Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

Condoleez Rice hana lolote zaidi ya kuishiwa kuwa Waziri.

Yupo Benazir Bhuto,yupo Gloria Aroyo,wapo wengi sana wamewahi kuwa Marais huko Brazil,India na Sasa PM wa Italy ni Mwanamke.
Sizungumzii kuwa Rais,nimesema kuwa mwanasiasa,mbona umepanic mkuu....
 
Mwanamke ukiamua kuwa mwanasiasa ni lazima uonyeshe kuwa wewe ni tofauti sana na wanawake wengine.Unamkumbuka Magreth Thatcher,alikuwa anaitwa iron lady,unamkumbuka Angela Merkel,Condoleeza Rice n.k,sasa chama kama Consevative kumpitisha huyu mama tena ni mweusi,ni lazima atakuwa si wa kawaida...
Ukipitia hapo utaelewa vitu gani anakwenda kuvipiga vita
 
Cha ajabu Diversity siioni kwenye uongozi wa juu wa Labour Party I mean upande wa Colour.

Conservative walikuja na Sunak na sasa Kemi.
 
Back
Top Bottom