dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,755
- 2,740
Vipindi vilikua vinamilikiwa na watangazaji au na Vituo husika?We ni mpuuzi na huijui taaluma ya habari na utangazaji. Hii dhana ya kudhani kuwa msomi ndio utafanya kazi kwa weledi na ubunifu mnaitoa wapi? Ungesikitika kwa kuondolewa magwiji hao wa utangazaji ungeonekana wa maana. Watu walibuni vipindi murua mpaka vikawa vinafuatiliwa na watu wengi wameondoka huku majina ya vipindi waliovianzisha yakitumika bila kubadilishwa na maudhui yake nayo yabadilishwe. Ingekuwa nchi zilizoendelea hao watangazaji wangedai fidia kwa kile walichokianzisha na kuki brand wanaondoka huku vipindi vyao vikitangazwa na wengine. Hawa wanaonekana wana sifa na ithibati nao wanzishe na kubuni vipindi vyao tena wasiige maudhui tuone tofauti na ubora wao, shame on you
muachage ujinga, wale wanastahili kutunukiwa hizo sifa kama hawana, fikirieni waliwezaje kufanya kazi huku hawana sifa hizo? Shame on youMimi nilikuwa nawalaumu sana, wanisamehe tu kwa kweli. Kumbe hawakuingia darasani. Kila taaluma ina miiko yake. Isingekuwa rahisi kwao kuijua na ukizingatia wameajiriwa kwaajili ya umaarufu na sauti zao
hivi we unafikiri kwenda chuoni huku unafanya kazi ni rahisi? Inahitajika rasilimali fedha na muda wa kwenda chuoni. Kwanza mshahara wa kutosha kulipia gharama za chuo na upate muda wa kutulia chuoni. Una familia inakutegemea, muajiri gani atakugharamia uende chuoni wakati anajua wewe ni product inayotakiwa kwingine? Kujigharamia mwenyewe chuoni ni shughuli pevu. Huu mpango ungeanza na watangazaji wapya, vijana ambao bado wanasomeshwa na wazazi waoVipindi vilikua vinamilikiwa na watangazaji au na Vituo husika?
Kwanini hao watangazaji wanaogopa sana shule?
Tangu mwaka 2016 ni miaka 9 imepita wakiambiwa wasio na sifa za kielimu wasome wengine wakasoma wengine wametulia tuli wakiona serikali inafanya mzaha.
Mtu kama Shigongo ametoka Lasaba mpaka Bachelor katika kipindi hicho wakati wengine wakiona haina haja sasa utekelezaji unapoanza wa kanuni na sheria husika kuna wakumlaumu na umepewa kujiandaa kwa miaka 9?
Yaani Hadi kero Kmmk Wana brain wash vizazi sana hakuna hata mada mbali mbali za kuwa train vijana wapate kujitambua muda wote ma miziki tu umbea na michezo basii imagine mtu kama dokta kumbuka sijui na juma lokole eti nawao walikuwa wanapewa nafasi ktk media ili jamii ijifunze nini kutoka Kwa hao periodNchi inapenda ujinga. Sasa hivi hata vipindi vya mijadala ya kiuchumi na siasa hakuna. Ni umbea, ushoga, michezo full stop
🤣🤣🤣Niliacha kuwasikiliza juzi kati walipoanza kuzungumza eti magereza ni taasisi inayojitegemea haiwezi kusikiliza na kutekeleza amri ya mahakama. Nikajua hapa wapo maponjoro tu hamna kitu.
huyu mwamba tayari alikuwa na rasimali fedha kuweza kujiendeleza kimasomo, sasa mtu mwenye certificate aliyeipata kwa kusomeshwa na wazazi wake akapata nafasi ya kuwasilisha kazi zake kwenye media akawa anapata senti kidogo akapata familia na majukumu kibao atapata wapi busti ya kwenda chuoni kuongeza elimu kubwa bila mkopo na ufadhili? Kupata maarifa hupatikana kwa kusoma na kutenda ila kupata cheti ndio ishu kubwaVipindi vilikua vinamilikiwa na watangazaji au na Vituo husika?
Kwanini hao watangazaji wanaogopa sana shule?
Tangu mwaka 2016 ni miaka 9 imepita wakiambiwa wasio na sifa za kielimu wasome wengine wakasoma wengine wametulia tuli wakiona serikali inafanya mzaha.
Mtu kama Shigongo ametoka Lasaba mpaka Bachelor katika kipindi hicho wakati wengine wakiona haina haja sasa utekelezaji unapoanza wa kanuni na sheria husika kuna wakumlaumu na umepewa kujiandaa kwa miaka 9?
walipwe kwa ku brand vipindi hivyo la sivyo vifutwe na vianzishwe vingine vyenye maudhui tofauti, hakuna kuiga maudhuiVipindi vilikua vinamilikiwa na watangazaji au na Vituo husika?
Kwanini hao watangazaji wanaogopa sana shule?
Tangu mwaka 2016 ni miaka 9 imepita wakiambiwa wasio na sifa za kielimu wasome wengine wakasoma wengine wametulia tuli wakiona serikali inafanya mzaha.
Mtu kama Shigongo ametoka Lasaba mpaka Bachelor katika kipindi hicho wakati wengine wakiona haina haja sasa utekelezaji unapoanza wa kanuni na sheria husika kuna wakumlaumu na umepewa kujiandaa kwa miaka 9?
Watu wanaposema mama Samia apewe miaka mi5 tena muwaeleweSasa Media zitaanza kuongozwa KISOMI wanajazajaza wabwatukaji redioni jitu linabwatuka tu kwani umesikia hatukusikiii Mzee vipi?
safi sana, siku zote ukiajili watu wasio na elimu matokeo yake ndiyo haya. Kuna kipindi EFM walimuajiri Steve Nyerere kusoma magazeti, kwa kweli alitia kichefuchefu tasnia ya utangazaji. Mtu hana elimu yeyote, kazoea wizi wa misibani kwa wenzake unampa ajira ya utangazaji unategemea nini? Au mtu kama Manara unampa utangazaji atatangaza nini kama si ujinga tu?Leo nimefungulia ile redio ambayo jina lake linafanana na sabuni, nikitaka kusikiliza habari za magazetini.
Kiukweli nimeenjoy sana, kelele zile za Nipasheee🗣️🗣️🗣️ mwanga wa jamiii🗣️🗣️ hazikuwepo kabisa. Habari zilikuwa kwenye mtiririko mzuri sanaaa.
Nilichojifunza ni kuwa :- makelele mengi yanasababishwa na elimu ndogo. Watu wasio na elimu ili wahisi wanaeleweka lazima wapayuke.😂😂😂
Wangekuwa katika nchi ziloendelea wasingedai fidia yoyote, kule wazingatia sana ubora wa elimu ulosoma na vyeti halali.We ni mpuuzi na huijui taaluma ya habari na utangazaji. Hii dhana ya kudhani kuwa msomi ndio utafanya kazi kwa weledi na ubunifu mnaitoa wapi? Ungesikitika kwa kuondolewa magwiji hao wa utangazaji ungeonekana wa maana. Watu walibuni vipindi murua mpaka vikawa vinafuatiliwa na watu wengi wameondoka huku majina ya vipindi waliovianzisha yakitumika bila kubadilishwa na maudhui yake nayo yabadilishwe. Ingekuwa nchi zilizoendelea hao watangazaji wangedai fidia kwa kile walichokianzisha na kuki brand wanaondoka huku vipindi vyao vikitangazwa na wengine. Hawa wanaonekana wana sifa na ithibati nao wanzishe na kubuni vipindi vyao tena wasiige maudhui tuone tofauti na ubora wao, shame on you
kule kila mtu anathaminiwa kipaji chake mjuba, habari za vyeti ni kwenye siasa tu. Hata mfinyanga chungu ana hakimiliki kule huwezi kubuni kitu kiigwe na wengine wanufaike halafu familia yako ife njaa. Hivi vyeti ni kwa wajinga tuWangekuwa katika nchi ziloendelea wasingedai fidia yoyote, kule wazingatia sana ubora wa elimu ulosoma na vyeti halali.
Kama ni fani yao inayowaingizia kipato wanasoma tu mbona watu wengi wanaenda shule tena kwa fedha zao za mfukoni usitetee vitu ambavyo wengine wanafanya wao ilikua rahisi kwenda USA na kupiga picha kuweka mtandaoni ila kusoma ndio kazi ngumu..hivi we unafikiri kwenda chuoni huku unafanya kazi ni rahisi? Inahitajika rasilimali fedha na muda wa kwenda chuoni. Kwanza mshahara wa kutosha kulipia gharama za chuo na upate muda wa kutulia chuoni. Una familia inakutegemea, muajiri gani atakugharamia uende chuoni wakati anajua wewe ni product inayotakiwa kwingine? Kujigharamia mwenyewe chuoni ni shughuli pevu. Huu mpango ungeanza na watangazaji wapya, vijana ambao bado wanasomeshwa na wazazi wao
Wewe ni mjinga sana tena sana. Pumbavu eti walibuni.We ni mpuuzi na huijui taaluma ya habari na utangazaji. Hii dhana ya kudhani kuwa msomi ndio utafanya kazi kwa weledi na ubunifu mnaitoa wapi? Ungesikitika kwa kuondolewa magwiji hao wa utangazaji ungeonekana wa maana. Watu walibuni vipindi murua mpaka vikawa vinafuatiliwa na watu wengi wameondoka huku majina ya vipindi waliovianzisha yakitumika bila kubadilishwa na maudhui yake nayo yabadilishwe. Ingekuwa nchi zilizoendelea hao watangazaji wangedai fidia kwa kile walichokianzisha na kuki brand wanaondoka huku vipindi vyao vikitangazwa na wengine. Hawa wanaonekana wana sifa na ithibati nao wanzishe na kubuni vipindi vyao tena wasiige maudhui tuone tofauti na ubora wao, shame on you
Kwani sisi huku ground si ndo tunapenda huo ujinga. Maana sisi wenyewe huku tupotupo tu tunajiita wasomi tunasubiri ligi irudi tuanze kubet hakuna cha zaidi. Sisi ndo tunachangia unjinga mwingi unaoendelea. Saa nyingine ni bora hata hao ambao hawajasoma sisi wasomi tunaendekeza uchawa na roho mbaya tu.Nchi inapenda ujinga. Sasa hivi hata vipindi vya mijadala ya kiuchumi na siasa hakuna. Ni umbea, ushoga, michezo full stop
Kenya ilitokea kesi ya kijana kujifanya mwanasheria akashinda kesi kadhaa. Na huyu atunukiwe uanasheria?muachage ujinga, wale wanastahili kutunukiwa hizo sifa kama hawana, fikirieni waliwezaje kufanya kazi huku hawana sifa hizo? Shame on you