informer 06
Senior Member
- May 11, 2024
- 184
- 170
Moyoni anapinga ila mdomoni anatetea ujinga.Anaogopa house arrest.Dogo mjinga huyu.The grain of wheat!Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa Mamlaka ya Rais kwenye Katiba Mpya
View attachment 3664279
"Binafsi siungi mkono Mamlaka ya Rais kupunguzwa kwa sababu Rais ndio Mkuu wa Nchi. Kiongozi namba moja wa nchi. Unapopunguza Mamlaka au Madaraka ya Rais maana yake nchi haitaenda inavyotakiwa"
Kuwa na cheo haimaanishi mtu anauelewa mpana wa Mambo.Kuna tofauti ya ukuu wa nchi na mamlaka ya kiutendaji.Leo Rais anateua hadi wakurugenzi wa mashirika ya kibiashara badala ya watu kuajiriwa kwa taaluma na uzoefu wao.Leo Rais anateua hadi wakurugenzi wa miji na halimashauri nafasi zilipaswa kuwa chini ya serikali za mitaa kutafuta watu wanaoona wanafaa kiukrugenzi.Ninachoona watu wanachanganya ukuu wa nchi na ukuuu wa kiutendaji.Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa Mamlaka ya Rais kwenye Katiba Mpya
View attachment 3664279
"Binafsi siungi mkono Mamlaka ya Rais kupunguzwa kwa sababu Rais ndio Mkuu wa Nchi. Kiongozi namba moja wa nchi. Unapopunguza Mamlaka au Madaraka ya Rais maana yake nchi haitaenda inavyotakiwa"
Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa Mamlaka ya Rais kwenye Katiba Mpya
View attachment 3664279
"Binafsi siungi mkono Mamlaka ya Rais kupunguzwa kwa sababu Rais ndio Mkuu wa Nchi. Kiongozi namba moja wa nchi. Unapopunguza Mamlaka au Madaraka ya Rais maana yake nchi haitaenda inavyotakiwa"
Kumbe Kihongosi ndio funaku !Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa Mamlaka ya Rais kwenye Katiba Mpya
View attachment 3664279
"Binafsi siungi mkono Mamlaka ya Rais kupunguzwa kwa sababu Rais ndio Mkuu wa Nchi. Kiongozi namba moja wa nchi. Unapopunguza Mamlaka au Madaraka ya Rais maana yake nchi haitaenda inavyotakiwa"
Mfano madaraka gani yanamfanya kama Mungu?Binafsi mimi sina shida na madaraka ya Rais lakini yale yanayomfanya awe kama mungu, hapana!!!
Madaraka yoyote yanayomfanya Rais awe kamungu hapa duniani, hayakubaliki!!!
Yes,Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa Mamlaka ya Rais kwenye Katiba Mpya
View attachment 3664279
"Binafsi siungi mkono Mamlaka ya Rais kupunguzwa kwa sababu Rais ndio Mkuu wa Nchi. Kiongozi namba moja wa nchi. Unapopunguza Mamlaka au Madaraka ya Rais maana yake nchi haitaenda inavyotakiwa"
Rais akikosea hawajibishwi popote wakati nchi za wenzetu tumeona marais wanavyoburutwa mahakamani wakikosea (ufisadi)Mfano madaraka gani yanamfanya kama Mungu?
Kutoshitakiwa akiwa au ametoka madarakani. Katika vitu vya muhimu sana vinavyotakiwa kuwekwa kwenye katiba mpya ni kifungu cha kushitakiwa akiwa au ametoka madarakani. Kifungu cha kutoshitakiwa kimefanya Marais wetu kiutawala kwa uhalifu wao na magenge yao, maana wanajua kuna kinga ya uovu.Mfano madaraka gani yanamfanya kama Mungu?
Hizo n hi zengine ambazo "Rais" anapelekwa mahakamani ni nchi zipi hizo?Rais akikosea hawajibishwi popote wakati nchi za wenzetu tumeona marais wanavyoburutwa mahakamani wakikosea (ufisadi)
Anateua na kutengua
Nchi zingine Rais hana mamlaka ya kuteua na kutengua baadhi ya watendaji na watumishi wa serikali.
Mfano CAG hatakiwi kutolewa kinyamela na Rais, Jaji Mkuu Rais hatakiwi kumpa probation km alivyofanya kwa Prof Ibrahim miezi 8 jaji mkuu hajaidhinishwa ni makosa kabisa.
Leo Rais anateua hadi Ma-DAS, MA DC MA DED, wakurugenzi wa Bodi za Maji, Mikopo , Ajira, Biashara , ni nafasi ambazo zingefanywa na waziri mwenye dhamana.
Nchi gani Rais katoka madarakani akashtakiwa?Kutoshitakiwa akiwa au ametoka madarakani. Katika vitu vya muhimu sana vinavyotakiwa kuwekwa kwenye katiba mpya ni kifungu cha kushitakiwa akiwa au ametoka madarakani. Kifungu cha kutoshitakiwa kimefanya Marais wetu kiutawala kwa uhalifu wao na magenge yao, maana wanajua kuna kinga ya uovu.
Cha msingi Rais atoke kwa wananchiKenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa Mamlaka ya Rais kwenye Katiba Mpya