NakuliliaTanzania
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 555
- 7
Seriuosly, Inakera sana, ati Mbunge wa Jimbo la Kinondoni ni Mh. Iddi Azzan,,, check nondo/profile ya mheshimiwa hapa
Kitila tunahitaji kufanya kazi ya ziada hii ni dhihaka kubwa sana!!! yaani this was the best kutoka kwa wakazi wa jimbo la Kinondoni?
Mie natetea haki,hizo data nimezipata katika webiste ya mwai kibaki
www.kibaki.co.ke
nimeongea na mdau mmoja wa JF ambaye yuko Nai.ananiambia Raila yuko Juu sana.
This is the toughest political race Kenyans have ever seen. The big question this time round is not simply who will become the president of this booming East African economy, but whether the vote will be seen by the losing side as legitimate. ... ...
The presidential race between Mwai Kibaki and his main challenger, Raila Odinga, is too close to call. ... ...
Police Commissioner Hussein Ali said it was now time to start the healing process and said those who felt aggrieved should take their case to court, not the streets. ... ...
Only a handful have been officially announced by the ECK, but results of polling are being reported steadily by radio and television stations. ... ...
"We would like everything to be out in the open today, in order to ensure that [the] political temperature does not go up because there's a lot of anxiety in the country,"
Mkombozi ufisadi hukuona ka hizo ni Steadman Polls? hebu wacha mzaha kwenye mambo ya msingi kama haya.Mie natetea haki,hizo data nimezipata katika webiste ya mwai kibaki
www.kibaki.co.ke
Kilitime,
Hii elimu ya huyu jamaa inanichekesha http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp_Cv3.asp?PTerm=2005-2010&fpkey=347&vusername=GUEST")
Hivi hiyo Dar City college iko wapi tena??? Jamani hivi bongo tunachagua watu kwa vipimo gani?? UWEZO, CHAMA, PESA au SURA YA MTU???
Mie natetea haki,hizo data nimezipata katika webiste ya mwai kibaki
www.kibaki.co.ke
nimeongea na mdau mmoja wa JF ambaye yuko Nai.ananiambia Raila yuko Juu sana.
[/QUOTE]QUOTE]KTN SAA 5.05AM
Matokeo haya:
1. Raila anazidi kuongoza - millioni 2,976, 468, ambayo ni 58.7%
2. KIbaki anafuata na - millioni 1,93 Million votes ambayo ni 39.1%
MUHIMU a) Hizo percents zingine kama kumi hivi zimegawanywa na vyama vidogo vidogo.
KTN SAA 5.05AM

Kufikia sasa kura million tano zimeshahesabiwa.
Nadhani Kibaki ataongeza kura zake sana results za Mkoa wao wa Central au KATI kama 700, 000 hivi zitaapoingia.
Wacheni tuvute kheri kwakuwa na subira.
____________________________________________
RIPOTI RASMI ZIMETOKA SASA KWAMBA RAILA ODINGA AMESHINDA LANGATA CONSTITUENCY!!
NGILU PIA AMESHINDA HUKO KITUI CENTRAL
Wanabodi nisameheni, lakini nimeona ni vizuri muone ya wenzetu kwa urahisi zaidi... mimi simuungi Kibaki lakini wenzetu taifa linapiga hatua!!!
Free Primary Education Numerous children all over the country have joined school for the very first time. No child has been left out, not those on the streets, nor those whose parents who could not previously afford an education. Parents have saved a lot of money and have been able to invest and uplift their living standards.
Improved the Quality of Life for all Kenyans Through improved health services to ensure a healthy and vibrant workforce. Water and Electricity have been made more available to more Kenyans in urban and rural areas.
Empowered people in Development Through the Constituency Development Fund, the people can now decide the best ways to develop their areas. In the year 2005/06 alone, more than Kshs 54 billion was allocated to cater for different development projects that directly benefit the people.
Boosted Farmers and Agriculture By guaranteeing that Farmers are promptly paid for their produce, President Kibaki has ensured that they become wealthier and produce more than before. The revival of stalled industries such as the Kenya Meat Commission (KMC) and Kenya Cooperative Creameries (KCC).
Supported Empowerment of Women By providing special funds to assist them to run their own businesses. President Kibaki has also directed that a 30% quota be reserved for women in public appointment. Even though a bill to guarantee women 50 seats in Parliament was defeated, Mwai Kibakis commitment to empowering women has not wavered.
Supported Kenyan Youth By providing special funds to assist and encourage youth leadership, and also to ensure they are properly educated, he has secured the future of Kenya through a well-educated youth. Mwai Kibaki has also outlined the Marshal Plan for Youth Employment in order to create more opportunities for youth in Kenya.
Better Roads and Transport Under Kibakis leadership, more than Kshs 50 billion has been spent to improve and expand the road network in this country. By increasing the number of all weather roads, Mwai Kibaki has enabled workers, farmers and traders to travel fast and easily with lower costs.
Restored Respect for Kenya and Kenyans Mwai Kibaki has ensured that our country is no longer considered to be a begging nation. We are self-reliant: up to 95% of Kenyas budget is now self-financed, without any recourse to donor funds. Kenya is a respected country once again because of the policies that were adopted of efficient political and economic management.
Jamani, tusitamani tusichokuwa nacho.
Tanzania hatuna Raila Odinga, (at leastso far); na wala hatuna ODM.
Kazi yetu imebaki kuwalaumu wananchi tuuuu, na tunasahau kuwa upinzani ni hafifu sana. Wananchi wako tayari kabisa kuweka mabadiliko, lakini kama inavyosemwa hapa kila mara, hawaoni wampe nani.
Hajapatikana shujaa wa kweli katika upinzani, anayeweza kuwaunganisha viongozi wenzake na kukoga roho za wananchi.
Pamoja na madudu yote tutakayoendelea kufanyiwa na CCM, tujiandae tu kuendelea hivi hivi na ccm yetu. Upinzani sio lele mama. Kamuulize Odinga aliyokwishayapata; na umahiri wa strategies zake hadi kufikia hapo alipofikia.
Seriuosly, Inakera sana, ati Mbunge wa Jimbo la Kinondoni ni Mh. Iddi Azzan,,, check nondo/profile ya mheshimiwa hapa
Kitila tunahitaji kufanya kazi ya ziada hii ni dhihaka kubwa sana!!! yaani this was the best kutoka kwa wakazi wa jimbo la Kinondoni?
Wanabodi nisameheni, lakini nimeona ni vizuri muone ya wenzetu kwa urahisi zaidi... mimi simuungi Kibaki lakini wenzetu taifa linapiga hatua!!!
Free Primary Education Numerous children all over the country have joined school for the very first time. No child has been left out, not those on the streets, nor those whose parents who could not previously afford an education. Parents have saved a lot of money and have been able to invest and uplift their living standards.
Improved the Quality of Life for all Kenyans Through improved health services to ensure a healthy and vibrant workforce. Water and Electricity have been made more available to more Kenyans in urban and rural areas.
Empowered people in Development Through the Constituency Development Fund, the people can now decide the best ways to develop their areas. In the year 2005/06 alone, more than Kshs 54 billion was allocated to cater for different development projects that directly benefit the people.
Boosted Farmers and Agriculture By guaranteeing that Farmers are promptly paid for their produce, President Kibaki has ensured that they become wealthier and produce more than before. The revival of stalled industries such as the Kenya Meat Commission (KMC) and Kenya Cooperative Creameries (KCC).
Supported Empowerment of Women By providing special funds to assist them to run their own businesses. President Kibaki has also directed that a 30% quota be reserved for women in public appointment. Even though a bill to guarantee women 50 seats in Parliament was defeated, Mwai Kibakis commitment to empowering women has not wavered.
Supported Kenyan Youth By providing special funds to assist and encourage youth leadership, and also to ensure they are properly educated, he has secured the future of Kenya through a well-educated youth. Mwai Kibaki has also outlined the Marshal Plan for Youth Employment in order to create more opportunities for youth in Kenya.
Better Roads and Transport Under Kibakis leadership, more than Kshs 50 billion has been spent to improve and expand the road network in this country. By increasing the number of all weather roads, Mwai Kibaki has enabled workers, farmers and traders to travel fast and easily with lower costs.
Restored Respect for Kenya and Kenyans Mwai Kibaki has ensured that our country is no longer considered to be a begging nation. We are self-reliant: up to 95% of Kenyas budget is now self-financed, without any recourse to donor funds. Kenya is a respected country once again because of the policies that were adopted of efficient political and economic management.
nitafurahi akishinda Mwai kibaki
Mzee Kilitime heshima yako mkuu! Yaani nimecheka sana nilipoisoma profile ya Iddi Azzan. Kama Kinondoni ndio wametupa huyu, je huko kijijini Katoma watatupa kitu gani wajameni? Nadhani tuanzishe thread hapa JF ya kuanika wabunge wenye extreme profiles kama hii ya huyu ndugu yetu mpendwa kutoka jimbo lenye chuo kikuu kikongwe zaidi hapa TZ.