Kenya declares war on Al Shabaab!

Kenya declares war on Al Shabaab!

Kiukweli, Kenya kwa Al-shabaab mmeingia mkenge........... na hivi upande ule mnavyofanana nao.thijui
 
Wame detonate au difuse the device ? Duh huyu jamaa gaidi with a difference. I can bet huyu probably is a disgruntled daddy or employee.
 
Al-shabab wanahangaika tu maana nguvu yao is getting weakened by day....their mission will fail soon
 
Sheikh sharif-the president of somalia-was a member of the alshabab affilitate called the ICU.so the question is-IS BLOOD THICHER THAN WATER HEAR?-The kenyan govt tuesday told the somalian govt to come clear on that issue and hinted that the operation linda nchi will continue.furthermore some somali lawmakers disowned their president's remarks amid protest in Dhobley a somali town where demostrators were seen carrying kenyan and somalian flags and urged kenyan to gn deep in somalia and liberate them from alshabab.the kenyan troops were preparing to attack kismayo and liberate it from alshabab.
 
@16:53 hrs Today 26.10.2011 Nairobi, Kenya

Police Blow Up Car in Nairobi

Police have blown up a suspicious car found abandoned in Nairobi's Kayole estate Wednesday.


A combined force of police bomb squad and dog unit cordoned off the area before setting off an explosive device.


The police said their action was aimed at forcing open the car's boot.


The vehicle was later towed to Kayole Police Station.

Source: Police blow up car in Nairobi's Kayole - News |nation.co.ke
 
Hii vita ya Kenya dhini ya Al- Shabab ni kama vile mpango maalum wa kuwafanya wananchi wa Kenya kuacha kuwaza juu ya masuala ya Ocampo dhini ya viongozi wa juu wa Kenya waliosababisha maafa baada ya uchaguzi huku wananchi wengi wakiwa wakimbizi wa ndani (IDP).

Vyombo vya usalama vinaweza kuanzisha mkakati mkubwa wa kuwanasua viongozi wenye kashfa mbaya mfano mauaji ya halaiki kwa kutafuta 'kitu' cha kuwaunganisha wa-Kenya wasahau madhila yaliyowakumba baada ya uchaguzi na pia serikali ya Kenya kutafuta huruma toka kwa mataifa makubwa yapunguze mbinyo dhini wa wanaotuhumiwa na Ocampo kwa vile wanashiriki ktk vita dhini ya ugaidi.

Kuna movie (sinema) moja iitwayo 'Wag The Dog' ambapo De Niro anakuwa 'spin-doctor' wa serikali kumwokoa Rais dhini ya kashfa ya ngono kwa kuzua uongo kuwa USA inakabiliwa na ghaidi wa 'suite case bomb' toka ka-nchi cha Albania Wag the Dog - Wikipedia, the free encyclopedia.

Ukiangalia hiyo sinema ya Wag The Dog na mlolongo matukio ya watalii kutekwa, mara gari kulipuliwa na polisi jijini Nairobi mara baa yenye watu 12 kutupiwa gurunedi au kuivamia Somalia kumfukuza gaidi asiyeonekana Al Shabab yote inapelekea kuuliza maswali mengi juu ya maamuzi ya viongozi wa kisiasa wa Kenya. Na utaona mawaziri wa Kenya wanatoa ufafanuzi-tata mara tulikuwa Mogadisho tukakubaliana na serikali ya mpito ya Somalia juu ya vita hii na baada ya siku chache Raisi wa Somalia analaani uvamizi wa Kenya n.k

Katika mjadala wa Bunge la Kenya kuhusu mantiki ya Kenya kuivamia Somalia, tulisikia Naibu Waziri wa ulinzi wa Kenya akidai kuwa Kichwa cha Al Shabab kipo ktk kitongoji cha Eastleigh jijini Nairobi na mkia upo huko porini Somalia. Huu msemo unafanana sana na 'Spin Doctor" ktk sinema ya Wag The Dog.

Sasa ukiukata mkia wa zimwi uliopo Somalia ndiyo ufumbuzi? au ukitaka kuliua zimwi basi kata kichwa kilichopo ktk kitongoji cha Eastleigh ndani ya jiji la Nairobi, ndiyo ufumbuzi wa vita dhini ya pirate wa baharini na majambazi wa utekaji watalii Kenya kwa kutumia jeshi la polisi na maajenti wa Usalama wa Taifa (National intellingency).

Tanzania na wa-Tanzania tusikubali kuingizwa mkenge 'kuwasaidia' jirani yetu kwa vile tupo ktk EAC (Jumuia ya Afrika Mashariki) ktk vita hii yenye maswali mengi juu ya dhamira halisi ya vita hii. Ugaidi humalizwa kwa vita ya kimya-kimya yaani kutumia Usalama wa Taifa (intellingene agencies) na siyo makelele mengi ya kupeleka askari wa anga, miguu na navy nchi jirani kupigana na adui asiyeonekana, sana sana utaishia kuuwa raia wasio na hatia na hatimaye vita itakuwa ngumu kuishinda.

N.B
Msemo wa 'Wag the dog' kwa kiingereza maana yake ni nini:
Idiom Definitions for 'Wag the dog'


To 'wag the dog' means to purposely divert attention from what would otherwise be of greater importance, to something else of lesser significance. By doing so, the lesser-significant event is catapulted into the limelight, drowning proper attention to what was originally the more important issue.
The expression comes from the saying that 'a dog is smarter than its tail', but if the tail were smarter, then the tail would 'wag the dog'. The expression 'wag the dog' was elaborately used as theme of the movie. 'Wag the Dog', a 1997 film starring Robert de Niro and Dustin Hoffman, produced and directed by Barry Levinson.
Source: http://www.usingenglish.com/reference/idioms/wag+the+dog.html
 
hao maelfu walikuwa wamesimama wapi wakati bomu lilipokuwa linalipuliwa? au walikuwa live on tv? waandishi bana?
 
mpaka watakapo kuja kujua mbaya wao ni mmarekani mshakufa wakenya wote naona na mpangaji wetu wa magogoni anajipendekeza kwa hawa atavuna alichopanda..
 
Kenya warudishe tu majeshi nyumbani maana kuishi kwa mashaka kubaya!
 
Al-shabab deserve what they are getting....good move France...let others who are concerned with human safety and human life
am afraid they will protect civilians the Libya way...
 
Ccm ilikodisha Al shaabab kuhujumu viongozi wakiwemo wa CDM.Dhambi inaweza kuwafika na wao.
 
narudia tena na tena-hao wasomali wanaoishi hapo kenya nusu yao wanatakiwa wafanyiwe deportation
 
How can you detonate a device with potential to 'angamiza dunia' with thousand of onlookers nearby. Surely that will be very irresponsible.
Wakenya na watanzania hii kazi ni ngumu kwao.Si mahodari sana katika kuongopa,vyenginevyo hawajafaulu mafunzo wanayopatiwa na Marekani.
 
Back
Top Bottom