Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Seriuosly, Inakera sana, ati Mbunge wa Jimbo la Kinondoni ni Mh. Iddi Azzan,,, check nondo/profile ya mheshimiwa hapa

Kitila tunahitaji kufanya kazi ya ziada hii ni dhihaka kubwa sana!!! yaani this was the best kutoka kwa wakazi wa jimbo la Kinondoni?

Aisee hii ni hatari, U mean Kinondoni Mkuu, ambapo kwa haraka haraka kuna wakazi kibao....halafu tunashangaa kwa nini baadhi ya wabunge hawaulizi maswali bungeni!
 
Kilitime,

Hii elimu ya huyu jamaa inanichekesha http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp_Cv3.asp?PTerm=2005-2010&fpkey=347&vusername=GUEST")

Hivi hiyo Dar City college iko wapi tena??? Jamani hivi bongo tunachagua watu kwa vipimo gani?? UWEZO, CHAMA, PESA au SURA YA MTU???
 
Wanabodi nisameheni, lakini nimeona ni vizuri muone ya wenzetu kwa urahisi zaidi... mimi simuungi Kibaki lakini wenzetu taifa linapiga hatua!!!

Free Primary Education – Numerous children all over the country have joined school for the very first time. No child has been left out, not those on the streets, nor those whose parents who could not previously afford an education. Parents have saved a lot of money and have been able to invest and uplift their living standards.

Improved the Quality of Life for all Kenyans – Through improved health services to ensure a healthy and vibrant workforce. Water and Electricity have been made more available to more Kenyans in urban and rural areas.

Empowered people in Development – Through the Constituency Development Fund, the people can now decide the best ways to develop their areas. In the year 2005/06 alone, more than Kshs 54 billion was allocated to cater for different development projects that directly benefit the people.

Boosted Farmers and Agriculture
– By guaranteeing that Farmers are promptly paid for their produce, President Kibaki has ensured that they become wealthier and produce more than before. The revival of stalled industries such as the Kenya Meat Commission (KMC) and Kenya Cooperative Creameries (KCC).

Supported Empowerment of Women – By providing special funds to assist them to run their own businesses. President Kibaki has also directed that a 30% quota be reserved for women in public appointment. Even though a bill to guarantee women 50 seats in Parliament was defeated, Mwai Kibaki's commitment to empowering women has not wavered.

Supported Kenyan Youth – By providing special funds to assist and encourage youth leadership, and also to ensure they are properly educated, he has secured the future of Kenya through a well-educated youth. Mwai Kibaki has also outlined the "Marshal Plan for Youth Employment" in order to create more opportunities for youth in Kenya.

Better Roads and Transport – Under Kibaki's leadership, more than Kshs 50 billion has been spent to improve and expand the road network in this country. By increasing the number of all weather roads, Mwai Kibaki has enabled workers, farmers and traders to travel fast and easily with lower costs.

Restored Respect for Kenya and Kenyans – Mwai Kibaki has ensured that our country is no longer considered to be a begging nation. We are self-reliant: up to 95% of Kenya's budget is now self-financed, without any recourse to donor funds. Kenya is a respected country once again because of the policies that were adopted of efficient political and economic management.
 
Mie natetea haki,hizo data nimezipata katika webiste ya mwai kibaki
www.kibaki.co.ke

nimeongea na mdau mmoja wa JF ambaye yuko Nai.ananiambia Raila yuko Juu sana.

Angalao sasa na wewe unamrudi Mungu wako kwa kuwa mkweli. Lakini hizo data zilikua ni opinion polls (Latest Steadman Polls) si za uchaguzi
 
This is incredible! Kwa kweli WATANZANIA tutajifunza mengi. Enyi wananchi wa Tanzania hima, hima tuhakikishe majina yetu yamo kwenye daftari la kupiga kura! Mengine yatafuta.

KT thanks for the update.
 
Kenyans await election cliff-hanger

This is the toughest political race Kenyans have ever seen. The big question this time round is not simply who will become the president of this booming East African economy, but whether the vote will be seen by the losing side as legitimate. ... ...

The presidential race between Mwai Kibaki and his main challenger, Raila Odinga, is too close to call. ... ...

Police Commissioner Hussein Ali said it was now time to start the healing process and said those who felt aggrieved should take their case to court, not the streets. ... ...

Only a handful have been officially announced by the ECK, but results of polling are being reported steadily by radio and television stations. ... ...

"We would like everything to be out in the open today, in order to ensure that [the] political temperature does not go up because there's a lot of anxiety in the country,"

http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/7162705.stm
 
wakenya wameamka sana uki-compare na waTanzania walio wengi, tuombe mungu na kufanyakazi kwa bidii kuelimishana......hopeful ipo siku SISIEMU watafikwa na kifo cha mende!!.
Upinzani pia kuweni siriasi, migogoro na utoto acheni kwani wananchi wanaona hayo na kuyatumia kama excuse ya kuendelea kuweka sisiem madarakani.
 
Kilitime,

Hii elimu ya huyu jamaa inanichekesha http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp_Cv3.asp?PTerm=2005-2010&fpkey=347&vusername=GUEST")

Hivi hiyo Dar City college iko wapi tena??? Jamani hivi bongo tunachagua watu kwa vipimo gani?? UWEZO, CHAMA, PESA au SURA YA MTU???

Acha tu!!! ni AIBU!!! sijui kiko wapi,,, ISSAMICHUZI BLOG ingetusaidia... lakini nadhani hawa wanahusita na Hotel, Tourism and Secretarial studies not more than that!!! Tafute wengine mtusaidie...

BENDERA namsamehe kwa kuwa amechaguliwa na Watu wa Calibre yake... Je Kinondoni nako?
 
Mie natetea haki,hizo data nimezipata katika webiste ya mwai kibaki
www.kibaki.co.ke

nimeongea na mdau mmoja wa JF ambaye yuko Nai.ananiambia Raila yuko Juu sana.

From the source you quoted, it shows that those were opinion poll results released by Steadman and NOT the general election results. Please check your source carefully before posting.
 
Jamani, tusitamani tusichokuwa nacho.

Tanzania hatuna Raila Odinga, (at leastso far); na wala hatuna ODM.
Kazi yetu imebaki kuwalaumu wananchi tuuuu, na tunasahau kuwa upinzani ni hafifu sana. Wananchi wako tayari kabisa kuweka mabadiliko, lakini kama inavyosemwa hapa kila mara, hawaoni wampe nani.

Hajapatikana shujaa wa kweli katika upinzani, anayeweza kuwaunganisha viongozi wenzake na kukoga roho za wananchi.

Pamoja na madudu yote tutakayoendelea kufanyiwa na CCM, tujiandae tu kuendelea hivi hivi na ccm yetu. Upinzani sio lele mama. Kamuulize Odinga aliyokwishayapata; na umahiri wa strategies zake hadi kufikia hapo alipofikia.
 
[
QUOTE]KTN SAA 5.05AM

Matokeo haya:

1. Raila anazidi kuongoza - millioni 2,976, 468, ambayo ni 58.7%
2. KIbaki anafuata na - millioni 1,93 Million votes ambayo ni 39.1%

MUHIMU a) Hizo percents zingine kama kumi hivi zimegawanywa na vyama vidogo vidogo.
[/QUOTE]

K.T unatusaidia sana ila hapo rekebisha ni 5.05AM ama PM? Naamini ni PM
 
KTN SAA 5.05AM

Matokeo haya:

1. Raila anazidi kuongoza - millioni 2,976, 468, ambayo ni 58.7%
2. KIbaki anafuata na - millioni 1,93 Million votes ambayo ni 39.1%

MUHIMU a) Hizo percents zingine kama kumi hivi zimegawanywa na vyama vidogo vidogo.

Kufikia sasa kura million tano zimeshahesabiwa.

Nadhani Kibaki ataongeza kura zake sana results za Mkoa wao wa Central au KATI kama 700, 000 hivi zitaapoingia.

Wacheni tuvute kheri kwakuwa na subira.

____________________________________________

RIPOTI RASMI ZIMETOKA SASA KWAMBA RAILA ODINGA AMESHINDA LANGATA CONSTITUENCY!!

NGILU PIA AMESHINDA HUKO KITUI CENTRAL

Sasa hapa patamu - watanzania tuamke tusifungwe shemere tu kama ngo'mbe
 
Wanabodi nisameheni, lakini nimeona ni vizuri muone ya wenzetu kwa urahisi zaidi... mimi simuungi Kibaki lakini wenzetu taifa linapiga hatua!!!

Free Primary Education – Numerous children all over the country have joined school for the very first time. No child has been left out, not those on the streets, nor those whose parents who could not previously afford an education. Parents have saved a lot of money and have been able to invest and uplift their living standards.

Improved the Quality of Life for all Kenyans – Through improved health services to ensure a healthy and vibrant workforce. Water and Electricity have been made more available to more Kenyans in urban and rural areas.

Empowered people in Development – Through the Constituency Development Fund, the people can now decide the best ways to develop their areas. In the year 2005/06 alone, more than Kshs 54 billion was allocated to cater for different development projects that directly benefit the people.

Boosted Farmers and Agriculture
– By guaranteeing that Farmers are promptly paid for their produce, President Kibaki has ensured that they become wealthier and produce more than before. The revival of stalled industries such as the Kenya Meat Commission (KMC) and Kenya Cooperative Creameries (KCC).

Supported Empowerment of Women – By providing special funds to assist them to run their own businesses. President Kibaki has also directed that a 30% quota be reserved for women in public appointment. Even though a bill to guarantee women 50 seats in Parliament was defeated, Mwai Kibaki’s commitment to empowering women has not wavered.

Supported Kenyan Youth – By providing special funds to assist and encourage youth leadership, and also to ensure they are properly educated, he has secured the future of Kenya through a well-educated youth. Mwai Kibaki has also outlined the “Marshal Plan for Youth Employment” in order to create more opportunities for youth in Kenya.

Better Roads and Transport – Under Kibaki’s leadership, more than Kshs 50 billion has been spent to improve and expand the road network in this country. By increasing the number of all weather roads, Mwai Kibaki has enabled workers, farmers and traders to travel fast and easily with lower costs.

Restored Respect for Kenya and Kenyans – Mwai Kibaki has ensured that our country is no longer considered to be a begging nation. We are self-reliant: up to 95% of Kenya’s budget is now self-financed, without any recourse to donor funds. Kenya is a respected country once again because of the policies that were adopted of efficient political and economic management.

Kilitime,

NI kweli kuwa serikali ya Kibaki imefanya mazuri mengi. Kitu cha kukumbuka kuwa serikali ya Kibaki iliingia kwa nguvu ya upinzani na kuitoa CCM ya kenya (KANU). Misingi mingi ya mafanikio ilikuwa ni katika kipindi cha miaka miwili ya mwanzo wakati kina Raila wako kwenye GOVT.

Kilichomponza Kibaki ni pale alipozidiwa nguvu na mt Kenya mafia na some people wa GEMA ambao walitaka ku-monopolize chama. Kitu kingine ni vile alishindwa kabisa kufuatilia maovu ya Moi na former Govt kwa kutumia sentensi kama za Kikwete kuwa mwacheni mzee apumuzike.

Nguvu na uozo wa KANU ulivyoingia NARC basi chama kikalose (ndio maana mie sio mshabiki sana wa wapinzani wanaotoka ccm pale tu mambo yao yanapokwenda kombo au kukosa ulaji).

Kinachomaliza nchi nyingi za Afrika ni vyama vilivyotumika kwenye kuleta uhuru kama Kanu, ccm, zanu cha mugabe, anc kudhani kuwa vina haki ya kuzaliwa ya kutawala milele na kunyonya wananchi (ukoloni mweusi).

Ndio maana nimefanya kuwa ndoto yangu kupambana ili kuitoa ccm madarakani huko Tanzania ili watanzania tuanze upyaaaa kama wakenya walivyoaanza upya bila KANU na matunda yake yanaonekana
 
Jamani, tusitamani tusichokuwa nacho.

Tanzania hatuna Raila Odinga, (at leastso far); na wala hatuna ODM.
Kazi yetu imebaki kuwalaumu wananchi tuuuu, na tunasahau kuwa upinzani ni hafifu sana. Wananchi wako tayari kabisa kuweka mabadiliko, lakini kama inavyosemwa hapa kila mara, hawaoni wampe nani.

Hajapatikana shujaa wa kweli katika upinzani, anayeweza kuwaunganisha viongozi wenzake na kukoga roho za wananchi.

Pamoja na madudu yote tutakayoendelea kufanyiwa na CCM, tujiandae tu kuendelea hivi hivi na ccm yetu. Upinzani sio lele mama. Kamuulize Odinga aliyokwishayapata; na umahiri wa strategies zake hadi kufikia hapo alipofikia.

Wewe nawe usianze kukatisha tamaa watu hapa.

Tanzania tunao maraila wetu kina zitto na Dr slaa

toa uoga wako hapa kuharibu siku ya kufurahia hapa
 
Kili mi nadhani hapo ndo tujiulize tunawapo walaumu wananchi wetu huko Kwimba na Kasulu kwamba wanapiga kura kwa sababu ya chakula na kanga, je vipi kuhusu maeneo kama Kinondoni ambako ndo kuna wasomi na professionals lukuki? Linganisha wapiga kura wa mheshimiwa Zitto Kigoma tena Kaskazini(Chadema) na Idd Azan Kindoni (CCM) ni wepi walio na uelewa wa juu? Jamani hii ni challenge, na what I see wananchi wameshaanza kuamka kuliko sisi wa Ukanda wa Gaza na kwingineko!
 
Seriuosly, Inakera sana, ati Mbunge wa Jimbo la Kinondoni ni Mh. Iddi Azzan,,, check nondo/profile ya mheshimiwa hapa

Kitila tunahitaji kufanya kazi ya ziada hii ni dhihaka kubwa sana!!! yaani this was the best kutoka kwa wakazi wa jimbo la Kinondoni?

Mzee Kilitime heshima yako mkuu! Yaani nimecheka sana nilipoisoma profile ya Iddi Azzan. Kama Kinondoni ndio wametupa huyu, je huko kijijini Katoma watatupa kitu gani wajameni? Nadhani tuanzishe thread hapa JF ya kuanika wabunge wenye extreme profiles kama hii ya huyu ndugu yetu mpendwa kutoka jimbo lenye chuo kikuu kikongwe zaidi hapa TZ.
 
Wanabodi nisameheni, lakini nimeona ni vizuri muone ya wenzetu kwa urahisi zaidi... mimi simuungi Kibaki lakini wenzetu taifa linapiga hatua!!!

Free Primary Education – Numerous children all over the country have joined school for the very first time. No child has been left out, not those on the streets, nor those whose parents who could not previously afford an education. Parents have saved a lot of money and have been able to invest and uplift their living standards.

Improved the Quality of Life for all Kenyans – Through improved health services to ensure a healthy and vibrant workforce. Water and Electricity have been made more available to more Kenyans in urban and rural areas.

Empowered people in Development – Through the Constituency Development Fund, the people can now decide the best ways to develop their areas. In the year 2005/06 alone, more than Kshs 54 billion was allocated to cater for different development projects that directly benefit the people.

Boosted Farmers and Agriculture
– By guaranteeing that Farmers are promptly paid for their produce, President Kibaki has ensured that they become wealthier and produce more than before. The revival of stalled industries such as the Kenya Meat Commission (KMC) and Kenya Cooperative Creameries (KCC).

Supported Empowerment of Women – By providing special funds to assist them to run their own businesses. President Kibaki has also directed that a 30% quota be reserved for women in public appointment. Even though a bill to guarantee women 50 seats in Parliament was defeated, Mwai Kibaki’s commitment to empowering women has not wavered.

Supported Kenyan Youth – By providing special funds to assist and encourage youth leadership, and also to ensure they are properly educated, he has secured the future of Kenya through a well-educated youth. Mwai Kibaki has also outlined the “Marshal Plan for Youth Employment” in order to create more opportunities for youth in Kenya.

Better Roads and Transport – Under Kibaki’s leadership, more than Kshs 50 billion has been spent to improve and expand the road network in this country. By increasing the number of all weather roads, Mwai Kibaki has enabled workers, farmers and traders to travel fast and easily with lower costs.

Restored Respect for Kenya and Kenyans – Mwai Kibaki has ensured that our country is no longer considered to be a begging nation. We are self-reliant: up to 95% of Kenya’s budget is now self-financed, without any recourse to donor funds. Kenya is a respected country once again because of the policies that were adopted of efficient political and economic management.

Mkuu kilitime, heshima mbele mkuu, hapo unaangalia na sisi utegemezi wetu ni zaidi ya 40%, hivi kwa nini tunaendelea kukubali upuuzi kama huu, wenzetu apo, majirani zatu wamewezaje, sisi tuna laana gani?
 
nitafurahi akishinda Mwai kibaki

Unakipi cha kukufurahisha kwa mtu hasiyekuwa na moyo wa subira na siha. Alipoulizwa swali hapo jana mara baada ya kupiga kura na mwandishi wa BBC kama endapo yupo tayari kukubali matokeo endapo atashindwa Kibaki alijibu kwa gadhabu 'ACHA USHENZI'. Hizi this the person you always expect to lead Kenya? A person who can not control his emotion? If Mudy Awuor is out of parliament what do you think of Kibaki's ability to take Kenyans to another level. I real impressed with Raila, the Guy is very calm and peace advocator. Even after not been able to vote on the first place after he find his name missing from the register he control his temper and urge calmness among his supporters. He did not even question the dignity of ECK. Let Kibaki Win just coz tribalism prevail. You vote for your last man. But Raila will win coz he is the hope of Kenyans from various ethnic, race and religious groups.
 
Mzee Kilitime heshima yako mkuu! Yaani nimecheka sana nilipoisoma profile ya Iddi Azzan. Kama Kinondoni ndio wametupa huyu, je huko kijijini Katoma watatupa kitu gani wajameni? Nadhani tuanzishe thread hapa JF ya kuanika wabunge wenye extreme profiles kama hii ya huyu ndugu yetu mpendwa kutoka jimbo lenye chuo kikuu kikongwe zaidi hapa TZ.

Masahihisho!!! UDSM iko Jimbo la Ubungo sio Kinondoni!!!

Kumbuka Wilaya ya Kinondoni ina Majimbo ya Kawe, Ubungo na Kinondoni yenyewe!!!

Tuendelee na Mjadala,,, lakini NINAKEREKA sana tunasema mengine Tunatenda Mengine!!!
 
Back
Top Bottom