Ken Gold Walinyimwa Goli dhidi ya Vibonde Yanga SC siku ya Jana

Mpira huwez kupita nyuma ya mtu bila kuvuka mstar mkuu sema azam hawana kamara za angle zote
Huyo Diarra alisimama angle gani!?
Kwani ni mara ya kwanza mpira kupita nyuma ya mtu na kuokolewa??
Fuatilia mpira vizuri bro kipa anaweza kusimama angle gani na mpira ukampita pasi na kuvuka goal line.
 
Nahisi tunatakiwa tuanze kutumia goal line technology.
Ule mpira una utata sana aisee.
Yani asilimia kadhaa kwenye chaki asilimia kadhaa ndani.
 
Siku zote Yanga ikicheza man of the match anakuwa ni refa. Na matokeo huwa ni Refa 1 KenGold o
 
Mpira ulivuka mstari sema ulipiga chuma ukawa unazuunguka kurud njee diara hakuna kipa mule
Embu njoo utoe ufafanuzi hapa
Nini kilianza kati ya kuvuka mstari na kupiga chuma? Tuone kama kweli unachokiongea unakielewa na kama mpira uliangalia kweli
 
Nahisi tunatakiwa tuanze kutumia goal line technology.
Ule mpira una utata sana aisee.
Yani asilimia kadhaa kwenye chaki asilimia kadhaa ndani.
Hakuna hata sababu ya kuwa na goal line technology kwa lile la jana. Lile sio goli kabisa. Hakuna goli la namna ile. Kwa sheria za soka ili refa aseme ni goli mpira unapaswa kuvuka mstari wa goli kwa 100%. Yaani hata chembe ukibaki na kugusa mstari wa goli hilo sio goli.
 
Duuuuuuuu watu wana hasiraaa
🤣🤣Acha kabisa Mkuu! Full makasiriko! Kuna mzee mmoja jana nilimkuta analalamika sana na kufoka juu, nikiri kua nililazimika kuamini yeye si shabiki wa Ken Gold bali Mtani wa Yanga.
 
Mimi ni Simba, na huwa ninajua wazi utopolo kuna namna huwa wanabebwaga lakini kwa lile la jana hakuna goli pale, hawakubebwa, mpira haukuvuka mstari. Refa alikuwa sahihi kwa 100%.
 
Azam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo.

Aibu nyingine tena kwa ligi kuu ya Tanzania, Yanga SC wanaforce ushindi wa bahasha kwa mara ingine.

Diara juu ya mstari, je mpira nyuma ya Diara ulipita kwenye mstari upi na wa goli lipi?

Yanga SC msimu huu hafiki robo final ya CAF Champions League eague

Yanga SC maji wataita maji mma mwa mwa me.

Muda utaongea nawakariibisha kwenye vitasa vya comments.

Wadiz
Azam hawana camera,ww hukuwa na camera na hata uwanjani hukuenda sasa hay malalamiko yote tunakuaminije .Jitathmini
 
Nahisi tunatakiwa tuanze kutumia goal line technology.
Ule mpira una utata sana aisee.
Yani asilimia kadhaa kwenye chaki asilimia kadhaa ndani.
Sheria ya goli inasema kuwa mpira unapaswa uvuke mstari completely kwa asilimia 100, ukiangalia tukio la jana ule mpira haukuvuka mstari, ungevuka mstari hata kidogo ni lazima piga ua ungegonga tena kwenye nguzo ya pili
 
Sheria ya goli inasema kuwa mpira unapaswa uvuke mstari completely kwa asilimia 100, ukiangalia tukio la jana ule mpira haukuvuka mstari, ungevuka mstari ni lazima piga ua ungegonga tena kwenye nguzo ya pili
Wala sio tu kugonga nguzo ya pili, kama ulivuka mstari 100% kwa hakika ni lazima ungegonga nyavu tu.

Toka niwahi kufuatilia mpira, sijawahi kuona mpira ugonge nguzo moja ya pembeni halafu uvuke wote mstari halafu wenyewe (pasipo kuguswa na mtu) urudi tena uwanjani au ugonge nguzo nyingine ya pembeni. Haijawahi kutokea na kisayansi huenda ni jambo lisilowezekana kabisa.
 
Hakuna hata sababu ya kuwa na goal line technology kwa lile la jana. Lile sio goli kabisa. Hakuna goli la namna ile. Kwa sheria za soka ili refa aseme ni goli mpira unapaswa kuvuka mstari wa goli kwa 100%. Yaani hata chembe ukibaki na kugusa mstari wa goli hilo sio goli.
Ila kuondoa utata kama huu goal line tech iwepo mkuu.
Maana kuna raia wabishi hawatakuelewa kwa maneno.
 
Mpira huwez kupita nyuma ya mtu bila kuvuka mstar mkuu sema azam hawana kamara za angle zote
Ok, tuseme Azama hawana hizo "kamara". Kwahiyo, wewe ulionaje kama umepita nyuma ya mtu?? Ulikuwepo uwanjani au pale golini??
 
Wala sio tu kugonga nguzo ya pili, kama ulivuka mstari 100% kwa hakika ni lazima ungegonga nyavu tu.

Toka niwahi kufuatilia mpira, sijawahi kuona mpira ugonge nguzo moja ya pembeni halafu uvuke wote mstari halafu wenyewe (pasipo kuguswa na mtu) urudi tena uwanjani au ugonge nguzo nyingine ya pembeni. Haijawahi kutokea na kisayansi huenda ni jambo lisilowezekana kabisa.
Hujawahi kuona Conner goal?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Azam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo.

Aibu nyingine tena kwa ligi kuu ya Tanzania, Yanga SC wanaforce ushindi wa bahasha kwa mara ingine.

Diara juu ya mstari, je mpira nyuma ya Diara ulipita kwenye mstari upi na wa goli lipi?

Yanga SC msimu huu hafiki robo final ya CAF Champions League eague

Yanga SC maji wataita maji mma mwa mwa me.

Muda utaongea nawakariibisha kwenye vitasa vya comments.

Wadiz
Goli Kengold 1 - Yanga 1
 
Utapata tabu mwaka huu tena kufikisha miaka minne ya tabu na mateso makali kusabaisha kocha huyu naye afukuzwe.
 
Back
Top Bottom