Kelvin Yondani kumkanyaga makusudi Fiston Mayele lazima kuadhibiwe kama wengine

Akili za wapuuz ndio mnawaza haya!! Kazi zako hizo nini??
Nitakupitia vile vile uwe na adabu kenge wewe, ondoa engese, ujue kabisa hapa umegusa pabaya
 
Utopolo mnalia lia nini kisa kuguswa kidogo mayele?
Hivi huwa hamuoni wachezaji wa Simba kama Sakho naorrison wanavyokamiwa?
Hamkuona jinsi Luis alivyokuwa anachezewa kung fu tena na akina mwamnyeto?
Acheni kulalama soka siyo mapenzi eti uanze kumbusu busu mchezaji.
 
Sisi tunasubiri kuona namna Yondani atakavyoponyoka kwenye hili. Tunashangaa kuona wachambuzi wetu wa michezo wako kimya kuhusu hili.
Wameliongelea Azam kwenye adhuhuri lounge.
 
Rudia tena,
Alimkita na Kisihino kwenye Mbupu
Nimeangalia tena sijaona, nilichokiona ni kuwa mayele aliuvuta mguu na yondani alikuwa akitumia force kuutoa

Labda uniambie Dakika ya ngapi sekunde ya ngapi ili niweke umakini zaidi
 
Nimeangalia tena sijaona, nilichokiona ni kuwa mayele aliuvuta mguu na yondani alikuwa akitumia force kuutoa

Labda uniambie Dakika ya ngapi sekunde ya ngapi ili niweke umakini zaidi
Acha ubishi. Angalia dakika ya 15 na sekunde ya 12 utaona na ndio hapo Prof. Nabi akapewa kadi nyekundu.

Yondani alaaaniwe.

TFF ya Karia hii wataikalia kimya.

Nimekusaidia kukata kipande uone vizuri we chiz
 
Attachments

  • VID-20220411-WA0014.mp4
    15.5 MB
Acha ubishi. Angalia dakika ya 15 na sekunde ya 12 utaona na ndio hapo Prof. Nabi akapewa kadi nyekundu.

Yondani alaaaniwe.

TFF ya Karia hii wataikalia kimya.
We jamaa mbona video uliyo attach ina dakika 2 halafu maelezo yako yanazungumzia dakika ya 15 na sekunde 12

Nikueleweje hapo
 
Bangi siku zote haifai kabisa
mwenyewe anajiona mjanja Sana huyo pimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…