Kendrick Lamar na record ya dis track ya kwanza kushinda tuzo za Grammy

Kendrick Lamar na record ya dis track ya kwanza kushinda tuzo za Grammy

Na nimejaa kweli!!!
Haya toa maelezo hapa wewe Mogul wa muziki.

Nani huyo ambaye amesubmit kazi za Slim Shady kwenye tuzo za Grammy bila ruhusa ya Marshall Mathers?

Drake ameacha kusubmit kazi zake, na kweli watu hatuzioni kwenye nominations za Grammy.

Sasa tuambie Mogul, ni nani huyu mwenye kiburi cha kusubmit kazi za Eminem Grammy bila ruhusa ya GOAT Eminem?
View attachment 3224630
since 2019 na hiyo haja submit yeye, ni mtu kwenye distribution label yao ndo ali fanya hivyo.

Kasikilize interview baada ya album ya kamikaze
 
Jamaa toka album yake ya kamikaze, he ain't giving shit.
images (3).jpeg
 
since 2019 na hiyo haja submit yeye, ni mtu kwenye distribution label yao ndo ali fanya hivyo.

Kasikilize interview baada ya album ya kamikaze
Huyo mtu kwenye distribution label amesubmit album bila baraka za Eminem?
Huyo mtu hajui kama Eminem DOESN'T GIVE A SHIT about Grammy awards?
 
Mkuu kwani moja ya sababu iliyomfanya Drake ku file a lawsuit vs UMG ni Nini ?
Kilichomfanya Drake kufile a lawsuit ni matokeo ya Drake kupigwa kipigo kitakatifu na Kdot katika rap battle yao, Drake haamini kama Kdot ameweza kumfanyia unyama aliomfanyia. Waswahili wanasema "Mfa maji haishi kutapatapa".

Au ipo sababu nyingine tofauti na hii niliyoisema?
 
Sawa.
 
Back
Top Bottom