Huyo Diarra alisimama angle gani!?Mpira huwez kupita nyuma ya mtu bila kuvuka mstar mkuu sema azam hawana kamara za angle zote
Embu njoo utoe ufafanuzi hapaMpira ulivuka mstari sema ulipiga chuma ukawa unazuunguka kurud njee diara hakuna kipa mule
Hakuna hata sababu ya kuwa na goal line technology kwa lile la jana. Lile sio goli kabisa. Hakuna goli la namna ile. Kwa sheria za soka ili refa aseme ni goli mpira unapaswa kuvuka mstari wa goli kwa 100%. Yaani hata chembe ukibaki na kugusa mstari wa goli hilo sio goli.Nahisi tunatakiwa tuanze kutumia goal line technology.
Ule mpira una utata sana aisee.
Yani asilimia kadhaa kwenye chaki asilimia kadhaa ndani.
🤣🤣Acha kabisa Mkuu! Full makasiriko! Kuna mzee mmoja jana nilimkuta analalamika sana na kufoka juu, nikiri kua nililazimika kuamini yeye si shabiki wa Ken Gold bali Mtani wa Yanga.Duuuuuuuu watu wana hasiraaa
Azam hawana camera,ww hukuwa na camera na hata uwanjani hukuenda sasa hay malalamiko yote tunakuaminije .JitathminiAzam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo.
Aibu nyingine tena kwa ligi kuu ya Tanzania, Yanga SC wanaforce ushindi wa bahasha kwa mara ingine.
Diara juu ya mstari, je mpira nyuma ya Diara ulipita kwenye mstari upi na wa goli lipi?
Yanga SC msimu huu hafiki robo final ya CAF Champions League eague
Yanga SC maji wataita maji mma mwa mwa me.
Muda utaongea nawakariibisha kwenye vitasa vya comments.
Wadiz
Sheria ya goli inasema kuwa mpira unapaswa uvuke mstari completely kwa asilimia 100, ukiangalia tukio la jana ule mpira haukuvuka mstari, ungevuka mstari hata kidogo ni lazima piga ua ungegonga tena kwenye nguzo ya piliNahisi tunatakiwa tuanze kutumia goal line technology.
Ule mpira una utata sana aisee.
Yani asilimia kadhaa kwenye chaki asilimia kadhaa ndani.
Wala sio tu kugonga nguzo ya pili, kama ulivuka mstari 100% kwa hakika ni lazima ungegonga nyavu tu.Sheria ya goli inasema kuwa mpira unapaswa uvuke mstari completely kwa asilimia 100, ukiangalia tukio la jana ule mpira haukuvuka mstari, ungevuka mstari ni lazima piga ua ungegonga tena kwenye nguzo ya pili
Ila kuondoa utata kama huu goal line tech iwepo mkuu.Hakuna hata sababu ya kuwa na goal line technology kwa lile la jana. Lile sio goli kabisa. Hakuna goli la namna ile. Kwa sheria za soka ili refa aseme ni goli mpira unapaswa kuvuka mstari wa goli kwa 100%. Yaani hata chembe ukibaki na kugusa mstari wa goli hilo sio goli.
Ok, tuseme Azama hawana hizo "kamara". Kwahiyo, wewe ulionaje kama umepita nyuma ya mtu?? Ulikuwepo uwanjani au pale golini??Mpira huwez kupita nyuma ya mtu bila kuvuka mstar mkuu sema azam hawana kamara za angle zote
Hujawahi kuona Conner goal?Wala sio tu kugonga nguzo ya pili, kama ulivuka mstari 100% kwa hakika ni lazima ungegonga nyavu tu.
Toka niwahi kufuatilia mpira, sijawahi kuona mpira ugonge nguzo moja ya pembeni halafu uvuke wote mstari halafu wenyewe (pasipo kuguswa na mtu) urudi tena uwanjani au ugonge nguzo nyingine ya pembeni. Haijawahi kutokea na kisayansi huenda ni jambo lisilowezekana kabisa.
Goli Kengold 1 - Yanga 1Azam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo.
Aibu nyingine tena kwa ligi kuu ya Tanzania, Yanga SC wanaforce ushindi wa bahasha kwa mara ingine.
Diara juu ya mstari, je mpira nyuma ya Diara ulipita kwenye mstari upi na wa goli lipi?
Yanga SC msimu huu hafiki robo final ya CAF Champions League eague
Yanga SC maji wataita maji mma mwa mwa me.
Muda utaongea nawakariibisha kwenye vitasa vya comments.
Wadiz
Goal line technology ni $6m mkuuNahisi tunatakiwa tuanze kutumia goal line technology.
Ule mpira una utata sana aisee.
Yani asilimia kadhaa kwenye chaki asilimia kadhaa ndani.
Utapata tabu mwaka huu tena kufikisha miaka minne ya tabu na mateso makali kusabaisha kocha huyu naye afukuzwe.Azam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo.
Aibu nyingine tena kwa ligi kuu ya Tanzania, Yanga SC wanaforce ushindi wa bahasha kwa mara ingine.
Diara juu ya mstari, je mpira nyuma ya Diara ulipita kwenye mstari upi na wa goli lipi?
Yanga SC msimu huu hafiki robo final ya CAF Champions League eague
Yanga SC maji wataita maji mma mwa mwa me.
Muda utaongea nawakariibisha kwenye vitasa vya comments.
Wadiz
Uwezo tunao wa kuleta.Goal line technology ni $6m mkuu