George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Oooh, yeye anasema!!?Drake ashaseme kwenye award acceptance speech kuwa hatumii Grammy kujua yeye ni mkali. So ni kawaida tu
Nasikia Drake ana mpango wa kuwashtaki Grammy na NFL kwa kumpatia Kendrick platform ya kumchafua.Kitendo ya watu wote kwenye ukumbi kuitikia "A Minooooooor" kimenichekesha sana. Drake akiona sijui atajisikiaje. Na imegine huo wimbo akiperfom kwenye super bowl, hicho kipande kitakuwa moto...
Yaani badala aende studio arekodi diss track, yeye anahangaika mahakamani kama mwanamke anayedai child support...Nasikia Drake ana mpango wa kuwashtaki Grammy na NFL kwa kumpatia Kendrick platform ya kumchafua.
Na ilikua wayback...kwenye hio speech tde boys walinuna walikuepoDrake ashaseme kwenye award acceptance speech kuwa hatumii Grammy kujua yeye ni mkali. So ni kawaida tu
Mtoto wa Sandra gani tena?View attachment 3223377
Mtoto wa Sandra leo ana hali mbaya sana.
Super bowl halftime performance ndio kituo kinachofuata.
Sandra ni bimaza WA AubreyMtoto wa Sandra gani tena?
Ila mwaka huu grammy kama imepoaNa ilikua wayback...kwenye hio speech tde boys walinuna walikuepo
Sure sema hata vile vi skendo vya Grammy kua staged Kwa baadhi ya winners..vinafanya ipoe..Ila mwaka huu grammy kama imepoa
Kikubwa muda huu hakuna exceptional talentsSure sema hata vile vi skendo vya Grammy kua staged Kwa baadhi ya winners..vinafanya ipoe..
Sahihi Sana mkuu..hii imeenda hata upande wa BET ...kipindi hicho BET ni moto Sana ...Kikubwa muda huu hakuna exceptional talents
Imagine enzi hizo Michael Jackson, Prince, Whitney, Luther Vandross, Mariah Carey, Celine, R Kelly, Tony Braxton etc. Hapo lazma watu wapagawe kuona mshindi sio siku hizi
Na kingine biashara ya muziki kuhamia social media na online platforms nyingine imepunguza power ya hizi tuzo kama nia ya promotion
Na kununulika pia kumhaha
Haha sema UMG CEO aliona hilo ndo gap la Ku devalue thamani ya Drizzy, ili wakikaa mezani Drizzy awe na low negotiation powerLame as fk kama unaona kendrick anastahili hizo tuzo. Ni muendelezo tuu wa drama, Diss track yenyewe ya kifala sana super hyped, hayuko kwenye level ya drake, anatambaa na upepo. Ngoja tuone super bowl, kiwanda kinampambanisha hadi na lil wayne na yeye anajaa
BET ndio inatia huruma maana top black celebrities ni kama hawaichukulii serious. Imagine kila mwaka familia ya The Carters wapo grammy Ila BET hawajakanyaga kwa miaka mingi.Sahihi Sana mkuu..hii imeenda hata upande wa BET ...kipindi hicho BET ni moto Sana ...
Online platforms pia imekua fursa Kwa wasanii wakubwa wasio tegemea promo za radio kubwa
Ilikua ukiikosa live ..lazima kesho ushushe torrentBET ndio inatia huruma maana top black celebrities ni kama hawaichukulii serious. Imagine kila mwaka familia ya The Carters wapo grammy Ila BET hawajakanyaga kwa miaka mingi.
Young money family nzima etc.
Si wengi wanataka USA market.. Kwa hiyo awards muhimu kupenya dunianiIlikua ukiikosa live ..lazima kesho ushushe torrent
Kwa wasanii wa Africa wanaokua nominated Kwao bado zina matter