KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

Mzee akitoka jela naomba asikae na huyu binti. Kuna jambo linaweza kulipa fadhila hapo nina wasiwasi.

Hapana yule baba anaonekana anajielewa sana sana...na aliomba aletewe binti yake gerezani..alikua analia balaa yulr baba dogo anavyofungua codes
 
Imeniuma sana jaman ten years ni ming sana huyo mtoto na mama ake wana roho mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu mtoto ht usimlaumu..ungeangalia siku hyo ndo ungeelewa..unaambiwa mamake ndo alikua anaenda polis kutengeneza ushahid fake..na dogo akawa anatishwa na polis eti usiposema hv na hv utakaa hapa ww badala ya babako...soo sad
 
Watakuja watanganyika wanaoishadadia Kenya kwa kitu kuisifia sana na Kenyatta kwa hili.
 
Huyu mtoto ht usimlaumu..ungeangalia siku hyo ndo ungeelewa..unaambiwa mamake ndo alikua anaenda polis kutengeneza ushahid fake..na dogo akawa anatishwa na polis eti usiposema hv na hv utakaa hapa ww badala ya babako...soo sad
Aisee kumbe huu mchongo na polis walipewa chao jaman ila la kushukuru mungu mtoto ameumia kukaa na sir muda mrefu amesema ukweli umejulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…