4 usiku wa Jana iangalie timu gani itafika uwanjani km kanuni zinanvyosema na timu gani haikufika uwanjani, sasa ile ambayo haikufika ilibidi ipigwe rungu km unavyotakiwa na kanuni zinavyosema
Bodi na TFF wanafedhehesha mpira wetu, wasemaji wakisema wanafungiwa kuzibwa midomo.Mambo ya aibu sana..... Watu na taasisi zimeingia hasara kubwa kwasababu ya hii mechi. Kimataifa tunaonekana wababaishaji wakubwa. TFF na Bodi ya league wamefedhehesha sana.
Viongozi wa Bodi ya Ligi wapishe zile nafasi hawazitendei haki kwa kutoa maamuzi ya kijingaNa hii ndiyo hoja yangu Chief. Bodi wamenunua kesi, hapa kilichobaki ni Uto kuwaonesha kazi kitu ambacho nina doubt kama mtaweza mana na nyie mna makando kando yenu ambayo bodi wanaweza kuyatumia kama leverage.