Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Trump hana hayo mamlaka?Akitaka ufe leo unakufa, au unabishi? Akiagiza uuawe unauawa!
Akiagiza hakuna kumtangaza mpinzani hata kama ameshinda uchaguzi na hatangazwi!!! Akiagiza tujifikize kwa mitishamba halafu wataalamu wakikosoa wanaadhibiwa!!! Ambaye hakosolewi si mungu huyo??
Mifano hai ipo mingi labda ujitoage ufahamu
Ahsante sana kwa kurudia kutoa mifano ambayo nimeishaitaja. Na kwa mifano, je, ndio ihalalishe na sisi tuwe kama wao? Kuna nchi ngapi duniani hazifanyi hivyo na mambo ya naenda?Huu ubishi sasa mbona South Korea, Brazil, France, Peru, Argentina, Chile , Columbia au tuweke na majina yao, zilikuwa kesi gani?
Hoja ni kwamba hizo nchi ni chache sana kuishawishi Tanzania kuwaiga. Pia pamoja na kuwa na hiyo sheria haijawahi kuwasidia. Peru zaidi ya Marais Saba wameshtakiwa. Imewasaidia nini? Korea Kusini pamoja na hiyo sheria Kuwepo, bado ndio nchi inaongoza kuwa na Marais na ndugu zao wala rushwa! Inawasaidia nini?SAsa kwenye ile reply ulikuwa unauliza nini wakati ulikuwa unazijua?
Ndio maana nikakwambia hujui tofauti ya Court Trials na Impeachment! Ahahahahaha!!Tulia we kiazi hujui lolote. Google maana huna ujualo. Nenda kasome kuhusu kashfa ya Bill Clinton ya Monica Lewinsky na nini kingemkuta akiwa madarakani, ndio utajua huna ujualo ww kiazi mbatata.