God iz bae
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 527
- 1,086
Duuuuh[emoji40]Karibu sana utekeleze maagizo ya allah [emoji117]ili ufuzu ukazawadiwe mahulu 72 wenye makalio ft.40 ujiuji kiuno kama nyigu, macho kama vikombe...yalah [emoji8] [emoji39]
Inna ddiina indallahil Islam.Kaama dini??
Mungu hakuwahii kuumba dini kuwa kigezo cha kuingia ktk Ufalme wa Mungu..nampenda Yesu kwasababu hakuwahi kuhubiri dini hata siku1,ila alihubiri Ufalme wa Mungu pekee,na Yesu(mfalme)hakuanzsha hiyo dini ya ukristu,ukristu n.k so sitishiki mtu akiwa mkristo alafu akaruhusu ushoga,au ndoa Za jinsia moja..najua uyo yupo ktk dini ila hayupo ktk Ufalme wa Mungu,so sitishiki na dini wala nini...Mungu alirejesha Ufalme wake hapa duniani ndomaana Bwana wetu Yesu hakuwahi kuhubiri dini Bali kila alipohubiri alihubiri Ufalme Ufalme...l
Mathayo 4:17
Wewe unaamini biblia?Inna ddiina indallahil Islam.
Dini ipo na hilo ndilo andiko Mungu akiweka wazi katika kitabu chake.
Naona unajibu ukiwa mbinguni [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unadhan Mbinguni n Magogoni??? Tumia akil Mkuu acha kuendexhwa
Uisilamu si mchezo [emoji15]Duuuuh[emoji40]
wewe au Mimi?Povuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Izo ahadi ndo zmeniacha hoi aiseeUisilamu si mchezo [emoji15]
Masharti ya kuzipata ndio Hayo ona anavyo wajibika [emoji117]Izo ahadi ndo zmeniacha hoi aisee
mwisho ni wake wa4 tu ndo unaopaswa kuishi nao pamoja..ikiwa umekwazana na mmoja au kumetokea sabab za kuachana unamuacha na unabak na wa4 ukiongeza mwngne anakuwa wa4 sasa hao wake 10 umewatoa wap..siamin km jf ckuiz kuna mamburula wa kiwango hiki..maneno ya vijiwen ndo unayatumia kuleta ushahid hapaKasome maandiko. Hata 10 kwa siku moja unalipa mahari, unaoa, unataliki. Mbona mwatufanya ka hatuijui hii dini nyie.
huyaelew hayo maandkoYesu akawaambia, mimi ndimi njia na kweli na UZIMA, MTU haji kwa BABA ila kwa njia ya mimi, Yn 14:6. YESU ndiyo njia ya kwenda kwa MWENYEZI MUNGU, kwanini uhangaike, mwamini YESU maana wa MUNGU upAte uzima wa milele
alaf akashindwa kujiokoa msalabanIssue siyo kuwa nani, mwamini YESU tu, huyu ndiye mwokozi wa ulimwengu wote
ww unaamini biblia ya vitab 73 au ile ya vitab 66???...ktk Quran kuna aya zinazozungumzia jins mimba inavyopatikana na mtoto anavyokuwa tumboni pia inaeleza kutochanganyika kwa maji ya bahar mbili zinapokutana je ikiwa Quran imetungwa na Muhammad haya mambo aliyasomea wap na lini??nukuu kitab cha historiaWewe unaamini biblia?
Mimi binafsi siiamini qurani,Ni kitabu cha kihuni tu ,mtu mmoja aka Mudi alikuja na kuanzsha hioo dini..
Njoo na facts mkuu
amechoka kuwa antibalaka wa kule africa ya katiAnataka kuwa al shabab hana lolote kigezo cha Kwanzaa cha kuwa al shabab ni kubadili dini
hivi mpk sasa jf bado kuna mamburula??sasa nabii Mussa alikuja baada ya nabii Daud so hii inaonyesha kuwa nabii Mussa c lolote c chochote?Mudy alikuja miaka zaidi ya 500 baada ya Yesu kuondoka.
Tambua ya kwamba kwake Yesu kila goti litapigwa.
Huko kwingine ni kupoteza muda