KENYA: Askofu asilimu na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti


Hapo kwenye red ndio kuna points,huwa nawaambia jamaa zangu sio kila anaekuja kwenye hio harusi yenu amefurahia wengine wanakuja na mazongo yao mnashangaa mnaishi mwaka matatizo ndani kila siku mwisho wa siku ndoa chali
 
Mpumbav mmoja huyo, tangu lini Mungu akafanyiwa utafiti.... Dini na imani si mambo ya kisayansi. Mambo haya hayana uthibitisho.
 
Mwenyezi mungu amemuonyesha njia kabla umauti, inshaallah amuongoze kwayo yeye na ah'ali zake. Dini ni nyingi duniani, si kosa kujifunza zote ili uzijue dini za wanadam na dini ya mungu
Zote ni imani tu.
 
Basi huyo Mungu ana upendelea.. Achague wake wakuwaokoa wengine awaache
Mbona kuna matajiri na masikini?Mbona watu wasioumjua ndio matajiri wakubwa?Mbona wanaomtumikia wako hohehahe?Tafakari.
 
wekeni basi picha ya hicho wanachokiita " kanisa lake" unaweza kukuta ni banda la nyasi
 
Yesu akawaambia, mimi ndimi njia na kweli na UZIMA, MTU haji kwa BABA ila kwa njia ya mimi, Yn 14:6. YESU ndiyo njia ya kwenda kwa MWENYEZI MUNGU, kwanini uhangaike, mwamini YESU maana wa MUNGU upAte uzima wa milele
 
Karibu sana utekeleze maagizo ya allah [emoji117] ili ufuzu ukazawadiwe mahulu 72 wenye makalio ft.40 ujiuji kiuno kama nyigu, macho kama vikombe...yalah [emoji8] [emoji39]
Povuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Issue siyo kuwa nani, mwamini YESU tu, huyu ndiye mwokozi wa ulimwengu wote
 
Ushoga na usagaji utakimbiza wengi[emoji23][emoji2][emoji2][emoji23]
 
Mkuu wale maaskofu uchwara wa kujianzishia madhehebu. Huoni alikuwa anamiliki hadi kanisa [emoji3].
Kajianzishia kamradi kake,ghafla anakuwa askofu wa mradi wake sio? πŸ˜€πŸ˜€
 
Kaama dini??
Mungu hakuwahii kuumba dini kuwa kigezo cha kuingia ktk Ufalme wa Mungu..nampenda Yesu kwasababu hakuwahi kuhubiri dini hata siku1,ila alihubiri Ufalme wa Mungu pekee,na Yesu(mfalme)hakuanzsha hiyo dini ya ukristu,ukristu n.k so sitishiki mtu akiwa mkristo alafu akaruhusu ushoga,au ndoa Za jinsia moja..najua uyo yupo ktk dini ila hayupo ktk Ufalme wa Mungu,so sitishiki na dini wala nini...Mungu alirejesha Ufalme wake hapa duniani ndomaana Bwana wetu Yesu hakuwahi kuhubiri dini Bali kila alipohubiri alihubiri Ufalme Ufalme...l
Mathayo 4:17
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…