Carseloi
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 302
- 94
Na wapopo hawachezi mbali na hizo fursaSi wengi wanataka USA market.. Kwa hiyo awards muhimu kupenya duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wapopo hawachezi mbali na hizo fursaSi wengi wanataka USA market.. Kwa hiyo awards muhimu kupenya duniani
Eminem Alisha diss, Kanye west, hizo tuzo ni whack tu.Drake ashaseme kwenye award acceptance speech kuwa hatumii Grammy kujua yeye ni mkali. So ni kawaida tu
Aah nilidhan bimaza wa NasibuSandra ni bimaza WA Aubrey
😁😁 Ila wakipewa wanapokea.Eminem Alisha diss, Kanye west, hizo tuzo ni whack tu.
Kingine drake ali sema "Kendrick final opened his mouth, someone go hand him a Grammy.
Eminem Alisha sema hataki tuzo zao, maana ziko kibiashara na si talent.😁😁 Ila wakipewa wanapokea.
Grammy imekuwa inabagua sana gemre pendwa za black community haswa Hiphop & RnB ndio maana wameziwekea categories zao ili zilizobakia iwe kwa genres pendwa
Hapana mkuu 😀😀Aah nilidhan bimaza wa Nasibu
Unaongea ujinga tu.Lame as fk kama unaona kendrick anastahili hizo tuzo. Ni muendelezo tuu wa drama, Diss track yenyewe ya kifala sana super hyped, hayuko kwenye level ya drake, anatambaa na upepo. Ngoja tuone super bowl, kiwanda kinampambanisha hadi na lil wayne na yeye anajaa
Wamediss lakini bado wanasubmit kazi zao grammy.Eminem Alisha diss, Kanye west, hizo tuzo ni whack tu.
🤣🤣🤣🤣Eminem Alisha sema hataki tuzo zao, maana ziko kibiashara na si talent.
Oya, acha kujiabisha hapa!since aseme haja enda, Wala kuweka Ngoma ishiriki huko.
Mkongwe!Ila na yenyewe mapopoma kira siku beyonce.........mpaka na mtoto wake..........lakini kuna watu wamefanya kazi na ni bora mpaka leo zinaishi ila hawana grammy.......ni chizi peke yake atakayesema grammy ni bora kuliko bet
Grammy ni za akina jay z na mke wake..... huwa wanapewa tu hata kama hawajatoa kaziMkongwe!
Unahisi msanii mchanga wa muziki hapo USA anatamani kushinda tuzo ipi kati ya BET na Grammy?
Samahani.Haha sema UMG CEO aliona hilo ndo gap la Ku devalue thamani ya Drizzy, ili wakikaa mezani Drizzy awe na low negotiation power
Sawa, lakini haujajibu swali nililokuuliza mkongwe.Grammy ni za akina jay z na mke wake..... huwa wanapewa tu hata kama hawajatoa kazi
Death of slim shady ali weka yeye una uhakika???
Na nimejaa kweli!!!Death of slim shady ali weka yeye una uhakika???
Nili jua Kuna mtu ata jaa, kaangalie aliye I nominate ni nani.
Jamaa toka album yake ya kamikaze, he ain't giving shit.