Kelvin Yondani kumkanyaga makusudi Fiston Mayele lazima kuadhibiwe kama wengine

Kelvin Yondani kumkanyaga makusudi Fiston Mayele lazima kuadhibiwe kama wengine

Ni mdau muhimu. Kwa manufaa ya mpira na heshima ya TFF lazima makosa sawa yapewe adhabu sawa.
Wachezaji wa simba wakichezewa hizo rafu na hao wachezaji mnaowaita wahuni mnashangilia . wakionywa kwa kadi nyekundu mnasema simba wanapendelewa. Kachezewa mayele mnakuja kulialia humu.Mkuki kwa nguruwe , kwa binadamu......
 
Acha kuwa mpumbavu nani kachezewaa hivi hapo Simba?. Mnawaza kutumia mavi nini!!.
Wachezaji wa simba wakichezewa hizo rafu na hao wachezaji mnaowaita wahuni mnashangilia . wakionywa kwa kadi nyekundu mnasema simba wanapendelewa. Kachezewa mayele mnakuja kulialia humu.Mkuki kwa nguruwe , kwa binadamu......
 
Nipe reference ya utovu wa nidhani alioufanya

Weka clip ukishindwa niambie ni dakika ya ngapi inayoonesha tukio la yondani kumfanyia fujo mayele kwenye hiyo video uliyotuwekeUt

Nipe reference ya utovu wa nidhani alioufanya

Weka clip ukishindwa niambie ni dakika ya ngapi inayoonesha tukio la yondani kumfanyia fujo mayele kwenye hiyo video uliyotuwekea
Choko kweli hili.
 
Lazima wachezaji walindwe, kuna mtu anaamini Mayele akiumia basi Yanga itakosa kupata matokeo, huu ndio mkakati
 
Mchezo wa wa mashindano ya Azam mechi kati ya Yanga vs Geita gold imeonekana Kelvin Yondani kumkanyaga makusudi Fiston Mayele asiyekuwa na mpira. Hii haina tofauti na walichokifanya wachezaji wengine kama Mukoko na wengine waliowahi kufanya hivyo.

Angalia hapa
Mnataka ligi iwe soft sasa, tunataka ligi mfano EPL kwatu kwatu na mpira unanoga
 
Mnataka ligi iwe soft sasa, tunataka ligi mfano EPL kwatu kwatu na mpira unanoga
Aliki za kipumbavu nani anakwambia kufanya upuuzi wa yondani ndio kuifanya ligi kuwa ngumu!?
 
Aliki za kipumbavu nani anakwambia kufanya upuuzi wa yondani ndio kuifanya ligi kuwa ngumu!?
Akili imejaa mashudu hii sijapata kuona humu, ni pisi ya nani hii ije imchukue
 
Back
Top Bottom