KENYA: Askofu asilimu na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti

Nilivoona askofu na waumini wamesilimu nikajua tu sio makanisa hale ya kitasisi
Ni ngumu RC au KKKT askofu asilimu na parokia/usharika wake.
Ila kwa ministry ni rahisi sana maana askofu unakuta ana kanisa moja tu na labda waumini 500.

But vizuri kwao kuchagua walichoona chema kwao na vizazi vyao
 
Mkuu, uislam ni dini inayonezwa kwa neno, si rushwa, hila wala ulaghai. Hivyo pia, kuwa na watu wengi siyo sababu ya kuukwepa moto wa mungu. wingi ungekuwa na tijja mbele ya mungu asingewaangamiza watu wa nabii NUHU ambao wachache waliamini na wengi walimkataa.
 
wakt ukiongea hayo huku utambue kuwa uislam ndiyo dini inayokuwa kwa kasi kubwa..na baadh ya nchi huwa wanasema miongon mwa sabab za uislam kuenea kwa haraka na kuwa na waumin wenye idad kubwa ni kuoa wake mpaka wa 4.
 

Soma andiko langu usinijibu tu utakavyo. Ati uislam ni dini inayoenezwa kwa maneno!! Umesoma kitabu gani wewe? Tunasikiaga wahubiri wa injili hatujasikia wahubiri wa kiislam bali mihadhara. Mihadhara kazi yake ni kuueneza uislam kwa nguvu na hao wakiwakataa muwaue haswa kwa kuchinja. Sasa hayo ndo maneno? Akheri rushwa kuliko mauti. Unayaona wanayofanya hao Al shabab kule Kenya? Huko ni kuueneza uislam kwa amani/maneno au?
 
Ila Hawa waislamu wanajitahidi ,ukiwatizama wanaonekana kweli wanakijua wanachofanya.ila sie wakristu ni kama dini yetu inamashaka hivi.kila kukicha wanaibuka manabii na watumishi wanaopingana.huwa nakasirika kuona mwanamke kaposti picha yake kavaa sket fupi na maziwa nje alafu anaandika yesu kanifanya ning'are.
 
wakt ukiongea hayo huku utambue kuwa uislam ndiyo dini inayokuwa kwa kasi kubwa..na baadh ya nchi huwa wanasema miongon mwa sabab za uislam kuenea kwa haraka na kuwa na waumin wenye idad kubwa ni kuoa wake mpaka wa 4.

Nadhani hiyo ya kuongeza kwa kuwazalisha wanawake ndicho kimempelekea huyu askofu kusilimu. Awawahi hao wanawake 32 aliokuwa nao awazalishe kihalali kwa sababu ya ruksa ya dini yake mpya. Kule alikokuwa si wanamwambia mume mmoja na mke mmoja?? Aksante kwa kutufungua macho
 
Ni uamuzi wake! Uheshimiwe kwani kila mtu ana haki ya kuamua hatma ya maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…