Kelvin Yondani kumkanyaga makusudi Fiston Mayele lazima kuadhibiwe kama wengine

Kelvin Yondani kumkanyaga makusudi Fiston Mayele lazima kuadhibiwe kama wengine

Utopolo mnalia lia nini kisa kuguswa kidogo mayele?
Hivi huwa hamuoni wachezaji wa Simba kama Sakho naorrison wanavyokamiwa?
Hamkuona jinsi Luis alivyokuwa anachezewa kung fu tena na akina mwamnyeto?
Acheni kulalama soka siyo mapenzi eti uanze kumbusu busu mchezaji.
 
Rudia tena,
Alimkita na Kisihino kwenye Mbupu
Nimeangalia tena sijaona, nilichokiona ni kuwa mayele aliuvuta mguu na yondani alikuwa akitumia force kuutoa

Labda uniambie Dakika ya ngapi sekunde ya ngapi ili niweke umakini zaidi
 
Nimeangalia tena sijaona, nilichokiona ni kuwa mayele aliuvuta mguu na yondani alikuwa akitumia force kuutoa

Labda uniambie Dakika ya ngapi sekunde ya ngapi ili niweke umakini zaidi
Acha ubishi. Angalia dakika ya 15 na sekunde ya 12 utaona na ndio hapo Prof. Nabi akapewa kadi nyekundu.

Yondani alaaaniwe.

TFF ya Karia hii wataikalia kimya.

Nimekusaidia kukata kipande uone vizuri we chiz
 
Attachments

  • VID-20220411-WA0014.mp4
    15.5 MB
Acha ubishi. Angalia dakika ya 15 na sekunde ya 12 utaona na ndio hapo Prof. Nabi akapewa kadi nyekundu.

Yondani alaaaniwe.

TFF ya Karia hii wataikalia kimya.
We jamaa mbona video uliyo attach ina dakika 2 halafu maelezo yako yanazungumzia dakika ya 15 na sekunde 12

Nikueleweje hapo
 
Bangi siku zote haifai kabisa
mwenyewe anajiona mjanja Sana huyo pimbi
 
Back
Top Bottom