Kenya again

Kenya again

Fake Country

Yaan huyo jamaa Mwingine intelligence ya Tz ilishamng'amua na ikamsweka korokoroni, Ila kwa fake intelligence ya Kenya, jamaa ndo kwanza anapata VIP treatment

Kenya is a man eat man Country, saiv wamekula Emirate Prince

Tz is a Man eat food country, and the rest of East Africans nations ni Man eat gun countries. [emoji275][emoji275]
 
Afadhali Kenya mara Mia moja, Tz inaibiwa madini kila siku na hakuna was kuteta...Gesi ya mtwara, Tanzanite, dhahabu, pembe za ndovu afu ongeza miradi hewa na isiokamilika bila kusahau umasikini, utapia mlo, njaa na incompetent education = LDC.
Sasa afadhali ya nini wakati nyie mmetapeli dhahabu kwa warabu
 
Hahahaha, sisi hapa Bongo hata hatujui 1.5 trillion ilienda wapi, yani tulinyamaza tu.

ATCL inaota kutu na bado tumenyamaza tu.

Barrick Gold walilipa zile fedha Kama walivyo agizwa na jiwe? Tumenyamaza tu madini yetu yakiibiwa. Kenya wako nafuu wanawaibia foreigners so Kama hapa Bongo tunaibiwa na Foreigners yani kweli ni shamba la Bibi.
 
Adilinanduguze omba omba wenu wamejaa kila barabara katika miji ya Kenya wakinyoosha vibakuli, Sasa nashangaa vipi mtawapa kazi "House Maids" wa Kenya ambao wanalipwa zaidi ya hata walimu wenu wakuu??? Hapana tumia kichwa Kama kifuniko cha shingo...
 
Acha kutetea ujinga .mlichofanya ni kukosa uaminifu na kuamua kuwa matapeli tena viongozi. Kuwasiliana kwa simu haihalalalishi utapeli wenu. Sasa hivi mnawafukuzia wapopo kwa utapeli hapa duniani.

Mwambie ajaribu tena atapigwa tu, manina zake.
Ukijiweka kwenye biashara za kimataifa hakikisha upo makini, watume wawakilishi.
Kuna mchezo mkubwa sana wa matapeli hapa mjini na ukiwa mjinga unaliwa.
 
Fake Country

Yaan huyo jamaa Mwingine intelligence ya Tz ilishamng'amua na ikamsweka korokoroni, Ila kwa fake intelligence ya Kenya, jamaa ndo kwanza anapata VIP treatment

Kenya is a man eat man Country, saiv wamekula Emirate Prince

Tz is a Man eat food country, and the rest of East Africans nations ni Man eat gun countries. [emoji275][emoji275]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji36][emoji36]
 
Hahahaha, sisi hapa Bongo hata hatujui 1.5 trillion ilienda wapi, yani tulinyamaza tu.

ATCL inaota kutu na bado tumenyamaza tu.

Barrick Gold walilipa zile fedha Kama walivyo agizwa na jiwe? Tumenyamaza tu madini yetu yakiibiwa. Kenya wako nafuu wanawaibia foreigners so Kama hapa Bongo tunaibiwa na Foreigners yani kweli ni shamba la Bibi.
.
tapatalk_jpeg_1558256818406.jpeg
 
Watanzania ni maboya kweli. Yani kote bongo wanatafunwa na Muarabu ila hapa wanajifanya kukerwa na Muarabu aliyetapeliwa na Mkenya. Sijawai ona watu wa ajabu kama wabongo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weka mfano
 
Fake Country

Yaan huyo jamaa Mwingine intelligence ya Tz ilishamng'amua na ikamsweka korokoroni, Ila kwa fake intelligence ya Kenya, jamaa ndo kwanza anapata VIP treatment

Kenya is a man eat man Country, saiv wamekula Emirate Prince

Tz is a Man eat food country, and the rest of East Africans nations ni Man eat gun countries. [emoji275][emoji275]
Hivi Intelligence hio unasifia ndio imeshindwa kutokomeza jinamizi la TELEZA? Wanawake wenu na wajane kigoma wanabakwa kila siku na hapa unakenua eti Tz is a man eat food country!
 
Ni kashfa nyingine mbaya inayowahusisha wazito serikalini na wanasiasa maarufu.. That's why I still hate POLITIK.. [emoji34][emoji34][emoji34]... The diplomatic relationship over the two nations has gone viral... What's wrong with our African politicians? Used n been used for gruesome deals? View attachment 1104052View attachment 1104055
Mbona hata Bongo mipigo hiyo ni kawaida, wanapigwa Wazungu wangapi huko Bongo na mapejee mnaowaimba kila siku?
It's a universal game, ukiingia kichwakichwa unakula za uso wajanja wanaendelea na maisha. Law of the jungle, survival of the fittest.
 
Wabongo Wajanja wanaangalia pa kupiga na kiasi cha kupiga... They play low profile... Ndugu zangu wameenda kumpiga mwarabu tena ndefu hasa halafu akawashirikisha wanasiasa tena wakubwa
 
Mwambie ajaribu tena atapigwa tu, manina zake.
Ukijiweka kwenye biashara za kimataifa hakikisha upo makini, watume wawakilishi.
Kuna mchezo mkubwa sana wa matapeli hapa mjini na ukiwa mjinga unaliwa.
Sasa hiyo siyo sifa nzuri kwa nchi yenu.hamjifunzi kwa wanaigeria mpaka wanazuiwa kuingia nchi zingine kwa sababu ya drugs na utapeli. Ameir wa falme za kiarabu atawafukuza wakenya huko dubai ndo mtaiona hasara yake.
 
Back
Top Bottom