Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Katiba ya Tanzania inampa mamlaka raisi ya kuwafukuza kazi wabunge wote (Kuvunja bunge). Ninahofu isije kuwa na Kenya katiba yao inaruhusu hili.

Kweli KATIBA inamruhusu Mhe Rais kuvunja BUNGE, ila ukumbuke na yeye mwenyewe pia huwa ndio mwisho wake. (nijuavyo)
 
Wakenya,

Msikubali kunyang'anywa ushindi na hawa majambazi ambao hata hawana aibu.

Hata ukiangalia hiyo press conference ya ECK inaonyesha wazi hata waandishi wa habari wanajua kuna kitu kibaya kinafanyika.

Inabidi na sisi Afrika tuanze kufanya yale ya Yugoslovakia, Ukraine, Georgia na kwingineko.

Wasipokubali kuondoka kwa kura, waondoke kwa bakora!

Wanasali nini? Ndio maana walisali wakati Wazungu wanakuja, huku ardhi ikawa inaibiwa.
 
..official results za KBC ambako ndio naanagalia live TV ,Raila still ahead by 310,000 na sasa naona hakuna kuhesabu pale kura tena au kutangaza ni maswali/complaints tuu from reportes,naona hata international reporters nao wameanza kumbana chairman kwa maswali
 
side...

unajua nini takuwa next? kibaki atamfanya raila VP si unajua wanajuana hao,ama wewe waonaje?

No way, sio Raila Odinga Omollo, labda mwengine. Jamaa ana msimamo Komando. Enewei na Pentagon atawaambiaje then, muafaka sio!
4get hiyo kitu mkuu
 
haya tena kamukunji election chairman kasema cant be accepted na itarudiwa(officially) ila in parliament tuu na sehemu ingine imekataliwa(sijui jina)...i dont know whats goin on? sasa sijui wataishia kukataa ngapi hapo
 
It is totally wastage of time to continue watching this press conference ....It is like reading a book starting from the last page.
 
Wakenya,

Msikubali kunyang'anywa ushindi na hawa majambazi ambao hata hawana aibu.

Hata ukiangalia hiyo press conference ya ECK inaonyesha wazi hata waandishi wa habari wanajua kuna kitu kibaya kinafanyika.

Inabidi na sisi Afrika tuanze kufanya yale ya Yugoslovakia, Ukraine, Georgia na kwingineko.

Wasipokubali kuondoka kwa kura, waondoke kwa bakora!

Wanasali nini? Ndio maana walisali wakati Wazungu wanakuja, huku ardhi ikawa inaibiwa.

Kuna kazi kubwa hasa kwa watu wale wanaojifanya kuwa watu wa dini na kisha wanafanya mambo ya ajabu kama haya. Kuna tsunami inakuja kenya na so far all we can pray for is peace only.

vyombo vya habari vya nje vimeanza kupondea kama kawaida yao. naona kuna story nyingine ya kufanya wazungu wajisikie vizuri about themselves kwani wanaona african wakifaiti kama watu wasio na akili.

Aibu tupu. But i like this kivuitu guy anaonekana kuwa na control kidogo ya mambo.
 
..official results za KBC ambako ndio naanagalia live TV ,Raila still ahead by 310,000 na sasa naona hakuna kuhesabu pale kura tena au kutangaza ni maswali/complaints tuu from reportes,naona hata international reporters nao wameanza kumbana chairman kwa maswali

Koba,

Hizo ni mpaka saa ngapi? Maana nimeona alizokuwa anatangaza muda sio mrefu, Kibaki anaongoza kwa asilimia kubwa mno.

Wanasema bado constituencies 18, je hiyo tofauti ni mpaka saa hii?
 
naanza kumwamini huyu chairman wa hiyo KEC anaonyesha some credibility in his statements
-theres no reason for us to be here for the election carried on thursday,no reason at all

-we cant get our officers,i dont know why?

-number of voters is bigger than registered voter,we cant accept that

...hayo ndio anaongea sasa

Yaani we acha tu Koba. Wanamtia majaribuni KIVUITU ila jamaa bado yupo strong na anajua nini anafanya.
Tusubiri tuone, dakika za majeruhi hizi.
 
jamani wanaonyesha live tvt wanablogu tuangalie matokeo labda wengine twaweza kupata uwaziri mkuu
 
Koba,

Hizo ni mpaka saa ngapi? Maana nimeona alizokuwa anatangaza muda sio mrefu, Kibaki anaongoza kwa asilimia kubwa mno.

Wanasema bado constituencies 18, je hiyo tofauti ni mpaka saa hii?

...yamebadilika sasa hivi ametangaza chairman,damn tight na ukizingation kasema nyingi ambazo hazijaingia ni za eastern(not nice kwa bwana Raila,nimeanza kuwa na wasiwasi...
 
K-T,

umesikia hizo number za Kivuitu? kwa majimbo yaliyobaki basi inaonekana Kibaki amefanikiwa kuiba election mchana kweupeeee kama ule wa zanzibar mwaka 1995
 
Kibaki 3,842,051
Raila 3,880,052

Naona Kibaki anaelekea kushinda.

...looks like ingawaje raila na hiyo thin margin still anaongoza,huko Eastern sio kuzuri nsana kwa Raila ambako ndio kuna nyingi hazijaingia
 
Wamesema Coast pia bado, kuna sehemu Coast ilikuwa ya ODM na nasikia nyingine ya Kibaki.

Pia kuna matokeo ambayo hata Mwenyekiti amekubali yamepikwa, sasa kama hayo yamepikwa, ana uhakika gani kama hata hayo mengine hayajapikwa?
 
Kibaki 3,842,051
Raila 3,880,052

Naona Kibaki anaelekea kushinda.

jamani mwenzenu mie mamba ya namba siyapendi sasa hapa ndo mmenichanganya kabsaa? mbona macho yangu yananiambia Raila ndo ana nyingi alafu mwasema kibaki aelekea kushinda??
 
NASISITIZA HILI: NAIKO NAANGALIA KIVUTI LIVE KWA KTN

1. HAJA TANGAZA KURA ZOZOTE KWA MUDA WA SAA NDIMA IMEYOPITA

1. AMESEMA ZIMESALIA ENEO BUNGE 18 SASA. UPINZANI WAMESEMA HESABU ISIENDELEE MPAKA PALE WALE MAAFISA WANAFIKI WALETWE HAPO KUDHIBITISHA KWANINI HIZI KURA KIBAKI ANAPATA NYINGI SANA KAMA KIVUITU AMEKUBALI ETI MATHIRA CONSTITUENCY KIBAKI KAPATA KURA NYINGI KULIKO NAMBA YA WAPIGAJI KURA WALIOSAJILIWA!
2. ANASIKILIZA HOJA ZA VYAMA ZOTE ZA SIASA HAPO UKUMBINI, PNU NA HATA ODM
3. VIONGOZI WANAMUOMBA AJITOKEZE KAMA STATEMAN NA AKUBALI KENYA IPO HATARINI HIVI SASA
4. ANAOMBA MUDA AFANYA MEETING NA WENZAKE
5. MATOKEO HAYAJATANGAZWA NA ZILE NILIPOSTI HAPO JUU NDIO ZA KUTOKA KWA ECK.
6. TUSUBIRI
7. WACHA NICOMPAILI HII NEWS VIZURI NIWALEETENI
8. NASISITIZA BADO RAILA YUPO MBELE.
10. FUJO IMEISHA UKUMBINI
11. HABARI KUTOKA MASHINANE ( SIZIAMINI) LAKINI NAAMBIWA NA WATU MBALI MBALI MIKOA YA ODM INAJITAYARISHA KWA LOLOTE....MNAJUA NINACHOZUNGUMZIA
12. HII SASA NI MCHEZO WA WANAUME KAMILI, KAPITULA ZIMEKWISHA VALIWA NA SASA UWANJA WA KENYA UTAJUA NANI NI NANI
13. KWA MAONI YANGU JESHI NDIO LITACHUKUA MAMLAKA, KWA MARA YA KWANZA KWA HISTORIA YA KENYA. WATCH THIS SPACE.
 
jamani mwenzenu mie mamba ya namba siyapendi sasa hapa ndo mmenichanganya kabsaa? mbona macho yangu yananiambia Raila ndo ana nyingi alafu mwasema kibaki aelekea kushinda??

Ni kweli lakini majimbo yanayokuja yana kura nyingi za Kibaki, ndio maana nikasema Kibaki anaelekea kushinda.

In fact kura za mwisho walizotangaza, haziko kwenye hiyo jumla. Kwenye namba hizo Kibaki ana zaidi ya laki tatu na Raila ana zaidi kidogo ya 80,000.

Ukijumlisha unakuta Kibaki anaongoza kwa zaidi ya laki mbili.
 
Back
Top Bottom