Wizi umeanza, kuna mgogoro kwenye utangazaji wa kura, kuna jimbo Kibaki amepata 95,000+ na Odinga amepata 1849. Kwa mwendo huu hapa kuna balaa. Turn out 79%!
Keil,
umeona hiyo kuwa hiyo number ya 95000 imebadilika kutoka chini ya 60000 hadi kufikia ilipo. Jamani mungu weeee!