informer 06
Senior Member
- May 11, 2024
- 184
- 170
Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa Mamlaka ya Rais kwenye Katiba Mpya
"Binafsi siungi mkono Mamlaka ya Rais kupunguzwa kwa sababu Rais ndio Mkuu wa Nchi. Kiongozi namba moja wa nchi. Unapopunguza Mamlaka au Madaraka ya Rais maana yake nchi haitaenda inavyotakiwa"