Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
huna haja ya kuweweseka na kujificha nyuma ya ujumla wa waAfrica ambao hawahusiki kabisa kwenye hoja mahususi mezani.TATIZO LA AFRIKA TUMESOMA ELIMU YA KIKOLONI AMBAYO HAIPI WATU UWEZO WA KUFIKIRI...
Kila kitu mtu anataka kufananisha/ unakuta mtu ni Proffesssor una muuliza kitu anakwambia ni Nchi gani imetumia huo mfumo; Maana ya kusoma ni kuweza kuja na mifumo rafiki inayofanya kazi kwetu na sio kila kitu ni kucopy?
Ina maana tunaenda kuchukua madegree ya kukopy na kupaste? Na kwa bahati mbaya sana; kuna mengi mazuri sana ..hayo hatucopy, tuna copy yale...........
Kuna Airline moja kubwa niliona ina kufa kufa kwa sababu ya kukopy na kupaste hata vile visivyo endana na mazingira yetu....
elezea wadau wa JF,
ni Rais yupi duniani hana mamlaka na madaraka kama ya Rais wa Tanzania?
huna haja ya kubabaika gentleman 🐒