Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
\Mkuu Zitto, heshima mbele, in this hour of dissapointment, unakumbuka wakati umepost kuwa Raila kashinda kuna member alikutahadharisha kuwa 'tusubiri matokeo rasmi ya ECK'...sasa nadhani unaweza kufeel kilichokuwa kinamaanishwa mkuu...bado tuna safari ndefu ya kwenda kufikia demokrasia ya kweli!Siamini yanayotokea Kenya hata kidogo! Hata kama ni kuiba wizi huu ni wa ajabu kabisa. Huu wote ni woga tu, kuna watu waliapa Jaramogi au mluo mwingine yeyote hawezi kuwa Rais wa Kenya. Watamtangaza leo na kuapishwa kesho asubuhi mtaona tu.......
Inashangaza sana
Siamini yanayotokea Kenya hata kidogo! Hata kama ni kuiba wizi huu ni wa ajabu kabisa. Huu wote ni woga tu, kuna watu waliapa Jaramogi au mluo mwingine yeyote hawezi kuwa Rais wa Kenya. Watamtangaza leo na kuapishwa kesho asubuhi mtaona tu.......
Inashangaza sana
ECK wameamua hakuna shughuli tena kwa leo, wanaofuatilia waondoke.
Naona hapo wamegundua kuna matatizo. Labda watakuja na jema.

WAHESHIMIWA,
HIZI HAPA NEWS ZA KUWA KEEP IN TOUCH NA HALI VILE ILIVYO.
1. NATIONAL ELECTION VOTES ZA URAIS: KTN, 3.50PM
1. RAILA - 3, 880, 053
2. KIBAKI - 3, 842, 053
2. INAONEKANA BADO HATA KAMA HAWA WATU WAMEIBA RAILA ANAWEZA SHINDA.
3. WAMEHESABU SASA ZIMEBAKIA ENEO BUNGE 18 PEKEE. ZA HUKO KWA KIKA KIBAKI WAMEMALIZA.
4. HIZI VITI ZIKO KAMA IFUATAVYO: NDANI YA MABANO NIMEWAONYESHA NI NANI ATAIBUKA MSHINDI WA KURA ZA RAIS KWA MAENEO HAYA.
6 constituencies in Ukambani, (Zote kwa Kalonzo)
6 in the Coast, (Raila na Kibaki wakipishana)
2 in Central (Kibaki)
2 in Rift Valley (Raila)
1 in North Eastern (Raila/Kibaki wakipishana padogo)
Kivuiti amekataa kura za eneo moja iitwayo Mathira huko kwa akina Kibaki yaan Central ambako matokeo yalionyesha live kuwa kura kaibiwa eti yakiwa kwenye 115%. kifupi kulikuwa na kura nyingi kuliko hata wapiga kura!
Kivuitu pia amekataa kura za Kamukunji hapa Nairobi. Amesema lazima zitarudiwa baadaye.
MUHIMU: ENEO HIZI MBILI ZINGEMPA RASI KIBAKI KURA NYINGI SANA TAKRIBA 80-130, 000.SASA RAILA AWASHUKURU WENZAKE WALIOKUWA HAPO KICC NA ORENGO JAMES.
TUOMBE MUNGU NA MSHINDI ATAJULIKANA KABLA JOGOO LIWIKE MARA TATU ASUBUHI YA KESHO.
SHUKRAN PIA KWA SHUKRAN ZENU. KUKIHARIBIKA HUKU NAOMBA MNIKODISHIE KACHUMBA KADOGO HAPO SINZA MAPAMBANO. NAJUA NI BEI NAFUU ESP KARIBU NA MEEDA BAR
LINK NYINGINE: http://edition.cnn.com/2007/WORLD/africa/12/29/kenya.vote/index.html
\Mkuu Zitto, heshima mbele, in this hour of dissapointment, unakumbuka wakati umepost kuwa Raila kashinda kuna member alikutahadharisha kuwa 'tusubiri matokeo rasmi ya ECK'...sasa nadhani unaweza kufeel kilichokuwa kinamaanishwa mkuu...bado tuna safari ndefu ya kwenda kufikia demokrasia ya kweli!
WAHESHIMIWA,
HIZI HAPA NEWS ZA KUWA KEEP IN TOUCH NA HALI VILE ILIVYO.
1. NATIONAL ELECTION VOTES ZA URAIS: KTN, 3.50PM
1. RAILA - 3, 880, 053
2. KIBAKI - 3, 842, 053
2. INAONEKANA BADO HATA KAMA HAWA WATU WAMEIBA RAILA ANAWEZA SHINDA.
3. WAMEHESABU SASA ZIMEBAKIA ENEO BUNGE 18 PEKEE. ZA HUKO KWA KIKA KIBAKI WAMEMALIZA.
4. HIZI VITI ZIKO KAMA IFUATAVYO: NDANI YA MABANO NIMEWAONYESHA NI NANI ATAIBUKA MSHINDI WA KURA ZA RAIS KWA MAENEO HAYA.
6 constituencies in Ukambani, (Zote kwa Kalonzo)
6 in the Coast, (Raila na Kibaki wakipishana)
2 in Central (Kibaki)
2 in Rift Valley (Raila)
1 in North Eastern (Raila/Kibaki wakipishana padogo)
Kivuiti amekataa kura za eneo moja iitwayo Mathira huko kwa akina Kibaki yaan Central ambako matokeo yalionyesha live kuwa kura kaibiwa eti yakiwa kwenye 115%. kifupi kulikuwa na kura nyingi kuliko hata wapiga kura!
Kivuitu pia amekataa kura za Kamukunji hapa Nairobi. Amesema lazima zitarudiwa baadaye.
MUHIMU: ENEO HIZI MBILI ZINGEMPA RASI KIBAKI KURA NYINGI SANA TAKRIBA 80-130, 000.SASA RAILA AWASHUKURU WENZAKE WALIOKUWA HAPO KICC NA ORENGO JAMES.
TUOMBE MUNGU NA MSHINDI ATAJULIKANA KABLA JOGOO LIWIKE MARA TATU ASUBUHI YA KESHO.
SHUKRAN PIA KWA SHUKRAN ZENU. KUKIHARIBIKA HUKU NAOMBA MNIKODISHIE KACHUMBA KADOGO HAPO SINZA MAPAMBANO. NAJUA NI BEI NAFUU ESP KARIBU NA MEEDA BAR
LINK NYINGINE: http://edition.cnn.com/2007/WORLD/africa/12/29/kenya.vote/index.html
Unakumbuka mara baada ya kusema hivyo ODM walitangaza ushindi?

Yes Mh. Zitto(MB), lakini mamlaka baba!!!ODM hawanayo!! ndio maana mpaka sasa hivi tunakesha tukiomba, wangekuwa na mamlaka kama ECK, tungekuwa mitaani tunaburudika si ndio baba!!!
Mpaka sasa hivi mchezo bado!!! Tunatamani kama ingekuwa mchezo wa Ngumi!!! hata Kibaki akiiba kiasi gani? Tungeshinda angalau kwa point maana kila round sisi tulikuwa mbele raundi za mwisho ambazo ni chache tu ndio tu Kibaki amepata point!!!🙁