Ken Gold Walinyimwa Goli dhidi ya Vibonde Yanga SC siku ya Jana

Azam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo.

Aibu nyingine tena kwa ligi kuu ya Tanzania, Yanga SC wanaforce ushindi wa bahasha kwa mara ingine.

Diara juu ya mstari, je mpira nyuma ya Diara ulipita kwenye mstari upi na wa goli lipi?

Yanga SC msimu huu hafiki robo final ya CAF Champions League eague

Yanga SC maji wataita maji mma mwa mwa me.

Muda utaongea nawakariibisha kwenye vitasa vya comments.

Wadiz
Kwahiyo kama hataingia wewe utapata nini au yanga kutoingia robo ni ajabu?
 
Azam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo.

Aibu nyingine tena kwa ligi kuu ya Tanzania, Yanga SC wanaforce ushindi wa bahasha kwa mara ingine.

Diara juu ya mstari, je mpira nyuma ya Diara ulipita kwenye mstari upi na wa goli lipi?

Yanga SC msimu huu hafiki robo final ya CAF Champions League eague

Yanga SC maji wataita maji mma mwa mwa me.

Muda utaongea nawakariibisha kwenye vitasa vya comments.

Wadiz
Mangungu anafaa au hafai kuwa m/kiti wenu?
 
Uzuri hizi dhuluma hiwa zinalipwa hapa hapa. Wamesahau kule wandewa wa south
 
Back
Top Bottom