Wizi umeanza, kuna mgogoro kwenye utangazaji wa kura, kuna jimbo Kibaki amepata 95,000+ na Odinga amepata 1849. Kwa mwendo huu hapa kuna balaa. Turn out 79%!
Keil,
umeona hiyo kuwa hiyo number ya 95000 imebadilika kutoka chini ya 60000 hadi kufikia ilipo. Jamani mungu weeee!
KIVUITU AMECHUKUA KAZI YA KUSOMA RESULTS ZA MAENEO YA UBUNGE ZINAZOLETA UTATA
ETI KIBAKI KAPATA KURA 95, 000 KWA ENEO MOJA! ODM WANAPINGA WANASEMA AJENTI WAO KWA ENEO HIO ALITOA NAMBA NDOGO!
WANAGOMBANA KIVUITU NA RUTO VIKALI
Kusema ukweli hiki kitu kinafuraisha ni kama movie ambayo matokeo yake yanajulikana...trust me at the end of the day Mwai Kibaki will win by rigging the election . Shame on Africa but more importantly shame on Kenya.
It would appear this is likely to happen now; it is terribly disgusting!
Nilisema tangu mwanzo ucheleweshaji wa kutoa matokeo ndio mwanzo wa kuiba kura. Lakini sio kitu mbona hana wabunge hata akishinda wataweza kumwondoa within days kwa kutokuwa na confidence naye.
Hii ni aibu kubwa sana sijui vyombo vya habari vya Kenya vitasema nini? Je, vinalamba miguu ya Kibaki? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeee au mama aliwapiga sana kiasi kwamba bado wanamwogopa?