Kendrick Lamar na record ya dis track ya kwanza kushinda tuzo za Grammy

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
4,672
Reaction score
6,272
Kendrick Lamar amefanya yake kwenye tuzo za Grammy.
Ngoma yake ya Not Like Us imezoa tuzo za kutosha.
Drake na wafuasi wake wana wakati mgumu sana.
kendrick-lamar-2025-grammys-speech.jpg
 
Kitendo ya watu wote kwenye ukumbi kuitikia "A Minooooooor" kimenichekesha sana. Drake akiona sijui atajisikiaje. Na imegine huo wimbo akiperfom kwenye super bowl, hicho kipande kitakuwa moto...
Nasikia Drake ana mpango wa kuwashtaki Grammy na NFL kwa kumpatia Kendrick platform ya kumchafua.
 
Sure sema hata vile vi skendo vya Grammy kua staged Kwa baadhi ya winners..vinafanya ipoe..
Kikubwa muda huu hakuna exceptional talents

Imagine enzi hizo Michael Jackson, Prince, Whitney, Luther Vandross, Mariah Carey, Celine, R Kelly, Tony Braxton etc. Hapo lazma watu wapagawe kuona mshindi sio siku hizi

Na kingine biashara ya muziki kuhamia social media na online platforms nyingine imepunguza power ya hizi tuzo kama nia ya promotion

Na kununulika pia kumo
 
Lame as fk kama unaona kendrick anastahili hizo tuzo. Ni muendelezo tuu wa drama, Diss track yenyewe ya kifala sana super hyped, hayuko kwenye level ya drake, anatambaa na upepo. Ngoja tuone super bowl, kiwanda kinampambanisha hadi na lil wayne na yeye anajaa
 
Na kununulika pia kumhaha
Sahihi Sana mkuu..hii imeenda hata upande wa BET ...kipindi hicho BET ni moto Sana ...
Online platforms pia imekua fursa Kwa wasanii wakubwa wasio tegemea promo za radio kubwa
 
Haha sema UMG CEO aliona hilo ndo gap la Ku devalue thamani ya Drizzy, ili wakikaa mezani Drizzy awe na low negotiation power
 
Sahihi Sana mkuu..hii imeenda hata upande wa BET ...kipindi hicho BET ni moto Sana ...
Online platforms pia imekua fursa Kwa wasanii wakubwa wasio tegemea promo za radio kubwa
BET ndio inatia huruma maana top black celebrities ni kama hawaichukulii serious. Imagine kila mwaka familia ya The Carters wapo grammy Ila BET hawajakanyaga kwa miaka mingi.

Young money family nzima etc..
 
BET ndio inatia huruma maana top black celebrities ni kama hawaichukulii serious. Imagine kila mwaka familia ya The Carters wapo grammy Ila BET hawajakanyaga kwa miaka mingi.

Young money family nzima etc.
Ilikua ukiikosa live ..lazima kesho ushushe torrent
Kwa wasanii wa Africa wanaokua nominated Kwao bado zina matter
 
Si wengi wanataka USA market.. Kwa hiyo awards muhimu kupenya duniani
 
Back
Top Bottom