Katiba ya Tanzania inampa mamlaka raisi ya kuwafukuza kazi wabunge wote (Kuvunja bunge). Ninahofu isije kuwa na Kenya katiba yao inaruhusu hili.
side...
unajua nini takuwa next? kibaki atamfanya raila VP si unajua wanajuana hao,ama wewe waonaje?
Wakenya,
Msikubali kunyang'anywa ushindi na hawa majambazi ambao hata hawana aibu.
Hata ukiangalia hiyo press conference ya ECK inaonyesha wazi hata waandishi wa habari wanajua kuna kitu kibaya kinafanyika.
Inabidi na sisi Afrika tuanze kufanya yale ya Yugoslovakia, Ukraine, Georgia na kwingineko.
Wasipokubali kuondoka kwa kura, waondoke kwa bakora!
Wanasali nini? Ndio maana walisali wakati Wazungu wanakuja, huku ardhi ikawa inaibiwa.
..official results za KBC ambako ndio naanagalia live TV ,Raila still ahead by 310,000 na sasa naona hakuna kuhesabu pale kura tena au kutangaza ni maswali/complaints tuu from reportes,naona hata international reporters nao wameanza kumbana chairman kwa maswali
naanza kumwamini huyu chairman wa hiyo KEC anaonyesha some credibility in his statements
-theres no reason for us to be here for the election carried on thursday,no reason at all
-we cant get our officers,i dont know why?
-number of voters is bigger than registered voter,we cant accept that
...hayo ndio anaongea sasa
Koba,
Hizo ni mpaka saa ngapi? Maana nimeona alizokuwa anatangaza muda sio mrefu, Kibaki anaongoza kwa asilimia kubwa mno.
Wanasema bado constituencies 18, je hiyo tofauti ni mpaka saa hii?
Kibaki 3,842,051
Raila 3,880,052
Naona Kibaki anaelekea kushinda.
Kibaki 3,842,051
Raila 3,880,052
Naona Kibaki anaelekea kushinda.
Kibaki 3,842,051
Raila 3,880,052
Naona Kibaki anaelekea kushinda.
jamani mwenzenu mie mamba ya namba siyapendi sasa hapa ndo mmenichanganya kabsaa? mbona macho yangu yananiambia Raila ndo ana nyingi alafu mwasema kibaki aelekea kushinda??