huna haja ya kuweweseka na kujificha nyuma ya ujumla wa waAfrica ambao hawahusiki kabisa kwenye hoja mahususi mezani.TATIZO LA AFRIKA TUMESOMA ELIMU YA KIKOLONI AMBAYO HAIPI WATU UWEZO WA KUFIKIRI...
Kila kitu mtu anataka kufananisha/ unakuta mtu ni Proffesssor una muuliza kitu anakwambia ni Nchi gani imetumia huo mfumo; Maana ya kusoma ni kuweza kuja na mifumo rafiki inayofanya kazi kwetu na sio kila kitu ni kucopy?
Ina maana tunaenda kuchukua madegree ya kukopy na kupaste? Na kwa bahati mbaya sana; kuna mengi mazuri sana ..hayo hatucopy, tuna copy yale...........
Kuna Airline moja kubwa niliona ina kufa kufa kwa sababu ya kukopy na kupaste hata vile visivyo endana na mazingira yetu....
huna haja ya kuweweseka na kujificha nyuma ya ujumla wa waAfrica ambao hawahusiki kabisa kwenye hoja mahususi mezani.
elezea wadau wa JF,
ni Rais yupi duniani hana mamlaka na madaraka kama ya Rais wa Tanzania?
huna haja ya kubabaika gentleman 🐒
Kuna vyeo kama mkuu wa mkoa,wilaya nakadhalika havipaswi kuwepo ni vyeo vya kupeana ulaji tu ila majukumu yao yanaweza kufanywa kwa ufanisi na wakurugenzi ama makatibu tawala.Binafsi nafikiri hizi teuzi; ziangaliwe, namaanisha kuwekwe utaratibu wa watu wateue watu watakao fanya kazi chini yao. Fikiri wewe ni mkuu wa mkoa halafu mkuu wa Wilaya ni mteule wa Raisi kama wewe, inamaana huna nguvu ya kumuwajibisha. Mawaziri, pia unakuta wakuu wa vitengo vilivyo chini yao ni wa teule wa Muheshimiwa Raisi, Inamaana Waziri anakosa Nguvu ya kuwawajibisha nk nk.
Muheshimiwa Rais angeachiwa ateue Mawaziri, wakuu wa mikoa, nk ila hawa wa ngazi za chini angeachia Waziri mkuu, Mawaziri, wakuu wa mkoa nk. Naamini kwa kufanya hivyo, utendaji kazi huku chini ungeimarika.
Hivi kumbe ni wa IringaUkimuona kihongosi unaweza sema Gentleman mwenye manhood. Kumbe Garasa tupu, mnyalukolo mpumbavu kuwahi kutokea.
kwasababu uko jukwaani la siasa nilikusudia kukujibu kisiasa but nimekuelewa.Samahani mimi sijihusishi na siasa, na ndio sababu post yangu ikawa jumuishi
karibu Shytown, na kama unaweza kuniunganishia wateja wa bei nzuri ya mchele itapendeza.....
Korea kusini tu rais kafungwaNchi gani Rais katoka madarakani akashtakiwa?
Akitaka ufe leo unakufa, au unabishi? Akiagiza uuawe unauawa!Mfano madaraka gani yanamfanya kama Mungu?
Nimeishaziorodhesha nchi husika. Zako ni feki, mfanoNaomba kunitajia nchi chache
Ufaransa
Afrika Kusini
Msumbiji
Rwanda
Nigeria
Malawi
Zambia
Korea Kusini
Brazil.
Hizo ni baadhi ya nchi chache ambazo Rais akifanya jinai anashjtakiwa
Halafu kuna hizi . Kenya, Congo, Misri, USA. Mexico, Paraguay mchakato unaanzia bungeni (impechment )
Niliishazitaja Mimi binafsi nchi husika.Unamfahamu Yoon Suk Yeol.
Ina maana haufuatili habari kiasi hicho
Mfano?Mfano CAG kwa nchi za wenzetu akishateuliwa , Rais hamuondei hivi hivi.
DPP AU DCI hamtengui
Acha ujinga wako wewe! Au hujui tofauti ya Court Trials na Impeachment? Ahahahahaha!Peleka upuuzi mbali, kwanza ulijifanya hakuna nchi za hivyo, nimekutajia na mifano halisi tena ya hivi karibuni, sasa sio hakuna tena, bali zipo lakini ni chache!
Marekani sio rais tu akitoka, hata akiwa madarakani anaweza kushitakiwa. Philippines Rais Fernando Marcos alishitakiwa kwa ubadhirifu, yaani mifano ni lukuki, ila we chawa mkiwa na machawa wenzako mnajazana ujinga halafu mnakuja hapa jukwaani, na mkifika tu tunawafumbua macho.
Huu ubishi sasa mbona South Korea, Brazil, France, Peru, Argentina, Chile , Columbia au tuweke na majina yao, zilikuwa kesi gani?Nchi gani Rais katoka madarakani akashtakiwa?
SAsa kwenye ile reply ulikuwa unauliza nini wakati ulikuwa unazijua?Nimeishaziorodhesha nchi husika. Zako ni feki, mfano
Niliishazitaja Mimi binafsi nchi husika.
Tulia we kiazi hujui lolote. Google maana huna ujualo. Nenda kasome kuhusu kashfa ya Bill Clinton ya Monica Lewinsky na nini kingemkuta akiwa madarakani, ndio utajua huna ujualo ww kiazi mbatata.Acha ujinga wako wewe! Au hujui tofauti ya Court Trials na Impeachment? Ahahahahaha!
Marekani wana Impeachment ambayo hata Tanzania ipo. Lakini Rais wa Marekani HAPELEKWI Mahakamani akiwa ofisini au amemaliza muda wake. Learn Dogo!
Raisi anateuwa Majaji ambao wapinzani wako wakipata kesi watahukumiwa na ulowateuwa. Alafu hapo hapo Tuseme tuna mihimili mitatu? kivipi kwanini U jaji usipatikake kwa taaluma, uwezo wa mtu kupitia Sehem sahihi.
Katiba yetu inampa nafasi Raisi kuteuwa Wasimamizi wa Tume ya uchaguzi ambao ndo wasimamizi wa uchaguzi utakao Shiriki Raisi ikiwa ni muhula wa pili au Wa chama cha raisi anae achina nafasi.
Na CCM wajanja waka hakikisha Raisi anakuwa Ni Mwenyekiti wa Chama hivyo Huwezi kuwa MBUNGE, SPIKA bila Ridhaa ya Raisi kwasababu anaweza kutengua nafasi ya Uwanachama wako na hapo hapo Huna sifa ya cheo cha Ubunge au U Spika.
Ina Maana Raisi kwa nchi yetu ana nguvu kwa Bungu na Mahakama.
Dah sijui aliyeitengeneza hii katiba alifikiria nini?akaweka vifungu vya kuwazunguka watuRaisi anateuwa Majaji ambao wapinzani wako wakipata kesi watahukumiwa na ulowateuwa. Alafu hapo hapo Tuseme tuna mihimili mitatu? kivipi kwanini U jaji usipatikake kwa taaluma, uwezo wa mtu kupitia Sehem sahihi.
Katiba yetu inampa nafasi Raisi kuteuwa Wasimamizi wa Tume ya uchaguzi ambao ndo wasimamizi wa uchaguzi utakao Shiriki Raisi ikiwa ni muhula wa pili au Wa chama cha raisi anae achina nafasi.
Na CCM wajanja waka hakikisha Raisi anakuwa Ni Mwenyekiti wa Chama hivyo Huwezi kuwa MBUNGE, SPIKA bila Ridhaa ya Raisi kwasababu anaweza kutengua nafasi ya Uwanachama wako na hapo hapo Huna sifa ya cheo cha Ubunge au U Spika.
Ina Maana Raisi kwa nchi yetu ana nguvu kwa Bungu na Mahakama.
Jamaa hawezi kukuelewa mwenzako anawaza kila mtu ni mshabiki wa kisiasa na anakuja kuatack kibarua chake cha uchawa kumbe wengine ni Great thinkers tu wanajaribu kupima mizani kwa kuchambua mambo nje ya boksi.Samahani mimi sijihusishi na siasa, na ndio sababu post yangu ikawa jumuishi
karibu Shytown, na kama unaweza kuniunganishia wateja wa bei nzuri ya mchele itapendeza.....
Niliishaisema hiyo.Korea kusini tu rais kafungwa