Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Duuuuuuuu watu wana hasiraaaAzam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo.
Aibu nyingine tena kwa ligi kuu ya Tanzania, Yanga SC wanaforce ushindi wa bahasha kwa mara ingine.
Diara juu ya mstari, je mpira nyuma ya Diara ulipita kwenye mstari upi na WA goli lipi?
Yanga SC msimu hafiki robo final ya caf champions league
Yanga SC maji wataita mma mwa mwa me.
Muda utaongea nawakariibisha kwenye vitasa vya comments.
Wadiz
Ni kweli kabisaa timu mbovu inapigwa 5 kama Simba.Azam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo.
Aibu nyingine tena kwa ligi kuu ya Tanzania, Yanga SC wanaforce ushindi wa bahasha kwa mara ingine.
Diara juu ya mstari, je mpira nyuma ya Diara ulipita kwenye mstari upi na wa goli lipi?
Yanga SC msimu huu hafiki robo final ya CAF Champions League eague
Yanga SC maji wataita maji mma mwa mwa me.
Muda utaongea nawakariibisha kwenye vitasa vya comments.
Wadiz
Azam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo.
Aibu nyingine tena kwa ligi kuu ya Tanzania, Yanga SC wanaforce ushindi wa bahasha kwa mara ingine.
Diara juu ya mstari, je mpira nyuma ya Diara ulipita kwenye mstari upi na wa goli lipi?
Yanga SC msimu huu hafiki robo final ya CAF Champions League eague
Yanga SC maji wataita maji mma mwa mwa me.
Muda utaongea nawakariibisha kwenye vitasa vya comments.
Wadiz
Mechi mie nimeitizama hakuna Yanga alipobebwa .Mm yanga damu ila tumebebwa wazi kbsa
Sisi yanga bila msaada wa refa ni vingunguti fc
Mnaumizwa na nini ninyi majamaa!?Azam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo.
Aibu nyingine tena kwa ligi kuu ya Tanzania, Yanga SC wanaforce ushindi wa bahasha kwa mara ingine.
Diara juu ya mstari, je mpira nyuma ya Diara ulipita kwenye mstari upi na wa goli lipi?
Yanga SC msimu huu hafiki robo final ya CAF Champions League eague
Yanga SC maji wataita maji mma mwa mwa me.
Muda utaongea nawakariibisha kwenye vitasa vya comments.
Wadiz
Mbumbumbu watakuelewa kweli?Mnaumizwa na nini ninyi majamaa!?
We una uhakika gani kama ni goli!?
Kaanzeni na Mamelody sundowns kwanza ndio muje kutizama goli la jana
Wanasema Yanga wanabebwa kwani jana ball possession ilikua ngapi kwa ngapi!?Mbumbumbu watakuelewa kweli?
Ndiyo tatizo la mpira wa mtandaoni. Kila mtu ni kocha,refa,nkWanasema Yanga wanabebwa kwani jana ball possession ilikua ngapi kwa ngapi!?
Watu wanachekesha sana aisee.
Ball possession na ushindi ni mambo mawili tofauti ndugu.Ushindi huhesabiwa kwa magoli tu,mechi ikiisha magoli 41-40 mshindi ni mwenye 41 na kama ni kombe anapewa yeye.Wanasema Yanga wanabebwa kwani jana ball possession ilikua ngapi kwa ngapi!?
Watu wanachekesha sana aisee.
Unaelewa nini najaribu kuzungumzia!??Ball possession na ushindi ni mambo mawili tofauti ndugu.Ushindi huhesabiwa kwa magoli tu,mechi ikiisha magoli 41-40 mshindi ni mwenye 41 na kama ni kombe anapewa yeye.
Kaanze kutizama la mamelody vs Yanga ndio uje ulichambue hili.Mpira ulivuka mstari sema ulipiga chuma ukawa unazuunguka kurud njee diara hakuna kipa mule
Mpira huwez kupita nyuma ya mtu bila kuvuka mstar mkuu sema azam hawana kamara za angle zoteKaanze kutizama la mamelody vs Yanga ndio uje ulichambue hili.