Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Wizi umeanza, kuna mgogoro kwenye utangazaji wa kura, kuna jimbo Kibaki amepata 95,000+ na Odinga amepata 1849. Kwa mwendo huu hapa kuna balaa. Turn out 79%!

Keil,

umeona hiyo kuwa hiyo number ya 95000 imebadilika kutoka chini ya 60000 hadi kufikia ilipo. Jamani mungu weeee!
 
K-T,
Naomba kujua Chairman wa ECK ni mtu wa wapi (kabila yake), kauli zake naona zinaanza kunichanganya kiasi.
 
KIVUITU AMECHUKUA KAZI YA KUSOMA RESULTS ZA MAENEO YA UBUNGE ZINAZOLETA UTATA

ETI KIBAKI KAPATA KURA 95, 000 KWA ENEO MOJA! ODM WANAPINGA WANASEMA AJENTI WAO KWA ENEO HIO ALITOA NAMBA NDOGO!

WANAGOMBANA KIVUITU NA RUTO VIKALI
 
KIVUITU NI MKAMBA WA AKINA ODM-K NI MZURI SANA LAKINI AMETEKWA NYARA NA MAKAMISHENA WENZAKE 10 NA KITU WALIOTEULIWA NA KIBAKI. KUNA KAMIESHAN DEPUTY NDIO ANATOKA KWA KINA KIBAKI NA WATU WANASEMA YEYE NDIYE ANAJUA MAMBO YALIYOFANYIKA USIKU WA KUAMKIA LEO HUKO KUKO KURA KULIKOCHELEWA
 
Mwenyekiti wa ECK ni mtu anaheshimika so far na naomba tu mambo yaendelee vyema
 
Keil,

umeona hiyo kuwa hiyo number ya 95000 imebadilika kutoka chini ya 60000 hadi kufikia ilipo. Jamani mungu weeee!

Naona kuna mtu anataka kuchinjwa kibudu, Kibaki alizowea vya kunyonga lakini ataipeleka nchi mahali pabaya sana!
 
KIVUITU AMECHUKUA KAZI YA KUSOMA RESULTS ZA MAENEO YA UBUNGE ZINAZOLETA UTATA

ETI KIBAKI KAPATA KURA 95, 000 KWA ENEO MOJA! ODM WANAPINGA WANASEMA AJENTI WAO KWA ENEO HIO ALITOA NAMBA NDOGO!

WANAGOMBANA KIVUITU NA RUTO VIKALI

Mungu ibariki Kenya
Hapa ni kuchezea shilingi kwenye tundu, Kibaki anataka kubaki kwa nguvu
 
Kusema ukweli hiki kitu kinafuraisha ni kama movie ambayo matokeo yake yanajulikana...trust me at the end of the day Mwai Kibaki will win by rigging the election . Shame on Africa but more importantly shame on Kenya.
 
It would appear this is likely to happen now; it is terribly disgusting!
 
KIVUITU AMEAMUA KURA HAZIWEZI KUSUBIRI MA AFISA WA MAENEO YENYE TETESI WAJE HADI HAPO UKUMBINI KUDHIBITISHA KWANINI KIBAKI ANAPATA KURA ZA AJABU AJABU TOKA KWA HIZO MAENEO MABOX ZILIKUWA ZIMECHELEWA...ANAZISOMA MWENYEWE SASA HIVI.

CAN YOU IMAGINE ETI KIBAKI ANAPATA 95, 000 HUKO ENEO LA NITHI WAKATI NI ENEO LENYE WATU WASIOWENGI SANA TUSEME KAMA ELDORET NORTH AMBAKO NDIO KUNA MJI WA ELDORET NA WALIMPATIA RAILA 72, 000WAKIWAMEJITOKEZA WAPIGAJI KURA 89%.

KURA ZILIONGEZWA HUKO WASITUONGOPEE... PENGINE WAMALIZE SAWA NDIO TUPATE PICHA KAMILI WAMEIBA VIPI KISHA KAZI TU NA TUKISONGA MBELE

"THERE COMES A TIME WHEN THE NATION IS MORE IMPORTANT THAN A TRIBE OR AN INDIVIDUAL. I THINK OUR TIME HAS COME."
 
Mhh,

Kwa kasi hii inayotangazwa inaonekana Kibaki atashinda kwa kura nyingi sana. Imenishangaza kuwa Kibaki ameshinda hata Kisii kwa kura nyingi?
 
Wakuu

Africa kazi tunayo! This is a shame on our race! if we cant withstand the so called democracy, then why bother calling these elections?

Cry my beloved continent!
 
Nilisema tangu mwanzo ucheleweshaji wa kutoa matokeo ndio mwanzo wa kuiba kura. Lakini sio kitu mbona hana wabunge hata akishinda wataweza kumwondoa within days kwa kutokuwa na confidence naye.

Hii ni aibu kubwa sana sijui vyombo vya habari vya Kenya vitasema nini? Je, vinalamba miguu ya Kibaki? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeee au mama aliwapiga sana kiasi kwamba bado wanamwogopa?
 
WAKILI JAMES AGGREY ORENGO AMEINGIA NA KARATASI TOKA MAHAKAMANI....NADHANI KURA ZITASIMAMISHWA NA KOTI.

ANAMPA MAKARATASI YA MAHAKAMANI

ANASHIKWA NA POLISI

FURUGU
 
Naangalia sasa KBC kweli tunatia aibu Afrika.

Hivi kweli mungu wangu tunashindwa kuandaa uchaguzi mpaka ifikie hali hii?
 
Nilisema tangu mwanzo ucheleweshaji wa kutoa matokeo ndio mwanzo wa kuiba kura. Lakini sio kitu mbona hana wabunge hata akishinda wataweza kumwondoa within days kwa kutokuwa na confidence naye.

Hii ni aibu kubwa sana sijui vyombo vya habari vya Kenya vitasema nini? Je, vinalamba miguu ya Kibaki? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeee au mama aliwapiga sana kiasi kwamba bado wanamwogopa?

Vyombo vingi vya habari kenya isipokuwa nation na kbc vinatangaza kimya kimya ushindi wa Raila. inaonekana Kibaki anashinda kwa style ya ccm hapa.

Afrika imekwisha!
 
Kuna source ambayo sio reliable but inasemekana kuwa end result zitakuwa hivi piga ua garaza Kibaki lazima ashinde

Kibaki 47.64%

Raila 43.38%

Kalonzo 8.9%

Others 0.08%

Ni habari za inteligensia na zimekataa kutoa in terms of figure na kusema kwamba total turnout ilikua 68.6%

Nafuatilia nitakuja tena kama nitapata habari zaidi
 
hivi kuna explanation ipi ya kuchelewa results from nairobi,haya mambo sijui kama watu watakubali na kitakachotokea wa kumlaumu ni huyo Kibaki na wenzake ambao naona wantaka kucheza michezo michafu ya mafisadi wa CCM,na sijui atafanya kazi na nani kibaki akishinda kwa hii dirty game maana hana MPs wa kutosha na inavyoonekana majority wamemkataa ni kabebwa na kikuyus tuu...anyway whoever atakayechukua achukue kihalali sio wizi maana thats a no no no na tumetoka mbali sana hii haitakubalika mpaka watu watakapoacha huu mchezo
 
Back
Top Bottom