Kenani Kihongosi: Siungi mkono mamlaka ya Rais kupunguzwa

Kenani Kihongosi: Siungi mkono mamlaka ya Rais kupunguzwa

Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa Mamlaka ya Rais kwenye Katiba Mpya

View attachment 3664279
"Binafsi siungi mkono Mamlaka ya Rais kupunguzwa kwa sababu Rais ndio Mkuu wa Nchi. Kiongozi namba moja wa nchi. Unapopunguza Mamlaka au Madaraka ya Rais maana yake nchi haitaenda inavyotakiwa"

Njaaa noma sana
 
Zuma wa South Africa, wala sio jambo la zamani hivyo. Kabila hapo DRC nk. Huwa nakuambia hujui lolote.
Dunia nzima hizo nchi hazizidi tano.
a) Presidents' trials during office are Brazil and France
b) Presidents' trials after office are France, Brazil, South Africa South Korea, Argentina and Rwanda (Ahahahahaha, Rwanda)
Hizo nchi ni chache sana kushinikiza Tanzania LAZIMA tufanye hivyo. Rwanda ina impact gani?
 
Hizo n hi zengine ambazo "Rais" anapelekwa mahakamani ni nchi zipi hizo?

Na ni nchi zipi Rais hateui na kutengua?
Naomba kunitajia nchi chache
Ufaransa
Afrika Kusini
Msumbiji
Rwanda
Nigeria
Malawi
Zambia
Korea Kusini
Brazil.

Hizo ni baadhi ya nchi chache ambazo Rais akifanya jinai anashjtakiwa
Halafu kuna hizi . Kenya, Congo, Misri, USA. Mexico, Paraguay mchakato unaanzia bungeni (impechment )
 
Hivi huyu jamaa asili yake ni wapi?
Lazima aone ni sawa kwa sababu yupo kwenye ulaji.
Hapo lazima atengeneze mazingira mazuri hadi kwa watoto wake waje kuingia kwenye mrija.
 
Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa Mamlaka ya Rais kwenye Katiba Mpya

View attachment 3664279
"Binafsi siungi mkono Mamlaka ya Rais kupunguzwa kwa sababu Rais ndio Mkuu wa Nchi. Kiongozi namba moja wa nchi. Unapopunguza Mamlaka au Madaraka ya Rais maana yake nchi haitaenda inavyotakiwa"
Angesema tofauti kesho ccm vijana wangeitisha press kumtaka avuliwe uanachama
 
Kuwa na cheo haimaanishi mtu anaelewa mpana wa Mambo.Kuna tofauti ya ukuu wa nchi na mamlaka ya kiutendaji.Leo Rais anateua hadi wakurugenzi wa mashirika ya kibiashara badala ya watu kuajiriwa kwa taaluma na uzoefu wao.Leo Rais anateua hadi wakurugenzi wa miji na halimashauri nafasi zilipaswa kuwa chini ya serikali za mitaa kutafuta watu wanaoona wanafaa kiukrugenzi.Ninachoona watu wanachanganya ukuu wa nchi na ukuuu wa kiutendaji.
Ni lazima uje wakati wa kuounguza discretionary powers ziwepo power ambazo ni kwa mujibu wa sheria tu na mihimili ipate nafasi yake inayostahili
Head of state vs Head of Executive.
 
Raisi anateuwa Majaji ambao wapinzani wako wakipata kesi watahukumiwa na ulowateuwa. Alafu hapo hapo Tuseme tuna mihimili mitatu? kivipi kwanini U jaji usipatikake kwa taaluma, uwezo wa mtu kupitia Sehem sahihi.

Katiba yetu inampa nafasi Raisi kuteuwa Wasimamizi wa Tume ya uchaguzi ambao ndo wasimamizi wa uchaguzi utakao Shiriki Raisi ikiwa ni muhula wa pili au Wa chama cha raisi anae achina nafasi.

Na CCM wajanja waka hakikisha Raisi anakuwa Ni Mwenyekiti wa Chama hivyo Huwezi kuwa MBUNGE, SPIKA bila Ridhaa ya Raisi kwasababu anaweza kutengua nafasi ya Uwanachama wako na hapo hapo Huna sifa ya cheo cha Ubunge au U Spika.

Ina Maana Raisi kwa nchi yetu ana nguvu kwa Bungu na Mahakama.
 
Dunia nzima hizo nchi hazizidi tano.
a) Presidents' trials during office are Brazil and France
b) Presidents' trials after office are France, Brazil, South Africa South Korea, Argentina and Rwanda (Ahahahahaha, Rwanda)
Hizo nchi ni chache sana kushinikiza Tanzania LAZIMA tufanye hivyo. Rwanda ina impact gani?
Peleka upuuzi mbali, kwanza ulijifanya hakuna nchi za hivyo, nimekutajia na mifano halisi tena ya hivi karibuni, sasa sio hakuna tena, bali zipo lakini ni chache!

Marekani sio rais tu akitoka, hata akiwa madarakani anaweza kushitakiwa. Philippines Rais Fernando Marcos alishitakiwa kwa ubadhirifu, yaani mifano ni lukuki, ila we chawa mkiwa na machawa wenzako mnajazana ujinga halafu mnakuja hapa jukwaani, na mkifika tu tunawafumbua macho.
 
Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa Mamlaka ya Rais kwenye Katiba Mpya

"Binafsi siungi mkono Mamlaka ya Rais kupunguzwa kwa sababu Rais ndio Mkuu wa Nchi. Kiongozi namba moja wa nchi. Unapopunguza Mamlaka au Madaraka ya Rais maana yake nchi haitaenda inavyotakiwa"
Mambo ya Jpm yalianza hivi hivi
 
Sijui kwa nini ccm inapendelea zaidi kuwapa uongozi watu wenye akili duni! Fikiria huyu mwendawazimu mwenye hoja za kijinga namna hii, ni kiongozi wa CCM.
Mkuu lazima uelewe kuwa level aliyopo kihongosi sio mjinga, ana akili na Uwezo wa kutosha, hichi anachokifanya ni strategy Tu ya kuendelea kutawala
 
Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa Mamlaka ya Rais kwenye Katiba Mpya

"Binafsi siungi mkono Mamlaka ya Rais kupunguzwa kwa sababu Rais ndio Mkuu wa Nchi. Kiongozi namba moja wa nchi. Unapopunguza Mamlaka au Madaraka ya Rais maana yake nchi haitaenda inavyotakiwa"
Ulitegemea aseme nini?
 
Yes,
Kihongosi yuko sahihi 100%,

unampunguzia madaraka na nguvu Rais ili apewe nani kwa mfano, na ili kitokee nini?🐒
Kwa wewe unavyoelewa unadhani duniani kote Tanzania tu ndio ina Rais? Unajua kuwa hata Nyerere akiwa mwenyekiti wa Chama na Mwinyi Rais alikuwa akisema katiba yetu inampa mtu mmoja mamlaka makubwa sana kiasi cha kutegemea busara yake tu? Unajua kuwa Rais wetu akiamua jambo habanwi na sheria nyingine na wala halazimiki kufuata ushauri wa mtu?
 
Gentleman,
ni Rais yupi huyo duniani hana mamlaka na madaraka kama ya Rais wa Tanzania?🐒
 
Gentleman,
ni Rais yupi huyo duniani hana mamlaka na madaraka kama ya Rais wa Tanzania?🐒
TATIZO LA AFRIKA TUMESOMA ELIMU YA KIKOLONI AMBAYO HAIPI WATU UWEZO WA KUFIKIRI...
Kila kitu mtu anataka kufananisha/ unakuta mtu ni Proffesssor una muuliza kitu anakwambia ni Nchi gani imetumia huo mfumo; Maana ya kusoma ni kuweza kuja na mifumo rafiki inayofanya kazi kwetu na sio kila kitu ni kucopy?
Ina maana tunaenda kuchukua madegree ya kukopy na kupaste? Na kwa bahati mbaya sana; kuna mengi mazuri sana ..hayo hatucopy, tuna copy yale...........

Kuna Airline moja kubwa niliona ina kufa kufa kwa sababu ya kukopy na kupaste hata vile visivyo endana na mazingira yetu....
 
Back
Top Bottom